Mwana Ilboru mwenzangu Lazaro ndiye atakuwa mgombea wa Chadema mwaka huu 2020 kama wataruhusiwa kushiriki uchaguzi.
Nilikutana naye 2011 Virginia kwenye mkutano na bahati nzuri nilikuwa namfahamu tangu Ilboru nikamwambia kiutani personality yako inaendana zaidi na upinzani.
Vilevile nilisoma na Kalisti mayor wa Arusha ambaye ameamia CCM naye nilimwambia 2016 kwamba sio mpinzani yeye kwa mawazo yangu angetakiwa kuwa Katibu Mkuu wa TAMISEMI ni Mtendaji au Waziri wa Biashara.
Lakini wote niliwashauri mida tofauti wana muonekano wa kujivuna vuna na waache. Tusubiri tuone lakini nina imani kubwa Nyalandu ndiye atakuwa mgombea na sio Lissu.
Mwezi uliopita nimemwambia direct Kalisti aache kuongea ovyo kwa Chadema maana haiendani na personality yake naona ameacha. Nyalandu akiacha majivuno kidogo ni kiongizi mwenye kipaji sana.
Lazaro Samuel Nyalandu (born 18 August 1970) is a Tanzanian politician, former member of the Chama Cha Mapinduzi and former Minister of Natural Resources and Tourism. He represented the Singida North constituency in the National Assembly since 2000. He is currently a member of CHADEMA, an opposition party in Tanzania.