CHADEMA sasa kataeni uonevu huu kwa Vitendo. Maxence Melo hauko salama, ona unavyojadiliwa

Mapambano Yetu

JF-Expert Member
Aug 14, 2012
1,121
2,064
Nianze kwa kutoa wito kwa viongozi wa CHADEMA kukataa uonevu kwa vitendo. Ushauri wangu ni kwamba:
1. Mkifuatiliwa na magari ambayo yanautata, toeni taarifa Polisi wasipojibu au kuchukua hatua kwa haraka, tumieni kila njia angalau hata gari moja inayowafuatilia ichomwe moto. Hakikisha muwe na ushahidi wa kutoa taarifa Polisi bila kujibiwa hata kwa kurecord mawasiliano.

2. Umeibuka utaratibu wa kuwafungulia watu kesi zisizo na dhamana. Yawezekana hata wale wasaidizi wa JJM yakawakuta. Niwaombe msikae kimya ni vema kama ni kukinukisha kinuke kweli kweli kuliko kivumilia uonevu wa aina hii. Yalishatokea kwa baadhi ya wabunge wenu (Lema & Sugu). Kuendelea kuyavumilia ni sawa na kuwavunja moyo wale walioko nyuma yenu. Kama ninyi mnakubali kufanyiwa hivyo vipi pale watakapofanyiwa wanachama wenu mtaweza kuwatetea kweli? Tafakari

3. Max Melo kaa chonjo. Naona mjadala juu yako unaendelea kupamba moto hivyo kuwa mwangalifu sana.

IMG-20191230-WA0001.jpg

Wanakujadili sana na sio kwa nia njema.
 
Ben Saanane ilikua hivi hivi vimesege vya kijinga jinga kutoka kwa CCM ya Magufuli, wakamuua

Mhe, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu LISSU ilikua hivi hivi vimesege vya kijinga jinga mitandaoni kutoka kwa CCM ya Magufuli, kilichompata nikifo cha risasi, ni Mwenyezi Mungu tu aliemponya.

M/Mungu akutangulie na akulinde kiongozi wangu MAXE MELLO. Ukweli ni nikwamba CCM ya Magufuli wakiandika hivyo ujue mda wowote wanakuua.
CCM ya Magufuli ni genge la KIGAIDI linaloratibu UGAIDI IKULU kuwamaliza Watanzania. CCM NI LAANA WANACCM WOTE NI LAANA.
 
Back
Top Bottom