chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. Stuxnet

    Wanaharakati wa CHADEMA waende Kenya kusikiliza kesi ya Boniface Mwangi ili kulipa fadhila

    Wakati Tanzania ilipomfukuza Boniface Mwangi mwezi Mei 2025, watu wengi walikimbilia kuikosoa, wakiita hatua hiyo ya kidikteta. Lakini sasa, Serikali ya Kenya kupitia taarifa za raia wema imemkamata kwa tuhuma nzito za kusaidia vitendo vya kigaidi wakati wa maandamano ya Juni 25 na ushahidi...
  2. Genius Man

    Msajili wa vyama vya siasa hatuoni akichukua hatua zozote kwa mgombea batili wa CCM anakomaa tu na CHADEMA

    Msajili wa vyama vya siasa hatuoni akichukua hatua zozote kwa mgombea batili wa CCM anakomaa tu na CHADEMA. Mgombea wa CCM ni batili hakuna mtu aliye simama akapinga hilo na wanaCCM wenyewe wanasema hakufuata katiba ya chama nashangaa msajiri wa vyama vya siasa kaingia mitini anajifanya haoni...
  3. D

    CHADEMA kubalini yaishe kutunishiana misuli na serikali mtaumia nyie, Shauri yenu

    Chama kinaisha na kinaibuka chauma kwa kasi na kwa msaada wa serikali watapata viti vichache vya ubunge na udiwani ili wapindue meza na kuwa chama kikuu cha upinzani. Duniani kote hakuna serikali submissive mbele ya chama cha upinzani ispokuwa mbinu tu za kuwawin. Lisu anatumia mabavu na kamwe...
  4. chiembe

    Tetesi: Ushauri: Heche afanye kama Mbowe, aikopeshe Chadema milioni 300 ili ilipe mishahara ya miezi mitano iliyopita

    Namshauri John Heche akikopeshe chama milioni 300 ili kilipe mishahara, maana tangu January watu hawajalipwa. Hela zote zinaishia kumlipa posho. Uongozi sio maneno tu, pia kujitoa. Mbowe alikuwa akitoa fedha yake kukopesha chama. Najua Heche ni mkulima wa ufuta, atakuwa amevuna
  5. Waufukweni

    GE2025 Wakili wa CHADEMA: Barua ya Naibu Msajili kuhusu zuio la Kisiasa kwa viongozi wa CHADEMA imejaa upotofu na kupotosha amri ya Mahakama

    Baada ya Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam, kutoa ufafanuzi kuhusu utekelezaji wa amri ya zuio la kisiasa kwa viongozi wa CHADEMA, ikiwemo kuongeza majina mapya katika orodha ya waliopigwa marufuku kushiriki shughuli za chama, Wakili wa CHADEMA ameibuka na kudai kuwa...
  6. Waufukweni

    GE2025 Mawakili wa CHADEMA wajibu mapigo Mahakama kuzuia shughuli za Chama, Wadai Msajili hana mamlaka ya kutafsiri hukumu au amri ya Jaji

    Mawakili wa CHADEMA wanaijibu Mahakama kuhusu zuio la viongozi wa chama hicho kufanya shughuli za kisiasa na kutumia mali za CHADEMA. https://www.youtube.com/watch?v=CWE21IAhJ9A Baada ya Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam, kutoa ufafanuzi kuhusu utekelezaji wa amri ya...
  7. Idugunde

    WanaCCM watakaoenguliwa kwa mizengwe ya huu utaratibu mpya walitarajia kujiunga CHADEMA Bahati mbaya CHADEMA haishiriki uchaguzi na CHAUMMA hawaitaki

    Wengi walitarajia kurudi upande wa pili ili waingie bungeni bahati mbaya mambo sio. Kilichobakia ni wao kuendeleza upinzani ndani ya chama chao Bhagosha!!!
  8. Lord Denning

    Karma ya Paskali kazini: Walidhani Maadui zao ni Lissu na Chadema wakatumia hela nyingi kupambana nao. Kumbe adui wanae ndani

    Kile kikundi kidogo cha dola ya CCM kilidhani adui yao ni Chadema na Lissu. Wakatoa hela nyingi kuhakikisha Chadema inaparanganyika ili ife. Wakamkamata Lissu na kumuweka gerezani. Wakatumia Mahakama ya hovyo kuzuia shughuli za Chadema. Cha kushangaza, Mungu wetu sote. Kumbe adui wao halisi...
  9. BigTall

    Alichoandika Wakili Mwabukusi kuhusu CHADEMA kuzuiwa na Mahakama kufanya shughuli za Kisiasa

    IAM DEEPLY CONCERNED. YAWEZEKANA TUKO KATIKA JANGA LA KISHERIA – UHALISIA WA KUTISHA KIDEMOKRASIA !? Hili linaweza kuwa moja ya zuio la kipekee kabisa, la upande mmoja, kuwahi kutolewa katika historia ya nchi zinazofuata mfumo wa Common Law. Kwa kawaida, zuio (injunction) hutolewa kwa lengo...
  10. R

    Sheikh Mwaipopo: CHADEMA muigeni Baba yenu Mbowe ile ndiyo siasa, acheni chuki

    "Mbowe kaonesha leo ukomavu wa kisiasa na zile ndio siasa Chadema muigeni baba yenu Mbowe ile ndio siasa acheni chuki , chuki haitupeleki popote , zaidi ya kutuletea matatizo tu " Hayo yamesemwa na Sheikh Mwaipopo kufuatia tukio la kuonekana kwenye uzinduzi wa Dira ya Maendeleo ya Taifa 2025 -...
  11. M

