chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mama Samia: Nakubaliana na Makongoro Nyerere, CHADEMA ni jiko la mkaa huwezi kulikumbatia ama litakuunguza au litakuchafua na masizi!

    Mgombea mwenza wa CCM mama Samia Suluhu amesema anakubaliana na kauli ya Makongoro kwamba Chadema ni kama jiko la mkaa halikumbatiki. Jiko la mkaa ukilikumbatia ama litakuunguza au kama halina moto litakuchafua kwa masizi. Mama Samia alikuwa akizindua kampeni jijini DSM katika viwanja vya...
  2. Elius W Ndabila

    JamiiForums Tanzania GE2020 CHADEMA wamedhibitiwa mkoa wa Mbeya

    NGUVU YA CHADEMA HAIPO TENA MBEYA, WATAPIGWA OCTOBER 28 Na Elius Ndabila Kuna watu jana baada ya Mh Tundu Lissu kufanya mkutano wake jijini Mbeya wamekuja na kauli kuwa Mbeya mjini ni ya CHADEMA. Bahati mbaya wamefanya utafiti ambao kisiasa ni inlogic. Kabla sijatoa hoja madhubuti ya kupinga...
  3. K

    JamiiForums Tanzania GE2020 Hoja ya kufuta sheria zinazonyima watu dhamana Ni turufu kwa CHADEMA

    Hii hoja ya kufuta sheria kandamizi zinazonyima watu dhamana Ni yakuungwa mkono na kila MTANZANIA, wapo Wana CCM inawaumiza na kuwanyamazisha, wapo wapinzani na wapo wafanyabiashara ambao leo CCM ikitaka ikufilisi inakupeleka mahakaman kwa makosa yakusadikika na hatma yake unaozea jela bila kesi...
  4. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Msimamizi wa kitengo cha Habari CHADEMA ni mamluki.

    Hili halihitaji shahada ya Biology au Philosophy kulitambua. Siku hizi kuna Simu nzuri za kisasa, camera za kisasa, drones n.k ambazo unaweza kuzitumia kuchukulia video katika ubora wa hali ya juu na kuzirusha direct kwa hadhira. Cha ajabu matangazo ya live CHADEMA yanakata kienyeji tu. Nafasi...
  5. R

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ilani ya uchaguzi ya CHADEMA kuathiri ndoa na ajira

    Nimeisoma ilani ya uchaguzi ya CHADEMA kurasa zote. Nimeona kasoro nyingi sana lakini kwa leo nitazungumzia kaosro mbili ambazo zina athari kwa jamii ya watanzania nazo ni ndoa na pia kwa watakaokuwa wanamaliza masomo na kutafuta kazi. Pia nitazungumzia na ushoga jao haupo katika ilani lakini...
  6. funaku

    JamiiForums Tanzania CHADEMA inakosa cha kuwaonesha wananchi walichofanya majimboni miaka 5 iliyopita

    Nikirejea Historia ya Jimbo la Karatu chini ya Mbunge Dr Wilbrod Slaa alikuwa ni mpinzani aliyeweza kuonesha ubora wa upinzani kushika jimbo kwa kuleta mabadiliko na moja ya alama ya mabadiliko hayo ni maji ya bomba. Hii ilikuwa ni alama inayomfanya Dr Slaa kuwa mwanasiasa bora japo akitokea...
  7. BAK

    JamiiForums Tanzania Mzozo wa CHADEMA na TBC: Nitasema mimi kiazi, wewe muhogo una mzizi'!

    MZOZO WA CHADEMA NA TBC: 'NITASEMA MIMI KIAZI, WEWE MUHOGO UNA MZIZI'! Wiki iliyopita nilihudhuria Uzinduzi wa Kampeni za Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Tundu Lissu katika Viwanja vya Zakhiem, Mbagala jijini Dar es Salaam. Kama kawaida yangu, nilitoa nasaha au...
  8. N

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kwa ubabaishaji huu wa CHADEMA hawapaswi kupewa madaraka

    KWA UBABAISHAJI HUU WA CHADEMA HAWAPASWI KUPEWA MADARAKA Ndani ya CHADEMA kumekuwa na malalamiko na madukuduku ya muda mrefu sana ya wanachama na viongozi mbalimbali kuhusu namna mambo mbalimbali yanavyoendeshwa ndani ya Chama hicho. Mpaka sasa kumekuwa na giza zito la hofu baada ya Chama hicho...
  9. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ushauri kwa kampeni ya Urais ya CHADEMA

    USHAURI KWA KAMPENI YA URAISI YA CHADEMA NDUGU wanachadema wenzangu, Ni siku sita sasa zimeisha tangu kampeni ya uraisi ianze, Na kwa kweli niseme wazi kabisa CDM tumeanza vizuri sana katika kampeni hii, na tumepiga hatua kubwa sana, katika harakati hizi za kampeni, Pamoja na yyote naomba...
  10. chinchilla coat

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kwanini CHADEMA wamesimamisha wagombea majimbo ambayo nafasi ya kushinda ni ndogo, yet hawana fedha za kutosha?

