Huwa najiuliza sana sipati jibu
1. Sijui kwanini sio verified member wa JF.
2. Sijui huu woga umetokea wapi?
3. Naamini anatumia I'd ambayo not verified. Kwanini atumie I'd iliojificha?
Mbona dk Slaa akiwa mtumiaji mzuri wa JF, achilia mbali hoja hiyo. Hoja nyengine kwamba amekuwa mbali sana na media kama vile TV. Zaidi utakuta post zake ktk social media huku akiwa amejificha ktk keyboard.
Huyu dada inaonekana amepwaya saba tofauti kabisa na vyama vyengine