Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.
Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.
Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.
Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
Eneo rahisi la kuvutia watanzania wenye shida zilizosababishwa na CCM , ni kuanzisha Kanisa.
Huko ndiko watu kama "Kiboko ya wachawi" alikotapeli maelfu ya watanzania na kuachwa na CCM "atorokee" kwao Kongo na kuanza kuwananga wateja zake wa zamani kuwa ni wajinga.
Leo nimeiona hii Clip ya...
Wapo wanaojaribu kuvibeza vyama vidogo vya upinzani mfano CHAUMMA wakisahau kuwa walianza kinyonge na walipata umaarufu wao kupitia makada waliohama CCM.
29 OKTOBA Saa kuminambili asubuhi nitakuwa kwenye mstari tayari kabisa kuipiga kura yangu.
Kazi ya makamo mwenyekiti badala ya mwenyekiti wetu Tundu Lissu ni kutuambia hatuna imani na majaji,mahakimu pia hatuna imani na serikali ya Samia.
Kisha tuambiwe hatima ya mwenyekiti unatuachia sisi wananchi tuamue cha kufanya.
TAARIFA KWA UMMA
TUME YA AFRIKA YAKUBALI AZIMIO KUHUSU HALI YA HAKI ZA BINADAMU NCHINI TANZANIA
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinakaribisha na kupongeza kwa dhati kupitishwa kwa Azimio ACHPR/Res.640 (LXXXIV) 2025 na Tume ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu (ACHPR), wakati wa...
Anaandika Askofu BENSON BAGONZA (PhD)
UCHURO WA TAIFA: Tuzinduke.
Nianze kwa kutoa salaam zangu za pole kwa familia ya hayati Job Ndugai. Pole kwa Ofisi nzima ya Bunge (Kupitia Katibu wa Bunge). Pole kwa Mh. Rais. Pole zaidi kwa taifa letu kutokana na msiba huu.
Kuna kitu kisicho cha kawaida...
Kesi ya madai iliyofunguliwa dhidi ya Bodi ya Wadhamini ya CHADEMA na Katibu Mkuu wa chama hicho, inayohusu zuio la kufanya shughuli za kisiasa, imeahirishwa hadi Agosti 18, 2025, kwa ajili ya kusikilizwa kwa uamuzi wa maombi ya kutengua zuio hilo.
Shauri hilo, Na. 8323/2025, liliwasilishwa na...
Huu ndiyo ukweli,wana Chadema wamempa imani yao yote Tundu Lissu na ndiyo nguzo ya chama chao yaani siku Lissu akiondoka basi na Chama kitakufa,
Maana yake kwamba Lissu anaushawishi mkubwa kuliko chama kama Mbowe angekuwa alishinda basi leo hii Chadema ingekuwa chali
Upande wa pili mapenzi ya...
Lembrus Mchome, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Wilaya ya Mwanga, ametambulishwa kama Mwakilishi wa CHADEMA, kwenye Mkutano Mkuu wa CHAUMMA
Ni wajinga tu ndio wenye kuamini Chadema itakufa!
Chadema ni kama Imani iliyowaingia wananchi damuni
Iko hivi, hata sasa, Jina tu la Tundu Lissu liwekwe kwenye karatasi za wagombea akiwa huko huko jela, kuna mtu atapigwa K.O
Wanaukumbi.
CHADEMA IMEPONZWA NA UJINGA WA WANAHARAKATI ..
Tulikuwa tunaonya kuwa wanaharakati hawa akiwemo mkuu wa ujinga wao Maria wanawapoteza na kuwaharibia chama chenu cha siasa cha UFIPA hawakuwa wanasikia.
Tuliwaambia hawa watu siyo wa kuwapa chama cheni wakigeuze kuwa jukwaa la...
Huwa nakaa najiuliza, hawa jamaa wanaomtaja Magufuli kwa matusi kwenye harakati za No Reform No Election, ni waoga wanaoepuka kumkosoa aliye madarakani? Maana wamekuwa wakimsema Magufuli kila mara, lakini kwa wazalendo wengi wa nchi hii, kadri mnavyoendelea kumtaja vibaya, ndivyo mnavyozidi...
Poleni na Msiba! Kwa wale mnaofurahia hongereni!
Ndugu zangu, kila siku Taikon nawaambia kuwa Haki ni jambo la mtu binafsi. Ni kama Imani tuu.
Kamwe usije ukajiunga Dini au Chama fulani cha siasa kwa sababu ati kinajifaragua kutetea HAKI. Nope! Haki haipo katika Chama au Dini. Haki hukaa...
Kuna msemo unasema uongo ni wa kitu cha kukufurahisha na kukaa kwa muda mfupi tu, lakini Ukweli unaweza kuwa mchungu mwanzoni lakini hudumu milele na huzaa furaha ya siku zote hapo mbeleni.
Kile kitendo tu cha Lissu kusema anakwenda kugombea na mwisho kuutwaa uenyekiti wa CHADEMA, ghafla nchi...
Wakuu,
Huyu hapa kada wa CHADEMA aliyehamia CHAUMMA leo, anadai hakukuwa na uhuru wa kutoa mawazo na anasema CHADEMA haitainuka tena kama ilivyokufa NCCR Mageuzi na CUF
Baada ya aliyekua kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Yeriko Nyerere, kutangaza kujiunga rasmi na Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma). Agosti 6, 2025 makao makuu ya Chaumma yaliyopo Biafra Kinondoni jijini Dar es Salaam, ametoa madai kuhusu kuanguka kwa CHADEMA
Wakuu mnakumbuka hii kutoka kwa Yericko Nyerere?
Alipokuwa akihojiwa siku ya uchaguzi wa CHADEMA kwa ngazi ya Mwenyekiti na Makamu Mwenyekiti, alisema kuwa ukipigwa hakuna kuhama chama lakini baada ya timu yake kupigwa ameshindwa kuvumilia😂
Baada ya Mahakama Kuu ya Masijala ya Dar es Salaam kukubali ombi la upande wa Jamhuri la kuficha majina na taarifa nyingine za mashahidi raia wa upande wa Mashitaka katika kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, chama hicho kimesema kinaipinga Sheria hiyo ya iliyopitishwa...
Slogan ya No election no reform ilikuwa imeshaanza kueleweka mpaka vijijini .
Ila sasa kinachotokea ni either kukosa Mwelekeo na kujua nini wanabidi wasimamie kwa wakati husika.
Page zote za Chadema zinahangaika na Polepole .
Huyu alibidi kupotezewa na sio kupewa airtime .
Kwa style hii...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimeiomba Jumuiya ya Kimataifa taasisi za haki za binadamu, ofisi za kidiplomasia, na mabunge ya kidemokrasia hasa Bunge la Marekani na mabunge ya washirika kuliangalia kwa dharura suala la mashahidi kufichwa katika kesi inayomkabili mwenyekiti wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.