Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.
Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.
Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.
Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
Jana mmetoa tarifa ya sababu ya watu kupotea , kutekwa, kufa na mengineyo kama hayo.
Swali kuu: Kwanini wanaopatwa a sanabu mlizozitoa wengi wao, naweza kusema 99% ni wafuasi/wanachama/wapenzi wa chadema ambay pia serikali IMEIKLIA KOONI?
Angalia kupotea kwa watu hawa
1. Ben Saanane
2. Mdud
3...
Aliyekuwa Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa Taifa wa CHADEMA na Mtia nia wa Ubunge katika Jimbo la Rombo, Andrea Lemnge Oisso, ametangaza kujivua uanachama wa chama hicho akilaani msimamo wa kususia uchaguzi kwa hoja kwamba “historia haijawahi kumbeba anayekimbia mapambano”.
Akizungumza kupitia tamko...
1. Kama katiba ingelikuwa bora, Samia asingejipitisha mwenyewe kuwa mgombea urais ndani ya CCM. Lkn katiba imempa mamlaka makubwa sana, kiasi kwamba kila mwanaccm anaogopa kumpinga.
2. Kama katiba ingelikuwa ni bora, Gwajima asingelikuwa mafichoni. Kwani kafanya kosa gani? Kusema ukweli ni...
CCM wamekuwa wakijigamba kwamba nchi wameitoa mbali, wameleta maendeleo. Upande wa upinzani wanasema nchi imekuwa ya hovyo kabisa ni afadhali mkoloni. Sasa mimi naweka ushahidi wote hapa kuunga mkono hoja za Chadema.
Kuna wimbo wa DMX unaimba move..... get out of my way.... Ole wake aletaye kikwazo ni kulala nae mwendo wa ngiri wanasema R Chugas.
Tuendelee kunywa mtori.
CHADEMA tunapenda tusomeke kuwa sisi ni wapigania haki na pia tunaheshimu misingi ya sheria na utawala bora hivyo tuna wajibu wa kuheshimu maamuzi ya mahakama katika misingi iliyo ya haki na kweli kamwe hatutasujudu kwenye mambo ya hila na ukandamizaji. Tuna kusudi la kuomba la kuomba mapitio...
Umeambiwa hadharani kuwa wewe hufai kuwa Mbunge wa jimbo. Hii ni wazi kuwa chama chako hakitakupitisha kugombea.
Wewe kusema kuwa Kisesa inahitaji madaraja na huduma za kijamii kuboreshwa imeonekana unatafuta umaarufu.
Hamia CHADEMA ungana na Lissu na Heche kudai maslahi ya Watanzania.
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesema hakijaridhishwa na uamuzi uliotolewa na Jaji Hamidu Mwanga wa Mahakama Kuu wa kusitisha shughuli za chama hicho, kikisema kitaomba mapitio ya shauri hilo, huku pia kikiomba jaji huyo ajitoe kwani hawana imani naye.
Katika uamuzi huo...
Yote haya ili kudanganya uma kuwa ana pendwa. Hatumuelewi wala hatufich.
Sheria zetu naamini pia haziruhusu kumpakiza binadamu kama bidhaa au mnyama. Hii sio sawa
Watanzania (watanganyika) wenzetu wamepoteza maisha pia kwa huu usafiri inasikitisha maskni anadanganywa akasikilize mipasho.
Afu...
Makamu Mwenyekiti Tanganyika, John Heche kuzungumza na Watanzania kupitia Chadema Media TV YouTube, Jioni hii baada Polisi kuzuia Mkutano wake na Waandishi wa Habari uliokuwa ufanyike leo Juni 17, 2025 saa Tano Asubuhi
https://www.youtube.com/watch?v=Jxk77712D8I
"Mwezi Juni 2025 Mahakama Kuu...
Tundu Lissu Mwenyekiti wa CHADEMA ameamua kujitoa mwenyewe sadaka/dhabihu ya mateso kwa ajili ya ukombozi na wokovu wa Watanganyika wote
Angekuwa ni mtu anayefanya haya kwa faida binafsi (personal benefits) ili apate vitu vya dunia hii kama fedha, vyeo, majumba, ardhi nk vitokanavyo na dhuluma...
ALIYEMWAGIWA TINDIKALI NA CHADEMA AFUNGUKA: "Nilikuwa Naitumikia CHADEMA kwa Uaminifu, Sikuamini Wangeniua Kwa Machungu Ya Ndani"
Dar es Salaam, Tanzania – Juni 17, 2025
Katika kile kinachoonekana kuwa sura nyingine ya giza ndani ya chama cha upinzani CHADEMA, kijana aliyekuwa mshabiki na...
Katika hali ya kushangaza unajiuliza hivi wale Mawakili wanaojifanya kuwa ndiyo Mawakili bora Tanzania, imekuaje wameamua kukaidi agizo la Mahakama la kuitaka CHADEMA kutofanya shughuli yeyote ya kisiasa na kioparesheni.
Mtakumbuka Juni 10, 2025 CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)...
Kuna taarifa kwamba Makamu Mwenyekiti wa Chadema John Heche atazungumza na waandishi wa habari leo tarehe 17 Juni 2025 saa tano kamili asubuhi, katika hotel ya Seashells Millennium Hotel, iliyopo Makumbusho Dar es salaam.
Chadema imeamua kufanya mkutano huo kwa siri, usiri huo utawaponza hasa...
Wananchi wote wanasubili mpango wenu mpya, msichelewe, CCM wameishiwa mbinu, kesho nimesikia John Heche atakuwa na press.
Watanzania wanasubiri maelekezo tuu! Tundu Lisu atakaaa, huko selo, kwa a jili ya kuwa toa kwenye reli.
Njoooni na mbinu mpya.
Kuendesha kesi ni gharama, chama kimeweka mawakili 300 kikidhani ni sifa kumbe ni matumizi mabaya ya fedha za umma, tone tone imebuma, ruzuku imesitishwa mnapata wapi hela ya kuwalipa mawakili, hela hakuna kwa hiyo njia pekee ni kutangaza mawakili wamejiondoa upambane mwenyewe
Sasa kama...
CHADEMA chama kikuu cha upinzani kimefail kujua dhamira kuu ya watu waliomweka Lissu ndani.
Lengo si kumnyonga kama ilivyo ada hukumu ya uhaini nchini.
Lengo ni kumpunguza speed huku mhasimu wake akipewa point 2 kipindi hichi cha mshikemshike na miezi 2 ya mwisho kabla ya uchaguzi apewe point 1...
Sisi watu wa hali ya chini (kwa muda) huwa tunafurahia sana maisha yetu licha kwamba tuna maisha ya kawaida sana
Hatudhulumu, hatunyongi watu, hatuteki na hatuuwi watu, na tunakula kile kilichopo kwa furaha kabisa na amani ya Mioyo yetu, na sadaka zetu kwa Mungu ni za haki hazina hatia yoyote...
Wanabodi
Niko hapa King Jada Hotel Morocco DSM: Kikao Kazi Kati ya Shirika la Nyumba la Taifa, NHC na Jukwaa la Wahariri, TEF.
Tuanze na wasilisho
WASILISHO KUHUSU UTENDAJI WA SHIRIKA LA NYUMBA LA TAIFA KWA WAHARIRI WA
VYOMBO VYA HABARI
Hamad Abdallah Hamad Mkurugenzi Mkuu Shirika la Nyumba la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.