chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. Securelens

    JamiiForums Tanzania Kila CHADEMA wanalojaribu linabuma: La Lissu na Lema pia limebuma. Watanzania tunaendelea na maisha

    CHADEMA kama ilivyo kawaida yao ya kutunga na kutengeneza matukio ya uongo. Wamejaribu kutengeneza ya Lissu, Lema na Nyarandu lakini yote yamebuma. Watanzania na wajanja duniani wamekwishawagundua kuwa ni walaghai. Wamebaki na kujipa moyo kwenye keyboards zao na vyombo vya habari uchwara vya...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Nashauri shehe Alhad Salum na askofu Gamanywa wawafanyie maombi maalumu viongozi wa CHADEMA watulie nchini!

    Tanzania ni kimbilio la wengi wanaoitafuta amani na siyo kinyume chake. Napendekeza viongozi wa kamati ya amani nchini , mwenyekiti shehe wa mkoa wa Dsm Alhad Mussa Salumu na askofu Gamanywa wa Huduma ya Hakuna Lisilowezekana kukaa na viongozi wa Chadema na kuwaombea. Kitendo cha baadhi ya...
  3. BIN BOR

    JamiiForums Tanzania Tovuti ya CHADEMA bado inatangaza Lissu kuteuliwa kuwa mgombea

    Nimeambatanisha screenshot 2. Moja ni tovuti ya chadema na ya pili ni tovuti ya republicans wa Marekani. Japo siungi mkono GOP ninataka CHADEMA kuona aibu hii ya kuwa nyuma sana kutoa mrejesho kwa watu wenye mapenzi na chama.
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania GE2020 CHADEMA yaitaka Tume ya Uchaguzi NEC kutoa Ufafanuzi kuhusu Majina ya Wabunge wa Viti Maalum Wanaodaiwa wamepelekwa Bungeni

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI NA UMMA Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimeitaka Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kufafanua kwa umma kupitia vyombo vya habari kuhusu kauli ya upotoshaji iliyotolewa na Mkurugenzi wa Uchaguzi, Dkt. Wilson Mahera kupitia mojawapo ya magazeti ya...
  5. Masinki

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kimbieni wote kama mna hasira ya kweli

    Ni aina mpya ya siasa waliyoanzisha hawa Jamaa zetu CHADEMA baada ya kushindwa vibaya katika Uchaguzi mkuu, Kuikimbia Nchi na kuomba ukimbizi wa kisiasa.Sote tunajua sababu za wao kufanya hivyo. 1. Kuonesha dunia kwamba Tanzania sio salama chini ya Dkt. Magufuli haswa Kwa wapinzani wake wa...
  6. Chagu wa Malunde

    JamiiForums Tanzania GE2020 Viongozi wa CHADEMA hatua mlizochukua zitawatia aibu kubwa

    Hii ni dalili kuwa hamlitakii mema taifa letu na ipo siku mtaliletea janga kubwa. Ndio maana aliyekuwa mbunge wa Temeke kupitia CCM aliwahi kutoa ombi kuwa Chadema ni chama cha wapenda vurugu hivyo kinastahili kufutwa. Baada ya kushindwa uchaguzi kwenye box la kura na wananchi kuichagua Ccm...
  7. mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Aida Khenan: Kama sikususia Uchaguzi siwezi kususia matokeo, CHADEMA iliniteua nikashinde na siyo kushiriki Uchaguzi

    Mimi sijahama CHADEMA na wala sitegemei kuhama, mimi ni Mbunge mteule kwa hiyo nitawatumikia Wananchi kwa imani ambayo waliniamini, labda chama changu kitakavyoamua kama itakuwa vinginevyo basi itafahamika. "Niliahidi kutokusaliti chama changu na kwa maana hiyo siwezi kuwasaliti wananchi...
  8. M-mbabe

    JamiiForums Tanzania ACT-Wazalendo na CHADEMA wamefanya pakubwa ila sisi Wananchi ndiyo tumewaangusha. Tusiwaingilie katika maamuzi yoyote wanayochukua baada ya Uchaguzi

    Wanaonifuatilia humu wanajua mimi ni CCM. Lakini ni ile iliyokuwa CCM ya Mwalimu (RIP mzee wetu), siyo hii CCM ya sasa iliyojaa ulaghai mtupu. Kutokana na CCM kukengeuka, nimejikuta (siko peke yangu, tupo wengi sana) sina namna bali kuunga mkono jitihada na harakati zote zinazofanywa na vyama...
  9. N

    JamiiForums Tanzania Kwanini CCM ndio wanalia CHADEMA wapeleke Wabunge wa Viti Maalum na si CHADEMA wenyewe?

    Habari Kila mmoja wetu ni shahidi kwamba tangu alipoingia madarakani bwana John Joseph pombe magufuli kauli zake na vitendo vyake ilikuwa ni kuua upinzani hasa CHADEMA. Tumekuja mpaka 2020 kwenye uchaguzi mkuu tukashuhudia ambayo kila mmoja wetu anajua pamoja na kauli tata kwamba wapinzani...
  10. Civilian Coin

    JamiiForums Tanzania Sabubu za CHADEMA kushindwa Uchaguzi Mkuu na Sababu za CCM kushinda Uchaguzi Mkuu 2020

    KWANINI CCM WAMESHINDA, NA WAPI WAPINZANI WAMEJIKWAA. TATHIMINI INALETWA NA DON NALIMISON. 1. KWANINI CCM WAMESHINDA? Tuangalie pande mbili Chanya na Hasi. Tuanze na MATOKEO Chanya: CCM ndio Chama kinachoshika Dola na hata Uchaguzi umefanyika TUME ya Uchaguzi ikiwa chini ya Dola ya CCM...
  11. U

