Son of Israel from Africa
JF-Expert Member
- Jan 14, 2015
- 1,880
- 2,768
Habari zenu wananchi wenzanguu
Niweke wazi mimi ni aina gani ya mtuu.
Mimi sipendi kuona mtu yoyote anaonewaa.
Sasa leo niko na Yericko Nyerere
Umesahau nini CHADEMA mbona ni kama unatumia nguvu nyingi kuisema CHADEMA kwa mabaya
Wakati mimi na wengine wengi tunaona kama unapoteza mdaa maana huna chochote unachoweza kuufanya kwa sasa kwani umeshahamia CHAUMA .
Mtazamo wangu nii huu kuhusu wewe na CHADEMA.
Mwisho Wewe tafuta kazi nyingine ya kufanya maana chuki dhidi ya CDM hutoboi na nikupe taarifa wewe sio wa kwanza kuleta chuki dhidi ya CDM hata watawala wa MALAWI WANAJUA NA WAMESHINDWA

- .Kwanini tusiseme badoo unatamani kurudi CHADEMA na kama ndivyo kwanini usirudi ukafata utaratibuu ukajiunga.
- Ni kama huna furaha na CHAUMA ndio maana uko mtandaoni ikikesha kuibagaza CHADEMA ili Viongozi wake waone kuna haja kukutana na wewe.
- Kwanini tusiseme unatumika na genge lako kuichafua CDM
- Uwezo wako ni mdogo ndio maana CHAUMA hawajakupa cheo chochote na umebaki na karata yako ya mwisho ya kubagaza Propaganda chafu dhidi ya CDM maana unajua fika vyama vingine havina mvutoo .
Mwisho Wewe tafuta kazi nyingine ya kufanya maana chuki dhidi ya CDM hutoboi na nikupe taarifa wewe sio wa kwanza kuleta chuki dhidi ya CDM hata watawala wa MALAWI WANAJUA NA WAMESHINDWA