chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. Bawabu wa pili

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Magereza yajibu malalamiko ya CHADEMA kuzuiliwa kumuona Lissu gerezani

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimesema viongozi wake wamezuiwa kumwona mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu aliyepo katika Gereza la Ukonga jijini Dar es Salaam. Lissu yupo mahabusu kwa kesi ya uhaini inayomkabili kwa takriban miezi minane sasa, tangu alipokamatwa Aprili 2025...
  2. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Vijana acheni kujificha kwenye hoja za CHADEMA, nyoosheni maelezo kuwa life kwenu limekuwa gumu Rais aangalie namna

    Tangu nchi hii ipate uhuru Rais Samia ni Rais bora sana. Rais mwenye utu mkuu. Vijana mliookosa ramani kuanzia 2015-2021 kipindi cha Magufuli ni kama vile zama zenu zimepita. Kila jambo na wakati wake. Yule jamaa aliwavuruga mkakosa ajira, vibiashara vikagoma . Lakini mlivyokuwa malofa mnamwona...
  3. Superbug

    JamiiForums Tanzania Risasi za MO29 hazikuchagua ccm au chadema mwislamu au mkristo aliyepiga kura na asiyepiga kura

    Risasi ziliuwa watanzania bila kujali makundi yao hivyo adui yetu ni mmoja Samia ccm na polisi.
  4. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 CHADEMA: Jeshi la Magereza limezuia viongozi wa Chama kumuona Mwenyekiti Taifa, Tundu Lissu Gereza la Ukonga

    TAARIFA KWA UMMA Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinauarifu umma na Jumuiya ya Kimataifa kuwa Serikali kupitia Jeshi la Magereza limezuia viongozi wa Chama kumuona Mwenyekiti Taifa, Mhe. Tundu Antipas Lissu katika Gereza la Ukonga. Katika siku za karibuni, viongozi wa Chama akiwemo...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Watawala wetu, Sililizeni Busara za Mwenyekiti wa Chadema Sumbawanga

    Msikilize. Sina sababu ya kuongeza maelezo. Kwa nia njema ya uzalendo
  6. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mwenyekiti wa CHADEMA Sumbawanga: Chaguo ni moja tu, ni Watawala kukubali kubadilika, Watu wamechoka wanahitaji mabadiliko

    Mwenyekiti wa CHADEMA Wilaya ya Sumbawanga, Adolf Mkono akizungumza katika kongamano la amani na utulivu lililo fanyika Novemba 27,2025 katika ukumbi wa Nazareth Sumbawanga. "Chaguo ni moja tu, ni watawala kukubali kubadilika, watu wanamaumivu ya muda mrefu na wanahitaji mabadiliko."
  7. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kesi ya Viongozi wa CHADEMA kuidharau amri ya Mahakama yatupiliwa mbali

    Kutoka Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam kesi ya kudharau amri ya Mahakama iliyokuwa imefunguliwa na aliyewahi kuwa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Zanzibar Saidi Issa Mohamed na wenzake dhidi ya viongozi waandamizi wa CHADEMA wakiongozwa na Makamu Mwenyekiti wake wa Tanzania...
  8. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kesi ya Viongozi wa CHADEMA kudharau amri ya Mahakama kuu kusikilizwa leo Novemba 28

    Kutoka Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam, viongozi waandamizi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wakiongozwa na Makamu Mwenyekiti wake wa Tanzania Bara John Heche tayari wamefika Mahakamani hapo leo, Ijumaa Novemba 28.2025 Ikumbukwe kuwa, Mahakama hiyo leo...
  9. C

    JamiiForums Tanzania CCM nadhani sasa ile hoja yenu ya CHAMA KWANZA TAIFA BAADAYE mnaiona inavyowatafuna, msilalamike chini chini maana mliaminishana mnaikomoa CHADEMA

    Wana CCM sasa hawana amani na chama chao, wamekochukia chama chao,wameishiwa kiherehere wamekaa hawaamini yanayo endelea wamebaki kulalamika chinichini tu Hii ndio faida ya kile mnacho sema na kuimbiana kwamba chama kwanza taifa badae mkiaminishana mnawakomoa CHADEMA huu ni mfumo mlio uasisi...
  10. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania IGP Wambura usijitoe Ufaham, Yaan RASIMALI zibagazwe, Vyama Siasa (CHADEMA) Muwaumize Kila siku, alafu ulopoke "Watanzania msikubali kugawanyika"

    Huyu huenda ndio akawa IGP mpuuzi kushinda Upuuzi wenyewe, na Haya yote ni matokéo ya kua na Elimu za Hapa na Pale, Elimu za Kuhonga honga wahadhiri mpaka unapata Degree. Huyu Jamaa Leo ananukuliwa anawaambia Wananchi, eti msikubali Kugawanyika Kwa Sababu za Kisiasa , Wala za Rasimali... LISSU...
  11. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Vijana wa CHADEMA watafuta hifadhi nchini Kenya kuhofia usalama nchini Tanzania

    Baadhi ya wanasiasa vijana wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA wanapata hifadhi nchini Kenya kwa kuhofia usalama wao baada ya vurugu zilizojiri nchini mwao wakati wa uchaguzi mkuu wa siku chache zilizopita.Wanasiasa hao wanaurai Umoja wa Mataifa kuingilia kati ili wapate sikio kuepusha...
  12. Idugunde

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kuhusu kiongozi wa CHADEMA kudai atakinukisha suala lipo Mahakamani. Je, tume ya uchunguzi inachuguzaje suala hili?

