chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. Civilian Coin

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ushindi wa CCM Oktoba 2020 itakuwa ni fedheha kwa CHADEMA na ACT Wazalendo na upinzani wote

    USHINDI WA CCM OKTOBA 2020 ITAKUWA FEDHEHA KWA UPINZANI HASA CHADEMA NA ACT. Niliwaambia wapinzani waungane waunde Umoja utakaoitwa MUMAFI (MUUNGANO WA MABADILIKO YA FIKIRA) lakini wamekubali kugawana kura kiulani Sana, kwa ubishi huu wa kujifanya mnajua Sana kuliko watazamaji wanaojua Nini...
  2. B

    JamiiForums Tanzania GE2020 Wagombea Ubunge wa CHADEMA walioenguliwa wapo zaidi ya wiki moja Dodoma Ofisi za Tume ya Uchaguzi

    1 September 2020 Dodoma, Tanzania Bila Uwoga SUGU ailipua TUME ya UCHAGUZI, Amtaja Katibu wa CCM, - "Amani ya nchi Ipo mikinoni Mwao" Wabunge Wa CHADEMA Walioenguliwa na Wasimamizi wa Uchaguzi Katika Majimbo Mbalimbali Wamekutana Na Waandishi Wa habari jijini Dodoma Kuiomba Tume Ya Uchaguzi...
  3. P

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Mbowe: Vunja kitengo cha mawasiliano cha CHADEMA, kisuke upya

    Wapendwa wakuu humu jamvini: Huu ni wakati wa Kampeni na Uchaguzi mkuu. Nguzo kubwa ya ushindi katika uchaguzi ni communication (mawasiliano). Kwa maana ya kwamba lazima wapiga kura wafikiwe kwa ujumbe na ilana ya chama kwa ufasaha na kwa haraka, na ujumbe huu urudiwe mara kwa mara kwenye media...
  4. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Yaliyojiri katika Kampeni za Tundu Lissu Jijini Mwanza

    Mgombea Urais wa Chadema Tundu Lissu leo anatarajiwa kuitikisa jiji la Mwanza katika mkutano mkubwa wa Hadhara katika viwanja vya Furahisha. Tayari maandalizi yamekamilika na maandamano makubwa ya kumlaki yanasubiriwa kuanza wakati wowote kutoka sasa Tayari mgombea huyo ameshafanya mikutano...
  5. N

    JamiiForums Tanzania CHADEMA mnatuangusha, mnashindwaje ‘Live Streaming’ hata YouTube? This is unacceptable

    Muda huu naangalia ACT-Wazalendo wako kila sehemu Live YouTube. CHADEMA hakuna kitu. Clips fupi fupii na za hovyo. Na hata Jana ilikuwa hivyo hivyo Arusha. Wiki iliyopita, Mbagala na Segerea same. Mimi CCM lakini napenda kumuona Lissu, na ntampigia Kura. CHADEMA ni chama kikubwa, badilikeni...
  6. MIMI BABA YENU

    JamiiForums Tanzania Tamko la Klabu ya Waandishi wa Habari Mkoa wa Dar es Salaam (DCPC) kumtaka Freeman Mbowe kuomba radhi

    Ulimwengu wa Wanahabari na Watanzania kwa ujumla ulipigwa na butwaa pale Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mhe. Freeman Alkaeli Mbowe, alipoamrisha waandishi wa habari wa Televisheni ya Taifa (TBC) kuondoka katika mkutano wa ufunguzi wa kampeni za chama hicho...
  7. William Mshumbusi

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kuna tatizo kidogo na namna CHADEMA wanavyonadi sera zao. Ubunifu ni kidogo sana na wanashindwa kwenda sawa na matarajio ya Umma

    Ingawa mgombea wao Ameanza kunadi Sera zao, lakini hayapo uzito Mambo yanayowagusa wengi. NI Kama anasema tu juu juu na kukazia maswala binafsi yanayomuhusu yeye na watu wa chama chake. Ajira, kilimo na biashara kila moja kinaweza kumuathiri kila mtu Ila mgombea anashindwa kuonesha kila ajenda...
  8. Replica

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ikungi: Magufuli amuahidi Lissu kazi, amuambia aachane na Urais ambao hatashinda

    Leo Magufuli aliweka kituo kidogo Ikungi wakati anatoka Dodoma ambapo wananchi walisimama barabarani kumsubiri akiwa anaelekea kwenye mkutano wa kampeni Singida. Pamoja na ahadi nyingine pomoni, pia amemuahidi mgombea mwenzake anaetokea Singida nafasi ndogo ya kazi kwa madai kwamba hii...
  9. BAVICHA Taifa

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ilani ya CHADEMA ya Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani 2020 - 2025

    Huu hapa ni Muhtasari wa Ilani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) Yaliyomo kwenye Ilani
  10. T

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu na timu nzima ya CHADEMA, kura nyingi sana ziko kwa akina mama na wanawake, nendeni na kauli mbiu hii "Mama Mwokoe Mwanao"

    Wapwa, Ni ukweli usiopingika kuwa wanawake wamekuwa ndio kimbilio la CCM kujichotea kura lukuki tangu kupatikana kwa uhuru. Wenzenu wanatumia wasanii kushawishi wakina mama kupigia kura chama chao, hii tumeiona tangu 2015 kwenye kampeni zao kama 'MAMA ONGEA NA MWANAO' ambayo bila shaka...
  11. K