    CHADEMA Urais Zanzibar ambako kule vyama vikuu ni CCM na ACT-Wazalendo Lakini pia CHADEMA wameonyesha kutokuwa na fedha za kutosha hadi kufikia kupitisha bakuli kwenye mikutano yao Sasa kulikuwa na umuhimu gani kusimamisha wagombea wengi, tena kwenye sehemu ambazo chance ya kushinda ni ndogo...
  11. Influenza

    JamiiForums Tanzania Arusha: Watu watatu, wakiwemo wawili wafuasi wa CHADEMA wamekamatwa wakihusishwa na Uchomaji wa Ofisi za CHADEMA

    Polisi Mkoa wa Arusha limewakamata watatu ambapo wawili wakiwa dereva na ofisa uhamasishaji wote wa CHADEMA wanaotuhumiwa kuhusika na tukio la kuchoma moto Ofisi za Chadema Arusha 14 Agosti 2020.
  12. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania GE2020 Yaliyojiri Tabora: Tundu Lissu (CHADEMA), azindua Kampeni Kanda ya Magharibi katika viwanja vya Chipukizi

    Kwa Mujibu wa ratiba ya kampeni iliyotolewa na Chadema inaonyesha kwamba Mh Tundu Lissu leo atakuwa Tabora ===== Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CHADEMA TUNDU LISSU leo Septemba 3, 2020, atazindua kampeni kwa Kanda ya Magharibi, uzinduzi ambao utafanyika katika viwanja...
  13. TandaleOne

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kampeni ni mipango, mikakati na akili, CHADEMA wamepungukiwa na vyote

    Tangu kuanza kwa Kampeni nimekuwa nikifuatilia timu za Kampeni za Chama Cha Mapinduzi na zile za Upinzani, ukifuatilia utaona tofauti kubwa zinazodhihirisha uwezo mkubwa na maarifa ya kupanga na kuratibu mikakati ya ushindi kwa upande wa Chama Cha Mapinduzi na UPUNGUFU MKUBWA wa mikakati na...
  14. W

    JamiiForums Tanzania GE2020 CHADEMA, Makene akiweka video zote mikutano ya kampeni live mtakata tamaa na kampeni

    Ndugu zangu, Hili la CHADEMA kumnyooshea kidole Makene si sawa. Ieleweke kuwa kuna picha na video zingine anazuia zisiende kwa umma kimkakati kwani hali ya mahudhurio huwa ni mbaya. Akiweka kila kitu msianze kulaumu na kukata tamaaa, ndio maana baadhi ya viongozi wameteuliwa kutengeneza picha...
  15. Z

    JamiiForums Tanzania GE2020 CHADEMA mkisema mtatoa Huduma za Afya bure, naomba mjibu hoja zifuatazo

    Nimeona CHADEMA ikijinadi kuwa ndani ya siku mia moja watahakikisha huduma za afya inatolewa bure kwa kushirikiana na taasisi binafsi. Kwangu hili itakuwa jambo jema kwa watu zaidi ya watu millioni 60 watapewa huduma bure kabisa bila kuchangia chochote. Lakini nina mashaka na ahadi hii 1...
  16. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Je, Membe atapunguza kura za CCM au za CHADEMA?

    Kumbukumbu zangu zinanionyesha kuwa 2015 Lowassa alipunguza kura za CCM na hivyo CHADEMA kufaidika. Mwaka huu ACT wazalendo ina mgombea urais mwenye nguvu zaidi ya yule wa 2015 naye akitokea CCM mh Bernad Membe. Tunajua kwa rekodi ya 2015 CCM tayari ina mtaji wa kura zaidi ya milioni 8 na...
  17. G Sam

    JamiiForums Tanzania GE2020 Wapo wagombea wa CHADEMA ambao wakirudishwa na Tume basi kwa hawa CCM weupe moto utawaka. FA hamna kitu aisee

    Huyu mgombea wa ubunge Jimbo la Muheza kwa tiketi ya Chadema akirejeshwa na Tume na naamini atarejeshwa, basi kuna wana CCM nyeti zitaonekana waziwazi. Huyu Mwana FA ni mweupe mpaka anatia huruma, hapa ndipo ninapowaza Magufuli alitumia vigezo vipi kuwapitisha hawa utopolo. Ila na yeye si...
  18. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania GE2020 Lissu badala ya kueleza sera hugeuza mkutano kuwa Darasa la Sheria akitumia daftari zake za Mwaka wa Kwanza Chuo Kikuu

    Ukweli Lissu hakujiandaa au kuandaliwa kuwa mgombea urais. Anapata shida mno kueleza sera za CHADEMA na hasikii raha na ujasiri wa kuzielezea na hawi na flow nzuri. Na Hakawii kuacha kueleza sera na kuhama kugeuza mkutano kuwa law classroom badala ya political campaign meeting. Lissu badala...
  19. Kadoda nguku

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mgombe Urais wa CHADEMA ayaseme pia na haya kwenye Majukwaa

    Yapo pia mambo ambayo wapinzani inabidi wayaweke wazi kwenye majukwaa. Tunapozungumzia wapinzani naamanisha CHADEMA na ACT-Wazalendo. Wasipoyasema sasa hawatapata tena muda wa kuyaongea baada ya uchaguzi, kwa sababu najua mara baada ya kutangazwa mshindi na kuapishwa siasa za majukwaani...
  20. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania GE2020 CHADEMA tumieni huu muda vizuri wa kampeni, maana baada ya hapo tutakuwa na miaka 5 ya kuchapa kazi

    Magufuli ni mtu anayesimamia maneno yake, aliwahi kusema hakutakuwa na siasa za majukwaani mpaka 2020 na kweli imetokea hivyo. Tutakapo rudi baada ya uchaguzi hakutakuwa na siasa za maandamano kwa hiyo Lissu ajitahidi kuutumia huu muda vizuri majukwaani na sio kueleza amepigwa risasi ngapi...
Back
Top Bottom