Heparin
JF-Expert Member
- Sep 24, 2021
- 448
- 3,360
Mahakama ya rufani kanda ya Dodoma imetengua maamuzi ya Mahakama kuu yaliyoizua CHADEMA kufanya shughuli za kisiasa nchini katika kesi iliyofunguliwa na Said Issa na wenzake dhidi ya Bodi ya Wadhamini wa chama na Katibu Mkuu, maarufu kama kesi ya Mgawanyo wa mali za chama.
Sasa CHADEMA ni ruksa kuendelea na shughuli za kisiasa nchini.
Aidha, mahakama imeelekeza kubadilishwa kwa Jaji aliyekuwa akisikiliza shauri hilo, huku kesi ikiendelea kusikilizwa kulingana na taratibu za kisheria.
Soma>> CHADEMA: Mahakama ya Rufaa kusoma uamuzi wa kesi ya Saidi Issa Mohamed leo Aprili 15, 2026
Taarifa zaidi zitafuata.