Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.
Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.
Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.
Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
Kikao cha Baraza la Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam nchini Tanzania cha kujadili tuhuma zinazomkabili Meya wa jiji hilo, Isaya Mwita kimesimama kwa muda baada ya jina la mjumbe wa Chama cha Wananchi (CUF) kusainiwa wakati hayupo ukumbini.
Kikao hicho kinafanyikia ukumbi wa Karimejee jijini...
Ni miaka sasa tangu Mbunge Shujaa wa taifa Tundu Anthipas Mughwai Lissu (TAML) kupigwa risasi hadharani mchana kweupe huku dalili zikionyesha kuhusika kwa baadhi ya watu wenye mahusiano na serikali ya CCM na vyombo vya usalama.
Ushauri wangu ni kwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)...
Najaribu kujiuliza huwa sipati majibu. Kwa nini viongozi wengi wa kanda wa chadema ni wabunge.
Hivi hakuna watu wengine kwenye kanda wakagombea hizi nafasi ili baadae waje kugombea nafasi za kitaifa au ubunge?
Kumpa nafasi ya kiongozi wa kanda mbunge fulani kusema kweli ni kumtwisha zigo...
Mwana Ilboru mwenzangu Lazaro ndiye atakuwa mgombea wa Chadema mwaka huu 2020 kama wataruhusiwa kushiriki uchaguzi.
Nilikutana naye 2011 Virginia kwenye mkutano na bahati nzuri nilikuwa namfahamu tangu Ilboru nikamwambia kiutani personality yako inaendana zaidi na upinzani.
Vilevile nilisoma...
Mh Ayubu Sikagonamo ameachiwa kwa dhamana hatimaye. Hongereni sana Chadema Kanda ya Nyasa kwa ushindi huu.
Mh Ayubu Sikagonamo alisingiziwa ujambazi, polisi wakatengeneza filamu ya kuokota silaha nyumbani kwake, baada ya ushahidi kukosekana wakamtengenezea Uhujumu Uchumi kwa kushirikiana na Mh...
Nafahamu kwamba baada ya kuingia ofisini bila shaka unayo mipango mingi sana ya kukipeleka chama mbele zaidi, hilo wala sina shida nalo hata chembe, bali nakuomba kwenye ratiba yako ya mwezi January upange kutembelea chama chako kwenye maeneo niliyoyaainisha hapo juu.
Ukifika Kyela tutajitahidi...
Mada hii itajikita katika kuuchambua mfumo wa CHADEMA wa Mhe. Mbowe uliopo kwa miaka 16 sasa na utaendelea kuwepo kwa kadiri Bw. Mbowe atakapoona ni wakati wa kumwachia mwingine anayemuona anafaa.
Jicho la Mbowe ndio linapendekeza na kuchagua nani amrithi, hii inatokana na kauli yake mwenyewe...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Jimbo la Mbeya Mjini kimeanza amsha amsha kwa kumwaga semina elekezi kwa viongozi wa Kata zote , Vijiji na vitongoji kwa lengo la kuwajengea uwezo wa kiutendaji .
Ikumbukwe kwamba siasa za kishirikina za kutembea mitaani na majeneza kama...
Kaimu Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Pwani Baraka Mwago amezungumzia Kero kubwa ya Mabasi ya mwendokasi inayowakumba wakazi wa Dar es Salaam.
Katika Salaam zake za mwaka mpya kwa Wakazi wa Kanda ya Pwani kiongozi huyo wa chama kikuu cha upinzani nchini alisema magari ya mwendokasi yamekuwa...
Hakuna haja ya maneno mengi, kichwa cha habari kinajieleza.
Nimeamua kwa moyo wa dhati kabisa uliojaa upendo mkuu kuwatakieni Heri ya:
Viongozi , wanachama na wapenzi wote wa Chadema ikiwa ni pamoja vyama rafiki vyote tunavyoshirikiana navyo kwenye harakati za ukombozi wa nchi yetu ...
Wakuu natanguliza salamu za Mwaka mpya , baada ya salamu hizi najikita moja kwa moja kwenye hoja .
Chama cha Demokrasia na maendeleo kanda ya Pwani kimeandaa Mawakili wawili watakaofungua kesi Mahakamani ili kupinga sheria
ya " kishenzi " ya utakatishaji fedha
Hayo yamesemwa na Makamu...
Nianze kwa kutoa wito kwa viongozi wa CHADEMA kukataa uonevu kwa vitendo. Ushauri wangu ni kwamba:
1. Mkifuatiliwa na magari ambayo yanautata, toeni taarifa Polisi wasipojibu au kuchukua hatua kwa haraka, tumieni kila njia angalau hata gari moja inayowafuatilia ichomwe moto. Hakikisha muwe na...
Wana MWANZA wamempokea Katibu Mkuu wa CHADEMA kwa shangwe na kuweka historia kwenye mkoa huo kwa kuamua kukabidhi hadhi ya Chifu wa Wasukuma.
Hakika huu ni msimamo wa kujivunia sana kwa wana MWANZA na inaonyesha kuwa sasa wameanza kujua mchele ni upi na chuya ni zipi kati ya CCM na CHADEMA...
Huwa najiuliza hivi siku upinzani ukichukua nchi utaanza kutatua kero za wananchi moja kwa moja au utaanza kulipa kisasi? Kukamata kamata watu na kusukuma ndani? kukumbushia wapi walionewa kama jibu litakuwa ni kuwakaMAta wakina Makonda, wakina Hapi wakina Mzee Magufuli (bila kujali kinga)...
Nilikuwa nasoma historia za wanasiasa wa Kenya akina Mudavadi, Ruto, Kalonzo Musyoka, Raila na wengine wengi nimeona 95% ni watoto wa wapigania Uhuru. Yaani wana ile spirit ya siasa.
Nikarudi hapa nyumbani kwa wakina Mwigulu, Mbowe, Tundu Lissu, Zitto, Nape, January na wengine wengi nimegundua...
Hivi vyama viwili kila kimoja kimeelekea zaidi upande fulani tofauti na kingine jambo ambalo ni hatari kwa umoja wa kitaifa.
Nimejaribu kuangalia uongozi wao wa juu na kamati kuu za vyama hivi viwili sijaona uwiano kabisa ni kama vile vyama vya uarabuni au nchi za Scandinavia.
Nawashauri...
Kwa viongozi, wanachama na wafuasi wa Chama chetu na Watanzania wote kwa ujumla,
PEOPLE'S
Naomba nianze kwa kuwapa salamu za msimu huu wa Sikukuu ya Noeli na kuwatakia kila lenye kheri katika Mwaka Mpya unaokuja.
Pili, naomba kuwapongeza kwa kukamilisha Uchaguzi Mkuu wa Chama chetu katika...