Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.
Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.
Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.
Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
Hii ni muhimu kujua mikutano yake anaiendeshaje? Ana team ya wataalamu wa kuchukua notes/ minutes/ proceedings za mikutano?
Je Chadema walichukua notes za comments za Chakwela and team? Au amekuja peke yake?
Mwanasheria wa CHADEMA Dr Rugemeleza Nshala anayesemekana ana PhD ya Havard anasema nchi imef...wa na kulawitiwa.
Hawa ndiyo wanataka CCM iwaachie madaraka??
Akiongelea sakata la Lissu kuendelea kushikiliwa gerezani, Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA katumia lugha kali kueleza udhaifu wa Bi. Mkubwa huku akirejea na matamshi yake ya jana kuhusu bei ya mafuta duniani.
Hakika kaamua liwalo na liwe maana hajazunguka katika matamshi yake.
Watu wamechoka...
Kwanini CHADEMA hawapingi vita Mashariki ya kati ili mafuta yashuke bei?
Katika statement zao, sijaona wala kusikia angalau kuilamu USA kuivamia Iran.
Wao wanamlaumu Rais wa Tanzania tu badala angalau kutoa statement 1 ya kulaumu nchi zilizosababisha haya mambo
Ndugu zangu Watanzania,
Kwa hakika CHADEMA wana akili za Kinyumbu,hawajitambui kabisa, ni Watu wenye matatizo makubwa sana ya kiakili . Hawanaga Kumbukumbu ya kukumbuka hata nini walizungumza siku moja iliyopita . Ubongo na vichwa vyao havina uwezo wa kutunza kumbukumbu na kukumbuka ya Awali...
Poleni sana Chadomo Kwa hili pigo na kuendelea kujaza maji kwenye neti.
======
The World Bank has approved $550 million in financing for Tanzania to boost jobs and support vulnerable households.
The funding will benefit more than three million people through skills training and social...
CHADEMA hii ambayo naiita chama cha kudandia kila jambo linalotokea duniani na Tanzania isahau kuingia Ikulu, labda Mungu aamue kubadili mfumo wake wa Dunia ambao kwa malaki ya miaka haujabalika.
Dodoma ipite bahari, Morogoro ipite bahari au iwepo bahari ndipo CHADEMA huenda wakaingia Ikulu...
Taarifa kutoka ukurasa wa Instagram wa Habari 24 zimechapisha habari yenye ujumbe kwamba John Mrema, ambaye ni kada wa chama cha CHAUMA, ameomba kurejea CHADEMA.
Katika chapisho hilo, ujumbe ufuatao umeonekana: “Taarifa ambazo bado hazijathibitishwa zinaeleza kuwa aliyewahi kuwa Mkurugenzi wa...
Yangu ni hayo kwa Leo.
Chadema iko kwenye mioyo ya watu. NI IMANI THABITI NDANI yangu, ndani yako na wewe.
CHADEMA NI KAMA IMANI YA DINI, HUWEZI KUIUA.
Bajeti mpya ya ununuzi wa Binadamu imepangwa, lengo kuu ni kununua viongozi kadhaa wa Chadema ili kudanganya umma kwamba chama hicho kina mgogoro
Sababu kuu ya kujaribu Ujinga huu ulioshindwa hapo mwanzo inatajwa kuwa ni kutokana n.a. kushindwa vibaya kwenye Ile kesi ya uongo ya Uhaini...
Mhe. Katibu Mkuu,
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)
YAH: KUJIUZULU NAFASI YA KATIBU WA KANDA - KASKAZINI
Tafadhali rejea kichwa cha habari hapo juu.
Kwa heshima kubwa ninapenda kujulisha kuwa ninajiuzulu nafasi yangu ya ukatibu wa Kanda ya Kaskazini kuanzia leo hii tarehe 01.04.2026...
Kwema wakuu, amani ya Bwana iwe juu yenu kila mmoja kwa imani yake.
Rejea mada tajwa.
Wakuu, Lissu na makamu wake Heche Mungu awabariki sana. Kwa sasa kama CCM hawajui ,asilimia 85 ya watanzania ni CHADEMA. Kwa nini nasema hivi Ichi chama misingi yake imejikita kwenye haki na watanzania wote...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimeiandikia Umoja wa Afrika (AU) kikitoa wito wa kufanyika kwa mapitio ya haraka kuhusu uteuzi wa Jakaya Kikwete kama Mwakilishi wa Ngazi ya Juu wa Mwenyekiti wa Tume ya Umoja huo kwa Ukanda wa Pembe ya Afrika na Bahari Nyekundu.
Machi 25, 2026...
Habari za hivi punde zinasema aliyekuwa mwenyekiti wq CUF Prof. Ibrahim Lipumba ametimkia CHADEMA na wanachama wengine kadhaa LEO TAREHE 1 APRIL!
Habari hizo zinathibisha kuwa hata Mchungaji Msigwa naye ameamua kujitoa ccm rasmi na wanaccm wengine kadhaa
Katibu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) mkoa wa Tanga, Michael Haule, ametangaza rasmi kujiuzulu nafasi yake ya uongozi pamoja na kujiondoa ndani ya chama hicho, akitaja sababu mbalimbali ikiwemo kile alichodai kuwa ni kupotea kwa dira na mwelekeo wa chama.
Akizungumza Machi 31...
Aliewahi kuwa mbunge wa bunge la jamhuri ya muungano wa Tanzania jimbo la kilwa kupitia CUF ndugu seleman said bungala amefariki dunia leo akiwa hospital ambako alikuwa akipatiwa matibabu.
18 November 1961 - 30 Machi 2026
Pia soma
Suleiman Bungara (BWEGE) Mbunge wa Kilwa Kusini: "Kwaheri...
Rais Samia, amesikitika kutangaza kifo cha William Vangimembe Lukuvi (Mb.), aliyekuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu) pamoja na Mbunge wa Jimbo la Isimani.
Kwa mujibu wa taarifa rasmi, Lukuvi amefariki dunia leo tarehe 25 Machi, 2026, majira ya saa...
Vijana wa CHADEMA mlimjaza upepo Lissu akajaa sasa maumivu ya kuwekwa kabatini yanauma anatoa milio nyinyi mnakimbilia kwenye Keyboard na Kutukana Serikali Tundu Lissu ana Kesi na anatakiwa kutulia gerezani mpaka pale itakapokwisha kwanza majaji
Pia wana schedule ya kusikiliza mashauri Mengine...
Kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA ) Odero Charles Odero anadai kwamba hadi sasa hakuna kikao chochote rasmi kilichofanyika ndani ya chama hicho ambacho kimeazimia kwamba chama hicho hakitashiriki maridhiano yanayotarajiwa kufanyika hapa nchini siku za usoni,
Soma Pia:
Odero...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.