Naanza kwa kumpongeza Raisi wangu mpendwa JPM Kwa utendaji wake yakinifu,hakika Katiba yetu haiko vizuri mkuu alistahili uraisi hata kama si wa milele basi walau mika 25.
Napenda kuwahakikishia mimi sifanyi kazi tume ya vya haki za binadamu na sio mwandishi wa habari za kumghasi mheshimiwa ,na...