chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kampeni zashika kasi, kishindo cha Tundu Lissu chatikisa Arusha. Shughuli zasimama, wafanyakazi watoroka makazini

    Hii ndio habari inayosambaa kwa kasi Arusha kwa sasa, baadhi ya watu wanaotafuta huduma kwenye maofisi mbalimbali wamelalamika kukosa huduma baada ya maofisa kufika na kusaini kisha kutoroka ili kuwahi Mkutano Mkubwa sana wa Kampeni wa Rais Mtarajiwa Lissu. Endelea kufuatilia hapa hapa JF kwa...
  2. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Ally Bananga: Mwizi karudisha vitu vyetu halafu analazimisha tumsifu

    KAULI YA BANANGA INATISHA; "MWIZI KARUDISHA VITU VYETU ALAFU ANALAZIMISHA TUMSIFU" Na, Robert Heriel Moja ya watu waliotisha siku ya jana kwenye mkutano wa Kampeni wa CHADEMA huko Tabata Segerea ni pamoja Ally Bananga. Sikuwahi kumjua huyu Bananga, siku ya jana ndio nimemuona na kumsikia...
  3. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kwa kupinga Uwanja wa Ndege Chato iliyo Geita na kupinga uwepo wa Mbuga, wana Geita wote msimpe Lissu na CHADEMA kura hata moja

    Lissu na CHADEMA wamekuwa wanapinga wazi uwepo uwanja wa ndege Chato ambao ni Mji wa Geita. Wanaona wana Geita hawastahili kuwa na uwanja wa ndege pamoja na kuchangia Kodi mabilioni ya pesa za kigeni kupitia migodi mikubwa ya dhahabu Kama Geita Gold Mine nk Kwa kupinga Geita kuwa Wana Geita...
  4. B

    JamiiForums Tanzania GE2020 Paschal Haonga wa CHADEMA azindua kampeni Mbozi

    30 Agosti 2020 Mlowo, Mbozi Songwe. Mgombea Mbunge kupitia Chama cha CHADEMA azindua kampeni ya Ubunge kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2020 mbele ya mkutano wake mkubwa wa kwanza jimboni Mbozi mkoani Songwe. Mgombea Paschal Haonga akiwania kuchaguliwa kwa mara nyingine kupitia CHADEMA leo...
  5. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania GE2020 Karatu: Uzinduzi wa kampeni za Mgombea Ubunge wa CHADEMA zatikisa

    Mhe. Cecilia Pareso leo amezindua kampeni za Ubunge wa jimbo la Karatu , hali ndio kama mnavyoona
  6. Mystery

    JamiiForums Tanzania GE2020 Hebu tutafakari sera zinavyonadiwa na mgombea wa CCM John Magufuli na yule wa CHADEMA Tundu Lissu

    Hakuna mashaka yoyote kuwa katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu, mchuano mkali sana wa kinyang'anyiro hicho cha urais utakuwa baina ya vyama viwili ambavyo ni CCM na CHADEMA. Kwa maana hiyo ni lazima sisi wananchi tufuatilie kwa makini sana, kwa wagombea wa Urais wa vyama hivyo viwili vikuu, pale...
  7. E

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mpaka sasa nafikiria Gwajima atakavyomshukia Halima kama mwewe baada ya kuitwa Mrembo

    Wana JF kama kuna siku naingojea kwa hamu kubwa na ambayo namuomba mwenyezi Mungu anijalie nikutwe na afya njema na niwe sehemu ya mkutano huo wa ufunguzi wa kampeni za askofu Gwajima au niwe sehemu ambayo nitaweza kuona mubashara. Hii shauku imesababishwa na Halima James Mdee kumuita Askofu...
  8. funaku

    JamiiForums Tanzania Tusiwadanganye wafanyakazi. CHADEMA haijawahi kuhudhuria Sherehe za Wafanyakazi kwa miaka mitano

    Kujua shida za wafanyakazi ni pamoja na kuhudhuria kwenye sherehe za wafanyakazi ili kujua kikamilifu matatizo ya wafanyakazi. Leo hii ukisimama jukwaani ili kuvutia kura unajidai unawapenda wafanyakazi ni ulaghai wa kiwango cha utopolo(samahani mashabiki wenzangu wa yanga) KWA HISANI YA MTU...
  9. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mbowe: CHADEMA inafanya kampeni kimkakati, kesho tutakuwa Arusha na keshokutwa Mwanza

    Mwenyekiti wa CHADEMA mh Freeman Mbowe amesema chama chao kinafanya kampeni za kimkakati na kitovu cha kampeni zao ni jiji la DSM. Mbowe amesema mgombea urais wa CHADEMA kesho atakuwa jijini Arusha na keshokutwa atakuwa jijini Mwanza kwa shughuli za kampeni. Chanzo: ITV habari Maendeleo...
  10. assadsyria3

    JamiiForums Tanzania GE2020 CHADEMA hapa mmechemsha, badilisheni mikakati

    Natoa ushauri kwa kuwa siipendi CCM na Mimi Sina chama ila napenda haki kwani haki huinua taifa. CHADEMA kufanya uzinduzi sehemu tatu kwa siku tatu sehemu moja inachosha. Watu waliokuepo leo Segerea si Jambo POA kwa mgombea uraisi. Nadhani mlipaswa mfanye mobilisation mfanye uzinduzi ambao...
  11. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania GE2020 Baada ya Vyombo vya Habari kuminywa kutoa habari za CHADEMA, wagombea Ubunge wabuni mbinu mpya ili kuwafikia wapiga kura

