M Malaria 2 JF-Expert Member Joined Oct 17, 2023 Posts 9,370 Reaction score 14,492 Apr 12, 2026 #1 Kama UNO wameshindwa kuwazuia Isreal na USA kuishambulia Iran. Pia wameshindwa hata kutoa neno tu kukamatwa Maduro ni wazi hivi sasa dunia ishapotea njia. Chadema wasitegemee chochote kutoka huko. ICC yenyewe kama imekufa.
Kama UNO wameshindwa kuwazuia Isreal na USA kuishambulia Iran. Pia wameshindwa hata kutoa neno tu kukamatwa Maduro ni wazi hivi sasa dunia ishapotea njia. Chadema wasitegemee chochote kutoka huko. ICC yenyewe kama imekufa.
baz kaiza JF-Expert Member Joined Jan 27, 2015 Posts 14,697 Reaction score 18,143 Apr 12, 2026 #2 Hizo taasisi ni ujinga tu
R ruhi JF-Expert Member Joined Feb 26, 2012 Posts 5,177 Reaction score 8,445 Apr 12, 2026 #3 Ungesema waTanzania wasitegemee hizo taasisi ungeonekana wa maana; hapa Tanzania wanaonyanyasika ni CHADEMA? Akili zingine zinasikitisha sana.
Ungesema waTanzania wasitegemee hizo taasisi ungeonekana wa maana; hapa Tanzania wanaonyanyasika ni CHADEMA? Akili zingine zinasikitisha sana.
CHIEF PRIEST JF-Expert Member Joined Dec 13, 2021 Posts 21,428 Reaction score 42,153 Apr 13, 2026 #4 ruhi said: Ungesema waTanzania wasitegemee hizo taasisi ungeonekana wa maana; hapa Tanzania wanaonyanyasika ni CHADEMA? Akili zingine zinasikitisha sana. Click to expand... Una hakika huyu mleta uzi anazo akili?
ruhi said: Ungesema waTanzania wasitegemee hizo taasisi ungeonekana wa maana; hapa Tanzania wanaonyanyasika ni CHADEMA? Akili zingine zinasikitisha sana. Click to expand... Una hakika huyu mleta uzi anazo akili?