Mnyika: Jeshi la Polisi lipuuze taarifa za uongo za Polisi zinazodai CHADEMA itafanya vurugu kumuokoa Lissu

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
1,946
Reaction score
2,985
Katibu mkuu wa Chama cha Demokrasia na maendeleo CHADEMA John Mnyika, akizungumza na Vyombo vya habari kuelekea kusikilizwa Kesi ya Mwenyekiti wa Chama hicho, Tundu Lissu kesho Juni 11, 2026 Mahakama ya Rufaa, ametoa wito kwa Jeshi la Polisi kuacha taarifa za uongo zinazoendelea ndani ya Jeshi hilo kuwa za Kiitelinjesia kwamba CHADEMA inataka kumuokoa Tundu Lissu mikononi mwa Polisi na Magereza

Mnyika amerejea tukio la Jeshi la Polisi kupiga watu mahakama ya Kisutu wakati kesi ya Lissu inakwenda kwenye hatua ya komito mwezi Aprili mwaka 2025

"Mambo mawili kwa Jeshi la Polisi. La kwanza: wapuuzie taarifa za uongo za ndani ya Jeshi la Polisi lenyewe zinazodaiwa kuwa za kiintelijensia kwamba watu wa CHADEMA, maanake kuna habari hizo wamelishana uongo huko ndani, kwamba CHADEMA inataka kufanya vurugu ya kumnyakua walichokiita kumwokoa Tundu Lissu kutoka kwenye mikono ya magereza na mikono ya polisi. Uongo mtupu.

Uongo ambao umetengenezwa ili kutekeleza nia ovu ya kupiga raia na kupiga wananchi na kufanya vurugu. Watu wa polisi wenye kuheshimu utawala wa sheria, haki, na maadili waepukwe kuingizwa kwa uongo kwenye mzozo na mgogoro ambao utalichafua zaidi Jeshi la Polisi, ambalo tayari limeshajichafua kwa matendo mbalimbali ya siku ya nyuma."
 
Hapo ujue wamepanga kumpiga risasi Tundu Lissu halafu wasingizie ni wanachdema ndiyo wamempiga wakati wanafanya jaribio la kumchukua toka mikononi mwa askari Magereza. Hapa lazima zile nguo za Chadema walizopora kwenye duka la mfanya biashara aliyekuwa anauza vifaa vya Chadema zitatumika kuihadaa dunia kuwa hao ni Chadema kumbe ni TISS, Polisi na UVCCM.
 
Screenshot_20251201-222021~2.png
 
Kuelekea kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, Katibu Mkuu wa chama hicho John Mnyika ametoa wito kwa jeshi la Polisi kuupuzia taarifa za uongo wanazodai za 'Kiintelijensia' za baadhi ya Polisi kuwa wamepata taarifa wanachana wa chama hicho watafanya fujo na vurugu ili kumuokoa mwenyekiti huyo kutoka mikononi mwa Polisi na Jeshi la Magereza.

John Mnyika akiongea leo Juni 10, 2026 makao makuu ya chama hicho amesema taarifa hiyo ni ya uongo uliotengenezwa ili kutekeleza nia ovu ya kupiga na wananchi.
 
Wanaweka premises za kuua watu kesho.

Ila take home msg ni hii: Kumbe Lisu ni tishio na anapendwa sana. Why worry and those stupid speculations?
 
Hapo ujue wamepanga kumpiga risasi Tundu Lissu halafu wasingizie ni wanachdema ndiyo wamempiga wakati wanafanya jaribio la kumchukua toka mikononi mwa askari Magereza. Hapa lazima zile nguo za Chadema walizopora kwenye duka la mfanya biashara aliyekuwa anauza vifaa vya Chadema zitatumika kuihadaa dunia kuwa hao ni Chadema kumbe ni TISS, Polisi na UVCCM.
Wahuni wamestukiwa
 
Back
Top Bottom