    Huyu ni Mgombea Ubunge wa jimbo la Makambako kwa tiketi ya CHADEMA akitumia njia mpya ya kujitangaza . Mytake : Tunaomba radhi kwa usumbufu wa nyuzi zetu nyingi za kampeni , hii ni kwa vile muda wa kampeni ni mfupi na tunazihitaji sana kura zenu
  12. O

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ushauri kwa waandaaji wa Kampeni za CHADEMA

    Siku 3 zilizopita chama cha CHADEMA kimefanya Uzinduzi wa Kampeni zake Mkoa wa Dar es Salaam, Katika hali isiyotarajiwa mwitikio wa watu umekuwa Mdogo kuliko Kawaida sana naweza kusema(Waliohudhuria ni chini ya 5000). Wafuasi na wapenzi wa Chadema walioko sehemu mbali mbali wanaweza kujitetea...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Nimeamua rasmi kuchukua kadi ya uanachama CHADEMA

    Niliwahi kuwa mwanachama wa NCCR-Mageuzi wakati wa mzee Lyatonga lakini tukasambaratika, wengine wakaenda TLP. Mimi nikaachana na uanachama lakini baada ya kuona msimamo wa Mbowe, Lema kukaa mahabusu, risasi za Lissu na sasa sera makini za CHADEMA, natangaza rasmi kwamba kesho napokea kadi ya...
  14. CHADEMA

    JamiiForums Tanzania GE2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za mgombea Urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu na Salum Mwalimu

    Jiji la Dar es Salaam ambayo ni ngome Kuu ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo linatarajiwa kusimama kwa siku tatu kupisha uzinduzi wa kihistoria wa mgombea Urais wa Chama hicho. Mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chadema Tundu Lissu atazindua Rasmi kampeni zake kuelekea Ikulu ya Magogoni na...
  15. E

    JamiiForums Tanzania Viongozi na mgombea wa CHADEMA mnatakiwa mjifunze kwa mgombea wa CHADEMA jimbo la Tunduma ndg Mwakajoka

    Nimemsikiliza mgombea ubunge kupitia chadema ktk jimbo la Tunduma nikashawishika kuwaomba viongozi wa ngazi za juu CHADEMA na mgombea wao wa urais ndg Tundu Lissu kuwataka wajifunze kwake. Mwakajoka ktk ufunguzi wa kampeni zake ktk jimbo la Tunduma amesema haya. 1. Kalaani mauaji yakijana...
  16. Dam55

    JamiiForums Tanzania Wazo huru: Hii ndio sababu ya CHADEMA kuchangisha michango ya mfuko wa Kampeni (nyuma ya panzia)

    Kwanza naomba nitangulize kuomba radhi wale wote ambao nitawakwaza kwa wazo langu hili, Ila naomba tu ileleweke kuwa nimetumia tu haki yangu ya kikatiba kutoa maoni. Kwa kifupi sana ni kwamba kilichopo nyuma ya hii changia changia inayo endeshwa na CHADEMA kutunisha mfuko wa kampeni ina kitu...
  17. F

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu aweka wazi Sera zake kupitia ilani ya CHADEMA 2025

    Hatimaye baada ya kusemwa Sana kupitia mkutano wa uzinduzi Mbagala, Sasa Lisu ameonekana kujipanga na kutozungumzia tena blablaah za kupigwa risasi ambazo tumezizoea. Kupitia mkutano wa Kawe Lisu na makamu wake Salim Mwalimu, wamekuja na ahadi hizi kwa Watanzania. ILANI: Uhuru, Haki na...
  18. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu kutikisa Tabata Segerea, ni katika Mkutano mkubwa wa kampeni za Urais za CHADEMA

    Mikutano mikubwa ya kampeni ya Mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo ( CHADEMA ), ambaye magwiji wa siasa nchini Tanzania wanamkadiria kushinda kiti hicho kwa zaidi 70% inaendelea tena , na leo ikiwa ni zamu ya Jimbo la Tabata Segerea. UPDATES Tabata Liwiti - Segerea
  19. T

    JamiiForums Tanzania GE2020 Naombeni tuchangie kampeni za CHADEMA kwa sababu tumeshachangia za CCM kupitia kodi zetu

    Nawaombeni wananchi wote wapenda HAKI tujitoe kuchangia walau kuanzia sh.500 ili kufanikisha kampeni za CHADEMA. Nawaombeni msishangae kwa hilo kwa sababu tayari fedha zote za kampeni za CCM ni michango yetu sisi wananchi kupitia kodi zetu. CHADEMA wana sera nzuri sana kama tulivyozisikia hapo...
  20. PAZIA 3

    JamiiForums Tanzania GE2020 CHADEMA, tafuteni television station itakayorusha kampeni zenu mubashara

    Popote mlipo, huu Ni ushauri wangu kwenu, mikutano yenu haiwezi kutegemea matangazo ya gari za matangazo na social media, katika pesa mliyonayo, ongeeni na ITV/ AZAM wawe wanarusha matangazo na ratiba za kampeni zenu. Ikishindikana kwa hizo media, basi boresheni CHADEMA TV iwe active LIVE 24...
Back
Top Bottom