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ombi mahsusi kwa uongozi wa CHADEMA Media juu ya hotuba za Tundu Lissu

    Please uongozi wa CHADEMA Media fanyeni hima hotuba zote za Lissu kila anakofanya mkutano zitengenewe clips za peke yake kuwezesha wadau mbali mbali kuweza kufuatilia kwa mtiririko hotuba hizo. Pia itarahisisha kuzisambaza kwa umma kupitia ma group ya WhatsApp na mitandao mingine! Vipande...
  12. Sauti ya Umma

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mzee wa kutokomeza Mwakasaka Donard atia timu jimbo la Ubungo

    HABARI, Tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC mapema tarehe 25 Agosti 2020 ilimteua Ndugu MWAKASAKA BOAZ DONARD kuwa mgombea ubunge Jimbo la Ubungo kupitia Chama Cha Sauti ya Umma (SAU). Mwakasaka ni mtaalamu wa masuala ya Uchumi na Maendeleo ya kijamii ameahidi kutokomeza yote yaliyoshindikana katika...
  13. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Godbless Lema: Arusha leo kuna Mechi ya Simba bure na Tamasha la Wasanii bure ili kuhujumu Mkutano wa Tundu Lissu

    Mgombea ubunge jimbo la Arusha Mjini Ndg. Godbless Lema amelalamika kuwa CCM inawahujumu kwa kuandaa mechi ya Simba bila kiingilio na Tamasha la Wasanii bure ili kuhujumu mkutano wa mgombea urais wa CHADEMA Ndg. Tundu Lissu. Hata hivyo Lema ameapa kuwa leo ndio CCM watajua kwamba CHADEMA ni...
  14. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kampeni zashika kasi, kishindo cha Tundu Lissu chatikisa Arusha. Shughuli zasimama, wafanyakazi watoroka makazini

    Hii ndio habari inayosambaa kwa kasi Arusha kwa sasa, baadhi ya watu wanaotafuta huduma kwenye maofisi mbalimbali wamelalamika kukosa huduma baada ya maofisa kufika na kusaini kisha kutoroka ili kuwahi Mkutano Mkubwa sana wa Kampeni wa Rais Mtarajiwa Lissu. Endelea kufuatilia hapa hapa JF kwa...
  15. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Ally Bananga: Mwizi karudisha vitu vyetu halafu analazimisha tumsifu

    KAULI YA BANANGA INATISHA; "MWIZI KARUDISHA VITU VYETU ALAFU ANALAZIMISHA TUMSIFU" Na, Robert Heriel Moja ya watu waliotisha siku ya jana kwenye mkutano wa Kampeni wa CHADEMA huko Tabata Segerea ni pamoja Ally Bananga. Sikuwahi kumjua huyu Bananga, siku ya jana ndio nimemuona na kumsikia...
  16. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kwa kupinga Uwanja wa Ndege Chato iliyo Geita na kupinga uwepo wa Mbuga, wana Geita wote msimpe Lissu na CHADEMA kura hata moja

    Lissu na CHADEMA wamekuwa wanapinga wazi uwepo uwanja wa ndege Chato ambao ni Mji wa Geita. Wanaona wana Geita hawastahili kuwa na uwanja wa ndege pamoja na kuchangia Kodi mabilioni ya pesa za kigeni kupitia migodi mikubwa ya dhahabu Kama Geita Gold Mine nk Kwa kupinga Geita kuwa Wana Geita...
  17. B

    JamiiForums Tanzania GE2020 Paschal Haonga wa CHADEMA azindua kampeni Mbozi

    30 Agosti 2020 Mlowo, Mbozi Songwe. Mgombea Mbunge kupitia Chama cha CHADEMA azindua kampeni ya Ubunge kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2020 mbele ya mkutano wake mkubwa wa kwanza jimboni Mbozi mkoani Songwe. Mgombea Paschal Haonga akiwania kuchaguliwa kwa mara nyingine kupitia CHADEMA leo...
  18. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania GE2020 Karatu: Uzinduzi wa kampeni za Mgombea Ubunge wa CHADEMA zatikisa

    Mhe. Cecilia Pareso leo amezindua kampeni za Ubunge wa jimbo la Karatu , hali ndio kama mnavyoona
  19. Mystery

    JamiiForums Tanzania GE2020 Hebu tutafakari sera zinavyonadiwa na mgombea wa CCM John Magufuli na yule wa CHADEMA Tundu Lissu

    Hakuna mashaka yoyote kuwa katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu, mchuano mkali sana wa kinyang'anyiro hicho cha urais utakuwa baina ya vyama viwili ambavyo ni CCM na CHADEMA. Kwa maana hiyo ni lazima sisi wananchi tufuatilie kwa makini sana, kwa wagombea wa Urais wa vyama hivyo viwili vikuu, pale...
  20. E

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mpaka sasa nafikiria Gwajima atakavyomshukia Halima kama mwewe baada ya kuitwa Mrembo

    Wana JF kama kuna siku naingojea kwa hamu kubwa na ambayo namuomba mwenyezi Mungu anijalie nikutwe na afya njema na niwe sehemu ya mkutano huo wa ufunguzi wa kampeni za askofu Gwajima au niwe sehemu ambayo nitaweza kuona mubashara. Hii shauku imesababishwa na Halima James Mdee kumuita Askofu...
Back
Top Bottom