Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.
Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.
Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.
Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA kupitia kwa Mkurugenzi wake wa Oganaizesheni, Mafunzo na Uchaguzi Mwl. John Pambalu kimeipinga taarifa ya Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) inayoonyesha ongezeko la idadi ya wapiga kura kwenye uchaguzi mkuu wa Rais, Wabunge, Madiwani unaotarajiwa...
Kwa namna Madini ya Uranium yanavyochakatwa kuanzia Uchimbaji, Usalama wake katika Muktadha wa Usafirishaji, Usalama wa Mazingira , Usalama wa Binadamu, Usalama dhidi ya Jaribio watu wenye nia Ovu na malighafi ya Uranium .
Hilo tu lilitosha Leo Kwa Rais na Walinzi wake kuvalishwa Mavazi Rasimi...
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Heche, amesema baadhi ya wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) waliokatwa kwenye mchakato wa uteuzi wamekuwa wakimpigia simu wakilalamikia mwenendo wa chama hicho na kueleza matumaini yao kwa CHADEMA.
Akizungumza nje ya Mahakama...
1.Wafuasi na wanachama wa CHADEMA hatusambazi kazi za chama mitandaoni kwa kiwango cha kutosha. Tumejazana Facebook, Twitter, Instagram, TikTok na kwingine huko, lakini hatubebi kazi za chama.
2.Wafuasi na wanachama wa CHADEMA hatutembelei ipasavyo akaunti rasmi za chama katika mitandao ya...
Uchaguzi wa 2010 CHADEMA ilipata matokeo mazuri sababu CCM ya wakati huo ilikuwa imepoteza imani kwa wananchi. Na kulikuwa na mpasuko na makundi makubwa.
Mwaka huu kwa CHADEMA hii ambayo inakubalika na huu mparaganyiko ndani ya CCM CHADEMA wangeshinda kwa kishindo na kupata viti vingi zaidi ya CCM
Nadhani wote tunawakumbuka wale wabunge 19 walioingizwa bungeni kinyemela kwa tiketi ya CHADEMA huku chama kikiwa hakitambui uwakili wao.
Yaliongelewa mengi sana, kesi ikaenda mahakamani, danadana mpaka sasa, wakakingiwa kifua na Spika na mifumo mingine ya maamuzi, kumbe ilikuwa ajenga tu...
Utawala wa Wapalestina, mjini Ramallah, umesema kuwa wao ndio mamlaka halali ya utawala wa eneo lote la Wapalestina, na kwamba Kundi la kigaidi la Hamas, lisalimishe silaha zake kwa utawala halali, na wasijihusishe na chochote kwenye utawala wa wapalestina.
Waziri mkuu. Mohammad Mustafa ...
Mkurugenzi wa Oganaizesheni, Mafunzo na Uchaguzi wa CHADEMA, John Pambalu amekosoa takwimu zilizotolewa na Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) kuwa idadi ya wapiga kura mwaka huu inafikia zaidi ya 37.6, wakisema idadi hiyo inapingana na takwimu za Ofisi ya Taifa ya Takwimu iliyotoa idadi ya...
Habari ya Leo GT.
Kwa hili CHADEMA CHUKUENI HATUA;
1: Kesi hizi zilitengenezwa ili muanze kuhangaika na muhimili wa mahakama, Je nia yao ni nini?
a: Kupunguza pressure mtaani
b: Kupunguza mzigo kwa CCM
c: CCM na watu wao kujificha katika muhimili mwingine, ionekane ya kwamba...
Tatizo huwa ni nini hasa kwa wafuasi wa CDM kwamba ukiwauliza swali ili ujifunze unapewa matusi
Ukienda kinyume na maono yao unashambuliwa
NB mimi sio mfuasi wa chama chochote mimi ni mtu huru😅
Naona mshikamano ni mkubwa sana kwa wanaChadema kwa sasa. pamoja na mizengwe ya utawala wa CCM
Mimi mwenyewe nashangaa huu mshikamano unatoka wapi.
Kesi za kubambikiwa na kuzuiwa kufanya shughuli za siasa kupitia matapeli wa huko Kizimkazi. Bado watu wapo imara.
Nimefuatilia mapambano kati ya polisi na Chadema, kwa sababu ya hukumu ndogo iliyotolewa na Jaji Hamidu Mwanga hivi karibuni.
Jaji Mwanga, anasikiliza Kesi Namba 8323/2025, iliyofunguliwa na aliyekuwa Makamu Mwenyekiti wa Zanzibar, Said Issa Mohammed, dhidi ya Bodi ya Wadhamini ya CHADEMA na...
Yeah, wiki iliyopita CHADEMA walikuwa wanakesha humu kushusha mamia ya mathreads ya kumchulia Mama Samia Suluhu Hassan, The Mother of Modern Tanzania. Walitoa Kila aina ya Dua mbaya kwa amiri jeshi huyu mkuu. Kila mmoja alijitahidi kutoa Yale matamanio yake yaliyojaa kifuani mwake (of course...
Kila mdau wa JF ni shuhuda kwenye hilo, kwasababu liko wazi sana.
Je, Chadema wameona kwamba,
CCM ni darasa tosha la siasa na wanajifunza demokrasia kwa maneno na vitendo, au upweke unaowakumba baada ya chama chao kusambaratishwa na uropokaji wa viongozi wao wapya wakuu, umewakosesha cha...
Jeshi la Polisi mkoa wa Rukwa limewakamata wanachama 11 wa Chama cha Demokrasi na Maendeleo (CHADEMA) kati yao wanaume 7 na wanawake 4 wakiwemo viongozi wanne wa chama hicho kwa kufanya mkusanyiko usio halali.
Viongozi hao ni Winfrida Joseph Khenani (Katibu mwenezi wa Baraza la vijana CHADEMA...
Tokea magufuli amekufa tulisikia hiki kibwagizo kwamba CHADEMA ishakufa. Hadi sasa enzi za malkia kibwagizo ni kilekile kwamba Tanzania hakuna upinzani wa CHADEMA okay Nice nakubali.
Sasa kwa vile CCM ni chama kikongwe na kina ushawishi barani Afrika kifanye hivi, kingewaruhusu tu hao...
Nakujua vizuri wewe ni msabato safi unayependa Haki pamoja na mapungufu yako kama binadamu.
Sidhani kama mnajua picha mnayojenga Mhimili wa Mahakama hasa kwenye kuaminika na kutenda Haki kwa Wananchi na Wawekezaji wa ndani na nje ya nchi kutokana na mwenendo mliokuwa nao miaka ya hivi karibuni...
Aliyekuwa Katibu Mwenezi wa Baraza la Wanawake wa CHADEMA (BAWACHA) taifa, Sigrada Mligo, ametangaza kujiondoa rasmi ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) akilalamikia kile alichokiita kauli za kubeza mchango wake na mazingira ya “unyanyasaji wa ndani ya chama.”
Akizungumza na...
Baada ya Jaji Hamidu Mwanga kusikiliza hoja za ombi la kutaka ajitoe kwenye Kesi namba 8323/2025 ambayo imetoa zuio la muda kwa Chama cha Chadema kufanya shughuli zozote zile kiutendaji na oparesheni, uamuzi wake unatarajiwa kutolewa Julai 28, 2025.
Kesi iliyofunguliwa na aliyekuwa Makamu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.