Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.
Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.
Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.
Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
Wakuu,
Haki nacheka kama mazuri:BearLaugh::BearLaugh::KEKWlaugh:, mara hii mmeshasahau yote yaliyotokea? Aaah bana mbona mnataka kutupa mpira mapema hivi?
Sasa hivi mtakuwa mnalia na kusaga meno huko mliko, yaani wote ambao mngewaangushia lawama mliwapiga ban, sasa hakuna mtu wa kumtupia...
Baada ya hukumu ya mahakama ya rufani kuruhusu Chadema iweze kufanya siasa zake hapo ndipo mambo yamejidhihirisha wazi kuwa Chadema ina kubalika na ina nguvu.
Mikoa yote ya Tazania bara ilikuwa ni shangwe na nderemo.
Swali kubwa la kujiuliza ni kwa nini Chadema inazidi kupata nguvu ikiwa...
Mapema leo, uongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ulikutana na ujumbe wa African Women Leaders Network uliokuwa ukiongozwa na aliyekuwa Rais wa Liberia, Ellen Johnson Sirleaf, akiwa ameambatana na aliyekuwa Rais wa Ethiopia, Sahle-Work Zewde.
Ziara ya ujumbe huo nchini Tanzania...
Yeriko Nyerere aliwaingiza chaka wakina John Mrema. Eti Mbowe kamwambia anajiunga nao.. Sasa wanamsumbua John Heche wakitaka kurudi.
Waliahidiwa Vyeo... Ila havijapatoka.. Wamekata tamaa..
Salum Mwalimu anafanya biashara gani hadi ajenge Ghorofa Dodoma?
Wengine hata hamu ya kuandika vitabu...
Mimi ni Chadema pure kabisa, katika watu top 5 waliohamasisha MO29, hapa jamii forum na Mimi nimo.
Nimekaa nkatafakari je tutasongaje bila kukaa meza moja?? je tukisusia maridhiano ajenda zetu tutazipataje?
Mbona Raila aliridhiana na Kibaki
Akaridhiana na Kenyatta,the same to Ruto. Je Raila...
Aibu kubwa kwa CCM kwa kuwa na Mwenezi wa taifa ambae ana hoja zisizo na masshiko kama hizi.
Hajui hata Tanu ilipokuwa chama cha ukombozi kilichangiwa na wananchi?
CCM inachangiwa na wafanyabiashara mafisadi wasiolipa kodi. Amesahau juu ya bil 200 za uchaguzi walizochangiwa CCM na bado...
“Hakuna Chama kinachopendwa Nchi hii kama Chadema, na ndicho chama cha kweli cha upinzani hapa Tanzania, kuthibitisha hilo Juzi mmeona furaha ya watanzania Chadema walipofunguliwa kufanya Siasa” Adv. Boniface Mwabukusi - RAIS WA TLS
"Hivi vyama vingine ukikuta watu wanajiita wanachama, jua kuna...
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimewakosoa vikali wanasiasa wanaotegemea michango ya wananchi kwa kile kilichoelezwa kuwa ni “kuombaomba kisiasa,” kikiwataka Watanzania kuelekeza fedha zao kwenye shughuli za maendeleo badala ya kuchangia miradi isiyo na uwazi.
Akizungumza leo Aprili 17, 2026 wakati...
Hahahaha! Hii ndio yenewe mayi! Wanaachia usuzi wanusa wenyewe.
Heheee! Na bado. Mwajua jinsi Lisu ako. Hawezi muinamia mapembelosi.
Waache wacheze Ngoma yao menyewe. Ukombozi uko pale. Na bado MTU wao Siku sio nyingi anapanda anga la mbali na akiwa na NASA. Dadeki. Soma hiyooo
Nina wasiwasi na baadhi ya maneno uliyoandika mtandaoni kuhusu kauli ya Lissu baada ya wewe kutoka mahabusu. Msimamo wa Mkti Lissu mara zote kuhusu uhuru wake umekuwa wazi, kwamba kesi inayomkabili ni ya uongo na anapaswa kuachiwa huru bila masharti yoyote.
Hajawahi, wakati wowote, kuweka...
Acheni mihemko na hisia za kijinga
Msimamo wa chadema uko wazi
Lisu aachiliwe ndo waamue kama watafanya mariandano au la
Ndo maana CCM wameng'ang'ania apewe masharti kabla ya kutoka chadema wamekataa
Na Kwa msimamo huo wa chadema unafanya lisu aendelee kubaki mahabusu Hadi pale ccm...
Ndugu zangu Watanzania,
CHADEMA ni Lichama La Hovyo sana kuwahi kutokea katika Taifa letu. Ni lichama lisilo na mbele wala nyuma. Ni lichama ambalo halinaga Dira wala Muelekeo. Limejaa na kusheheni Viongozi wasio na Maono wala Dira wala Muelekeo wala mipango wala mikakati ya mbele. Ni Lichama...
Kwa ufahamu wangu japo mdogo naona chadema wameregeza kamba kwenye hoja na misimamo Yao
Kwadababu
1. Kushangilia ushindi fake wa kuruhusuwa kufanya siasa.
Naona mtandao viongozi wa Chadema wakifurahi mno.
Hivi hawa akina Heche wanaona ati mahakama imewatendea haki?😂
2. Media tour ya Heche...
Anaeamini Chadema ina nguvu, hajui siasa za Tanzania.
Chama hivi sasa wanaosikilikana Heche, Mnyika na Amani.
Tofauti na zamani
Mdee
Bulaya
Boniface Jackub
Salum Mwalim
Kigaira
Ukishangaa ya Chama na Simba utaona ya Mdee na chadema ni kweli chadema imeshindwa ku move on kwa Mdee?
Huyu alishakua msaliti na msaliti ni msaliti tu.
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, amewasilisha orodha ya mambo saba muhimu anayoyachukulia kama msingi wa mustakabali wa demokrasia na utawala wa sheria nchini Tanzania.
Soma maamuzi ya Kesi: Mahakama ya rufani yairuhusu CHADEMA kuendelea na shughuli za...
Huwa najiuliza sana sipati jibu
1. Sijui kwanini sio verified member wa JF.
2. Sijui huu woga umetokea wapi?
3. Naamini anatumia I'd ambayo not verified. Kwanini atumie I'd iliojificha?
Mbona dk Slaa akiwa mtumiaji mzuri wa JF, achilia mbali hoja hiyo. Hoja nyengine kwamba amekuwa mbali sana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.