Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.
Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.
Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.
Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
Habari zenu wananchi wenzanguu
Niweke wazi mimi ni aina gani ya mtuu.
Mimi sipendi kuona mtu yoyote anaonewaa.
Sasa leo niko na Yericko Nyerere
Umesahau nini CHADEMA mbona ni kama unatumia nguvu nyingi kuisema CHADEMA kwa mabaya
Wakati mimi na wengine wengi tunaona kama unapoteza mdaa...
BREAKING NEWS CHADEMA FREE TO CONTINUE POLITICAL ACTIVITIES - COURT RULES‼️
The Court of Appeal in Dodoma has ruled that the only real opposition party
@ChademaTZ2
that was illegally banned from conducting political activities last year is now free to conduct activities as it wishes!
This is...
Mahakama ya rufani kanda ya Dodoma imetengua maamuzi ya Mahakama kuu yaliyoizua CHADEMA kufanya shughuli za kisiasa nchini katika kesi iliyofunguliwa na Said Issa na wenzake dhidi ya Bodi ya Wadhamini wa chama na Katibu Mkuu, maarufu kama kesi ya Mgawanyo wa mali za chama.
Sasa CHADEMA ni ruksa...
Mahakama ya Rufaa inatarajiwa kusoma uamuzi wa kesi ya Saidi Issa Mohamed dhidi ya CHADEMA leo Aprili 15, 2026. Chama kimesema kimepokea taarifa hiyo kutoka mahakamani na kuahidi kuujulisha umma kuhusu matokeo ya uamuzi huo mara tu utakapotolewa.
Kesi hii inahusiana na mgawanyo wa mali na...
Hivi sasa uendeshaji wa dunia umebadilika. UNO ipo lkn kama mpitishaji wa ajenda za USA
ICC ipo lkn haiwezi kuikosoa Isreal.
Vipo vyombo vya habari vikubwa kama bbc , CNN lkn vyote hivyo huvisikii kumkosoa Trump.
Yaani hivi sasa dunia inavyoendeshwa kama inaendeshwa na watu na sio mihimili...
https://youtu.be/QIqjJSoPFQ4?si=3-ZD6Dz4OrPa60Oq
HOJA ZA UTETEZI WA SERIKALI HARAMU YA CCM ILIYOJIWEKA MADARAKANI KWA MTUTU WA BUNDUKI KUMTWISHA MZIGO MWANANCHI:
##Wanasema, wananchi acheni kulalamika, bebeni tu mzigo huu wa gharama kwa kuwa ni mwepesi sana na kwa kuwa:
1. Bei zetu CCM na...
Habari wanajf
Japo sipendezwi na aina ya uongozi wa mama kwa baadhi ya Mambo na namna CCM inavyorun nchi lakini Nina Imani sio wote CCM ni wabaya wapo ambao wanaweza kufanya mabadiliko na wengine hawafurahishwi na baadhi ya vitu vinavyofanyika, pamoja na ubaya wote wa CCM ila Kuna Mambo ya ovyo...
Kama UNO wameshindwa kuwazuia Isreal na USA kuishambulia Iran.
Pia wameshindwa hata kutoa neno tu kukamatwa Maduro ni wazi hivi sasa dunia ishapotea njia.
Chadema wasitegemee chochote kutoka huko.
ICC yenyewe kama imekufa.
Look for any alternatives to secure release of Tundu Lisu and thereafter other issues of democracy in Tanzania to follow such as Katiba Mpya, Tume Huru ya Uchaguzi and many others.
Finally to bring to justice those involved in October 29th 2025 massacre of innocent Tanganyikans
Najua meeting...
Hii ni muhimu kujua mikutano yake anaiendeshaje? Ana team ya wataalamu wa kuchukua notes/ minutes/ proceedings za mikutano?
Je Chadema walichukua notes za comments za Chakwela and team? Au amekuja peke yake?
Mwanasheria wa CHADEMA Dr Rugemeleza Nshala anayesemekana ana PhD ya Havard anasema nchi imef...wa na kulawitiwa.
Hawa ndiyo wanataka CCM iwaachie madaraka??
Akiongelea sakata la Lissu kuendelea kushikiliwa gerezani, Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA katumia lugha kali kueleza udhaifu wa Bi. Mkubwa huku akirejea na matamshi yake ya jana kuhusu bei ya mafuta duniani.
Hakika kaamua liwalo na liwe maana hajazunguka katika matamshi yake.
Watu wamechoka...
Kwanini CHADEMA hawapingi vita Mashariki ya kati ili mafuta yashuke bei?
Katika statement zao, sijaona wala kusikia angalau kuilamu USA kuivamia Iran.
Wao wanamlaumu Rais wa Tanzania tu badala angalau kutoa statement 1 ya kulaumu nchi zilizosababisha haya mambo
Ndugu zangu Watanzania,
Kwa hakika CHADEMA wana akili za Kinyumbu,hawajitambui kabisa, ni Watu wenye matatizo makubwa sana ya kiakili . Hawanaga Kumbukumbu ya kukumbuka hata nini walizungumza siku moja iliyopita . Ubongo na vichwa vyao havina uwezo wa kutunza kumbukumbu na kukumbuka ya Awali...
Poleni sana Chadomo Kwa hili pigo na kuendelea kujaza maji kwenye neti.
======
The World Bank has approved $550 million in financing for Tanzania to boost jobs and support vulnerable households.
The funding will benefit more than three million people through skills training and social...
CHADEMA hii ambayo naiita chama cha kudandia kila jambo linalotokea duniani na Tanzania isahau kuingia Ikulu, labda Mungu aamue kubadili mfumo wake wa Dunia ambao kwa malaki ya miaka haujabalika.
Dodoma ipite bahari, Morogoro ipite bahari au iwepo bahari ndipo CHADEMA huenda wakaingia Ikulu...
Taarifa kutoka ukurasa wa Instagram wa Habari 24 zimechapisha habari yenye ujumbe kwamba John Mrema, ambaye ni kada wa chama cha CHAUMA, ameomba kurejea CHADEMA.
Katika chapisho hilo, ujumbe ufuatao umeonekana: “Taarifa ambazo bado hazijathibitishwa zinaeleza kuwa aliyewahi kuwa Mkurugenzi wa...
Yangu ni hayo kwa Leo.
Chadema iko kwenye mioyo ya watu. NI IMANI THABITI NDANI yangu, ndani yako na wewe.
CHADEMA NI KAMA IMANI YA DINI, HUWEZI KUIUA.
Bajeti mpya ya ununuzi wa Binadamu imepangwa, lengo kuu ni kununua viongozi kadhaa wa Chadema ili kudanganya umma kwamba chama hicho kina mgogoro
Sababu kuu ya kujaribu Ujinga huu ulioshindwa hapo mwanzo inatajwa kuwa ni kutokana n.a. kushindwa vibaya kwenye Ile kesi ya uongo ya Uhaini...
Mhe. Katibu Mkuu,
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)
YAH: KUJIUZULU NAFASI YA KATIBU WA KANDA - KASKAZINI
Tafadhali rejea kichwa cha habari hapo juu.
Kwa heshima kubwa ninapenda kujulisha kuwa ninajiuzulu nafasi yangu ya ukatibu wa Kanda ya Kaskazini kuanzia leo hii tarehe 01.04.2026...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.