    JamiiForums Tanzania Mbunge Mteule Wa Nkasi Kaskazini, Aida Khenani (CHADEMA) awasili Bungeni mapema leo na kujisajili kwa mujibu wa taratibu

    Mheshimiwa Aida Khenani akijisali leo Bungeni kama sehemu ya mchakato wa kisheria kabla ya kuanza kuwatumikia Wapiga kura wake. Hongera Sana
  12. Return Of Undertaker

    JamiiForums Tanzania GE2020 John Mnyika: CHADEMA haijakaa na Tume ya Uchaguzi(NEC) na haina mpango wa kuteua wabunge Viti Maalum

    1. Kamati Kuu CHADEMA haijafanya uteuzi wa wabunge wa viti Maalum mpaka sasa 2. Hivyo hakuna orodha iliyopelekwa na Katibu Mkuu kwa NEC. 3. Tumedokezwa wanataka kughushi saini na orodha Tume ya Uchaguzi ifanye uteuzi haramu na Bunge likabariki. By JJ MANYIKA
  13. Chagu wa Malunde

    JamiiForums Tanzania CHADEMA pamoja na kushindwa uchaguzi bado mna deni kubwa wa watanzania

    Najua fika kuwa mlitegemea hili anguko ila mlifanya siasa kwa mazoea kwa kudhania kuwa Tanzania ya 1995- 2015 bado ni ile ile. Hapana kabisa Tanzania ya leo sio kama hiyo mliodhania na kufikiria, sio Tanzania ambayo inahitaji wanaharakati au wanasiasa wajanja wajanja kama mlivyokuwa...
  14. N

    JamiiForums Tanzania CHADEMA mkisusa kuteua Wabunge wa Viti Maalumu mtakuwa mmejimaliza wenyewe

    Huu ndio ukweli ninaowaeleza msije mkajichanganya mkagomea Bunge la awamu hii. Nu kweli uchaguzi hakua wa haki lakini hampaswi kususia Bunge. Kwasababu hata mkisusa hamta gain chochote mnatakiwa kufahamu watanzania bado hawajaamka na asilimia kubwa elimu ni tatizo so hata mkizira wao hawana...
  15. The Palm Tree

    JamiiForums Tanzania Ushauri wangu kwa CHADEMA na mbunge wao mmoja wa jimbo (Aida Khenan - Nkasi - Rukwa) na wale wa viti maalumu + madiwani

    Honestly, hata mimi ningekuwa kwenye nafasi ya CHADEMA, ningepata shida sana kuamua hatima ya mbunge Aida Khenan na madiwani wake 10 na wengine watano toka maeneo mengine ambao "inadhaniwa walishinda".. Natumia kauli ya " inadhaniwa walishinda", kwa maana nzuri kabisa.. Magufuli na CCM pamoja...
  16. mugah di matheo

    JamiiForums Tanzania Wito kwa ACT-Wazalendo na CHADEMA juu ya maisha baada ya uchaguzi

    Baada ya vituko vya tume za NEC na ZEC ,sasa wamekuja na mtego wakutaka kutushirikisha kuhalalisha wizi wao Naomba vyama hivi viwili na wakimjumuisha rungwe (Chauma) na NLD sio mbaya wafanye yafuatayo 1.Wasikubali kushirikishwa kwenye serikali ya muafaka wa kitaifa kule Zanzibar na pia...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Kamati Kuu ya CHADEMA, mkiteua wabunge wa Viti Maalumu kuingia Bungeni, mtakuwa mmefanya kosa kubwa sana

    Kwanza nianze kwa kusema kuwa, Katika vitu ambavyo CCM kwa sasa wanatamani vitokee, ni kupata wabunge wa upinzani japo wachache ili kuondoa dhana ya Bunge kuitwa Bunge la CCM-Bunge la chama kimoja. Kwa sababu hiyo, tarajieni kuona wale wale waliowadhulumu haki zenu wakigeuka wema kwenu na...
  18. Chagu wa Malunde

    JamiiForums Tanzania Anguko la CHADEMA nani alaumiwe?

    Hakuna siri tena lile anguko la CHADEMA ambalo lilitabiriwa tangu Dkt. Slaa afanyiwe figisu na kuhama CHADEMA sasa limetimia. Kiuhalisia lazima aliyesababisha anguko hili Watanzania wanatakiwa kumfahamu maana kuna watu walijitolea mali,muda na uhai wao sababu ya hiki chama. Kuna watu wamepigwa...
  19. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA ilikufa zamani, mazishi yamefanyika Oktoba 28

    Hapo mwanzo ilikuwa ukisema CHADEMA itakufa kifo cha mende walikuwa wanabisha lakini leo watu wanamaliza tanga ndugu kwa kuandaa maandamano ya kumsindikiza marehemu ambaye alianza na Mungu na kumaliza na kifo cha aibu. Ukosefu wa mikakati bora ndiyo uliokigharimu chama chetu kufutika katika...
  20. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Job Ndugai achukua fomu kugombea Uspika

    Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania anayemaliza muda wake, Job Ndugai amechukua fomu kwa ajili ya kutetea nafasi hiyo kwa kipindi cha pili. Ndugai ambaye amekuwa katika nafasi hiyo katika Bunge la 11 amechukua fomu ya kugombea nafasi hiyo na kuirejesha leo katika ofisi makao makuu...
Back
Top Bottom