    Barua ya wazi kwa Kaimu Mwenyekiti wa CHADEMA John Heche - Ukikubali masharti feki ya mahakama, utakuwa indirectly umekubali Chama kufutwa kimyakimya

    Salamu Ndugu Heche. Pole sana na majukumu yako, Kwa sasa mmewekwa katika mtego mkubwa, na mtego wenyewe ni kuwa mahakama imetumika kisiasa kuizuia CHADEMA kufanya siasa. Hili jambo usidhani ni dogo, ni kubwa. Baada ya Madhalimu kuona kuwa hawawezi kuidhibiti CHADEMA kwa kutesa, kununua, kufunga...
  12. JanguKamaJangu

    Wakili Marijani: Waliozuiwa CHADEMA hawatakiwi kuzungumza na Vyombo vya Habari kuhusu masuala ya vyama

    Wakili Shabaan Marijani amesema watu wote waliyotajwa katika zuio la Mahakama la kutokushiriki shughuli zozote za kisiasa katika Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), hawaruhusiwi hata kuzungumza na vyombo vya habari. Aidha, amesema wakitaka kuzungumza na vyombo hivyo wasizungumze...
  13. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Shekh Mwaipopo: Askofu Gwajima anaandaliwa na CHADEMA kugombea Urais uchaguzi mkuu 2025

    Shekh Mwaipopo anasema Askofu Gwajima ndio anaeandaliwa na CHADEMA kugombea Urais kwenye uchaguzi Mkuu 2025 utakaofanyika Oktoba Gwajima huyu anaunga mkono No reforms No Election, lakini habari tulizo nazo Gwajima anaandaliwa kushika bendera ya CHADEMA agombee urais ili apambane na rais Samia...
  14. Criss

    Freeman Mbowe kawauza CHADEMA bila haya

    Wakati CCM ilikuwa ilikuwa imeshashikwa pabaya kiasi cha kunyimwa msaada wa dola mil 8 kutoka EU kwa kigezo cha CCM kufinya uhuru wa vyama vya upinzani CCM wajiongeza kwa kumualika Mwenyekiti aliyehudumu kwenye chama husika kwa zaidi ya miaka ishirini kujiunga nao meza kuu . Kikwete akashindwa...
  15. DR HAYA LAND

    Tatizo la baadhi ya wafuasi wa Chadema , huwa wanakosea sana katika kuelezea mambo ikiwemo swala la kutaka Mbowe kuongea jambo kuhusu wanayoyapitia.

    Lema alikuwa hana sababu ya kuongea kuhusu Mbowe . Ikiwa mtu hayupo upande wenu Ila nyie mnasapotiwa na mamilion ya watu ambao wanawasikiliza , na kutoa sapoti zao sasa Mbowe yeye ni nani ?. Nafikiri mtaji mkubwa katika siasa ni watu . Ukizungumzia mapito msijifikirie nyie Ila mjue kuna watu...
  16. Allen Kilewella

    CCM wameishindwa CHADEMA lakini Sasa hali inatisha zaidi

    Kwa mara ya kwanza CCM ilipoona nguvu za CHADEMA ilikuwa mwaka 1994 kwenye chaguzi za Serikali za mitaa na mwaka 1995 kwenye uchaguzi Mkuu. Tangu mwaka 1995 mpaka Sasa CHADEMA imekuwa mwiba mkubwa sana Kwa CCM. Kila kiongozi wa CCM kwa staili yake wamekuwa wakifanya jitihada ya kuiua CHADEMA...
  17. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Wakili Boniface Mwabukusi: Zuio la CHADEMA kutoongea na wanahabari sio sahihi

    Rais wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika TLS, Wakili Boniface Mwabukusi ameeleza kutofautiana na maamuzi ya Mahakama yaliyotangazwa mapema leo na Wakili Mwenzake Shaaban Marijani anayesimamia Kesi dhidi ya Chadema yenye kutaka mgawanyo sawa wa rasilimali za Chama hicho kwa upande wa Bara na...
  18. A

    Pamoja na figisu zote za kisiasa anazofanyiwa Lissu na CHADEMA kutoka kwa Mbowe na CCM, bado naamini atashinda

    Sijafurahishwa kabisaa na kitendo cha Mbowe kuungana na CCM kumshughulikia kisiasa Lissu, naamini kabisa haya yote anyopitia Lissu na CHADEMA ni mchoro wa Mbowe moja kwa moja. Wengi walitutahadharisha humu, tusimuamini Mbowe ila tuliwakatilia kabisaa, lakini kuanzia leo imedhihirika rasmi...
  19. Zanzibar-ASP

    Samia na Mbowe hand shaking.: Je hii ni dhihaka, dharau na kejeli dhidi ya CHADEMA na Tundu Lissu?

    Katika mazingira ambayo, Tundu Lissu, mwenyekiti wa Chadema yupo gerezani akishtakiwa kwa makosa ya uhaini (ambapo ikiwa atatiwa hatiani hukumu yake itakuwa ni kunyongwa hadi kufa) huku dunia nzima ikilaani kukamatwa kwake na kupiga kelele aachiwe huru mara moja, na hapo hapo CHADEMA ikiwa...
  20. Mkalukungone Mwamba

    Ofisi ya CHADEMA Same Magharibi yabadilishwa kuwa ya CHAUMMA

    Mali za Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Jimbo la Same zimetolewa nje katika iliyokuwa ofisi ya chama ya jimbo hilo kwa kile kilichoelezwa ni kutokulipwa kwa kodi kwa miezi sita. Leo Julai 17, 2025 wameonekana mafundi wakipaka rangi na kufuta majina pamoja na rangi za CHADEMA ili...
Back
Top Bottom