chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. baz kaiza

    JamiiForums Tanzania Tunasema always msaliti ni msaliti tu Halima Mdee kurudi chadema. Nachoweza kusema mnatafuta kusalitiwa tena Chama na Simba Mdee na Chadema

    Ukishangaa ya Chama na Simba utaona ya Mdee na chadema ni kweli chadema imeshindwa ku move on kwa Mdee? Huyu alishakua msaliti na msaliti ni msaliti tu.
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Tundu Lissu: Nipo tayari kwa mazungumzo nikiwa huru na CHADEMA ikifutiwa kesi zote

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, amewasilisha orodha ya mambo saba muhimu anayoyachukulia kama msingi wa mustakabali wa demokrasia na utawala wa sheria nchini Tanzania. Soma maamuzi ya Kesi: Mahakama ya rufani yairuhusu CHADEMA kuendelea na shughuli za...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Msemaji wa CHADEMA amepwaya sana

    Huwa najiuliza sana sipati jibu 1. Sijui kwanini sio verified member wa JF. 2. Sijui huu woga umetokea wapi? 3. Naamini anatumia I'd ambayo not verified. Kwanini atumie I'd iliojificha? Mbona dk Slaa akiwa mtumiaji mzuri wa JF, achilia mbali hoja hiyo. Hoja nyengine kwamba amekuwa mbali sana...
  4. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 John Heche: Walioondoka CHADEMA na kwenda CHAUMMA walitaka Madaraka

    Katika mahojiano yake na Wasafi FM, John Heche alitoa mtazamo wake kuhusu hali ya kisiasa, kuhama vyama, na msimamo wa Chadema kwa waliohama CHADEMA na kwenda Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) "Watu waliotoka kwa wingi ambao wamewahi kuwa viongozi kwenye chama hiki ni watu walioenda chama...
  5. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania John Heche: CHADEMA itatoa taarifa ya michango yote, baada ya tarehe 29 ya Kamati kuu

    Makam Mwenyekiti wa CHadema John Heche wakati akijibu moja ya swali aliloulizwa kupitia kipindi cha Jana na Leo kuhusu kampeni ya Tone Tone hadi sasa CHadema wamekusanya kiasi gani amesema bado yeye ajui hii ni kutokana na kufungiwa kufanya shughuli zozote zile za kichama. Soma Pia: John...
  6. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania John Heche: Chadema tupo tayari kumpokea Halima Mdee

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa John Heche amesema wao kama CHADEMA wapo tayari kupokea Halima Mdee Heche ameyasema hayo kwenye kipindi cha Jana Na Leo kupitia Wasafi Fm Aprili 15, 2026
  7. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 John Heche: Tupo tayari kumpokea Halima Mdee CHADEMA

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, CHADEMA, John Heche amezungumzia kurejea kwa Halima Mdee ndani ya chama hicho wakati wa mahojiano kupitia Wasafi FM; "Kwanza niseme Halima ni rafiki yangu, na mimi nampenda na anajua. Tumekuwa naye kwenye chama... ni mtu nampenda, anajua...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Judgement ya CHADEMA hii hapa

    Soma judgement ya CHADEMA hapa =========== At the High Court of Tanzania, the respondents herein instituted a petition against the applicants both jointly and severally for the following substantive reliefs: One, declaration that the applicants are in breach of section 6A (1), (2) and (5) of...
  9. Son of Israel from Africa

    JamiiForums Tanzania Yeriko Nyerere Umesahu nini CHADEMA

    Habari zenu wananchi wenzanguu Niweke wazi mimi ni aina gani ya mtuu. Mimi sipendi kuona mtu yoyote anaonewaa. Sasa leo niko na Yericko Nyerere Umesahau nini CHADEMA mbona ni kama unatumia nguvu nyingi kuisema CHADEMA kwa mabaya Wakati mimi na wengine wengi tunaona kama unapoteza mdaa...
  10. Q

    JamiiForums Tanzania Zuio la Chadema kufanya siasa lafutwa.