    Tutakinukisha. Hii kauli ndio msingi wa kesi ya uhaini inayomhusu Lissu. Mahakama ni chombo huru. Tume itapoingilia suala hili na kuanza kuchunguza ni kuingilia kesi iliyopo mahakamani. Kama ndio hivyo Lissu aachiwe huru alafu Tume ichunguze alivyokinukisha. My take, mpaka sasa hivi Lissu...
  13. R

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Heche: Tunatambua kuna baadhi ya viongozi wenzetu (CHADEMA) wanatumika katika kuchochea hizi vurugu

    Kwa kufuatilia press za Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) John Heche sijapata kusikia hii taarifa ya Heche kukiri kuwa kuna baadhi ya viongozi wa CHADEMA wanhusika kuchochea kufanya vurugu bali wakati wote CHADEMA na viongozi wake wamekuwa wahanga kwa kukanamizwa...
  14. PAYE

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mwaipaya: Polisi wenye silaha za moto wamevamia nyumbani kwa mwenyekiti CHADEMA Kyela, waondoka naye kusikojulikana

    Usiku wa kuamkia leo (Novemba 20) watu waliojitambulisha kuwa ni Askari polisi wakiwa na silaha za moto wamevamia nyumbani kwa mwenyekiti wa Wilaya ya Kyela (CHADEMA), VICTORIA SWEBE na kuondoka naye kusiko julikana. Tunaendelea kufuatilia zaidi na tunalitaka jeshi la polisi Kyela, Mbeya...
  15. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Sheikh Bakoz: Tunajiuliza maswali, CHADEMA wameingia mkataba gani na Kanisa Katoliki?

    Vita imekuwa kali sana udini unataka kuichafua nchi kijinga sana. Nyie Mashekh acheni ushamba wa kidini jengeni hoja na sio kuingia katika vita vya kidini katika kutetea maslai ya watu wachache. Kama mnatumika na watu fulani kumbukeni mnajenga vita mbaya sana! =========== Sheikh Bakoz...
  16. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Je, ni wazi kuwa CHADEMA wanaunga mkono maandamano ya Disemba 9?

    Hakuna chama cha upinzani hapa nchini kinachokubalika kama CHADEMA hii. Ingekuwa ya Mbowe watu wangesema kuna mazingaombwe. Tayari wameshaikataa tume isiyohuru iliyojaa makada wa CCM inayotuhumiwa na wqnachi kufisadi mali za umma huku familia za makada wake wakinufaika na ufisadi. Je, hii ni...
  17. CHADEMA

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Msimamo wa CHADEMA kuhusu tume iliyoandaliwa kuchunguza “matukio ya uvunjifu wa amani” baada ya uchaguzi wa Oktoba 29, 2025

    MSIMAMO WA CHADEMA KUHUSU TUME ILIYOANDALIWA KUCHUNGUZA “MATUKIO YA UVUNJIFU WA AMANI” BAADA YA UCHAGUZI WA OKTOBA 29, 2025 Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinapenda kuuarifu umma wa Watanzania na Jumuiya ya Kimataifa kwamba haiitambui Tume ya Uchunguzi iliyoteuliwa na Ndg. Samia...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Update sofware kichwani mwako kama bado unafikiria tatizo ni CHADEMA!

    Update sofware kichwani mwako kama bado unafikiria tatizo ni Chadema! Maana kuna watu bado wanajidanganya mpaka leo. Sasa wapinzani wa Tanzania ni watanzania wenyewe na hawana chama wala nini lakini wana maumivu yanayo fanana
  19. Lord Diplock MR

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Hivi, zuio la CHADEMA kushiriki siasa halihusu vikao vya maridhiano?

    Nimesikia habari za Maridhiano na nimesikia ujio wa Rais Mstaafu wa nchi jirani kujaribu kukutana na vyama vya siasa nchini na kufanya mazungumzo ya maridhiano. Mazungumzo hayo yanatarajiwa kufanyika kwa muda wa siku kadhaa kuanzia kesho. Wakati hayo yakiendelea sote tunajua kuwa lipo zuio...
  20. President of China

    JamiiForums Tanzania Serikali kazia hapo hapo msiwape nafasi tena CHADEMA wasijifanye wao ni last born kususa susa - Nchi ilikuwepo bila CHADEMA na itaishi bila CHADEMA

    Dunia yote inajua walisusa, wakagomea ku sign kanuni za uchaguzi walitegemea serikali itawabembeleza. Sasa hivi maisha yanaendelea, mpaka kufikia 2030 CHADEMA itakuwa imekufa. Mfadhili mkuu w CHADEMA kila mtu amemuona, Tundu Lisu aliwahi kunukuliwa akisema aliwahi kukutana na kiongozi wa dini...
Back
Top Bottom