    BREAKING NEWS CHADEMA FREE TO CONTINUE POLITICAL ACTIVITIES - COURT RULES‼️ The Court of Appeal in Dodoma has ruled that the only real opposition party @ChademaTZ2 that was illegally banned from conducting political activities last year is now free to conduct activities as it wishes! This is...
  11. Heparin

    JamiiForums Tanzania Mahakama ya rufani yairuhusu CHADEMA kuendelea na shughuli za kisiasa nchini

    Mahakama ya rufani kanda ya Dodoma imetengua maamuzi ya Mahakama kuu yaliyoizua CHADEMA kufanya shughuli za kisiasa nchini katika kesi iliyofunguliwa na Said Issa na wenzake dhidi ya Bodi ya Wadhamini wa chama na Katibu Mkuu, maarufu kama kesi ya Mgawanyo wa mali za chama. Sasa CHADEMA ni ruksa...
  12. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 CHADEMA: Mahakama ya Rufaa kusoma uamuzi wa kesi ya Saidi Issa Mohamed leo Aprili 15, 2026

    Mahakama ya Rufaa inatarajiwa kusoma uamuzi wa kesi ya Saidi Issa Mohamed dhidi ya CHADEMA leo Aprili 15, 2026. Chama kimesema kimepokea taarifa hiyo kutoka mahakamani na kuahidi kuujulisha umma kuhusu matokeo ya uamuzi huo mara tu utakapotolewa. Kesi hii inahusiana na mgawanyo wa mali na...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa chadema wakae na Rais katika ufumbuzi wa Tundu lissu

    Hivi sasa uendeshaji wa dunia umebadilika. UNO ipo lkn kama mpitishaji wa ajenda za USA ICC ipo lkn haiwezi kuikosoa Isreal. Vipo vyombo vya habari vikubwa kama bbc , CNN lkn vyote hivyo huvisikii kumkosoa Trump. Yaani hivi sasa dunia inavyoendeshwa kama inaendeshwa na watu na sio mihimili...
  14. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Video: CHADEMA wamjibu Chalamila & Katibu mwenezi wa CCM - Kenani Kihongozi kwa utetezi wao dhaifu wa kupanda kwa bei ya nishati ya petrol

    https://youtu.be/QIqjJSoPFQ4?si=3-ZD6Dz4OrPa60Oq HOJA ZA UTETEZI WA SERIKALI HARAMU YA CCM ILIYOJIWEKA MADARAKANI KWA MTUTU WA BUNDUKI KUMTWISHA MZIGO MWANANCHI: ##Wanasema, wananchi acheni kulalamika, bebeni tu mzigo huu wa gharama kwa kuwa ni mwepesi sana na kwa kuwa: 1. Bei zetu CCM na...
  15. H

    JamiiForums Tanzania Siikubali CCM kwa namna wanavyoendesha nchi ila Sina Imani na mpinzani wake CHADEMA

    Habari wanajf Japo sipendezwi na aina ya uongozi wa mama kwa baadhi ya Mambo na namna CCM inavyorun nchi lakini Nina Imani sio wote CCM ni wabaya wapo ambao wanaweza kufanya mabadiliko na wengine hawafurahishwi na baadhi ya vitu vinavyofanyika, pamoja na ubaya wote wa CCM ila Kuna Mambo ya ovyo...
  16. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA isitegemee UNO, ICC wala USA katika harakati zao

    Kama UNO wameshindwa kuwazuia Isreal na USA kuishambulia Iran. Pia wameshindwa hata kutoa neno tu kukamatwa Maduro ni wazi hivi sasa dunia ishapotea njia. Chadema wasitegemee chochote kutoka huko. ICC yenyewe kama imekufa.
  17. R

    JamiiForums Tanzania CHADEMA diaspora seeks talks with Donald Trump and rights bodies over alleged abuses in Tanzania and the release of Tundu Lissu

    Look for any alternatives to secure release of Tundu Lisu and thereafter other issues of democracy in Tanzania to follow such as Katiba Mpya, Tume Huru ya Uchaguzi and many others. Finally to bring to justice those involved in October 29th 2025 massacre of innocent Tanganyikans Najua meeting...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Was Chakwela taking notes/ minutes of the meeting with CHADEMA?

    Hii ni muhimu kujua mikutano yake anaiendeshaje? Ana team ya wataalamu wa kuchukua notes/ minutes/ proceedings za mikutano? Je Chadema walichukua notes za comments za Chakwela and team? Au amekuja peke yake?
  19. Stuxnet

    JamiiForums Tanzania Nshala Mwanasheria wa CHADEMA atoa kauli ya matusi dhidi ya Tanzania

    Mwanasheria wa CHADEMA Dr Rugemeleza Nshala anayesemekana ana PhD ya Havard anasema nchi imef...wa na kulawitiwa. Hawa ndiyo wanataka CCM iwaachie madaraka??
  20. S

    JamiiForums Tanzania Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA kaamua kuita nyekundu ni nyekundu na si nyeupe au vinginenyo

    Akiongelea sakata la Lissu kuendelea kushikiliwa gerezani, Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA katumia lugha kali kueleza udhaifu wa Bi. Mkubwa huku akirejea na matamshi yake ya jana kuhusu bei ya mafuta duniani. Hakika kaamua liwalo na liwe maana hajazunguka katika matamshi yake. Watu wamechoka...
Back
Top Bottom