Bakhresa alijenga ofisi ya CCM tawi la Masaki RC Makonda anajenga ofisi za wilaya ya Kinondoni, CCM haikumbatii umaskini

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Messages
26,346
Points
2,000

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined May 27, 2014
26,346 2,000
Kiukweli ukiziangalia ofisi za CCM tawi la Masaki halafu ukayapitia makao makuu ya chama kikuu cha upinzani pale Ufipa lazima utajifunza kitu.
Ofisi za CCM masaki zimejengwa na billionea Bakhresa.

Najiuliza tu kuna wakati bilionea Sabodo alitangaza kuwajengea Chadema jengo la makao yao makuu......hivi mpango ule uliishia wapi.

Nafahamu Chadema inaamini kuwa umaskini ni laana..... Lakini makao makuu ya Ufipa hayaakisi hiyo imani.

Maendeleo hayana vyama!
 

Tabutupu

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2010
Messages
8,961
Points
2,000

Tabutupu

JF-Expert Member
Joined Nov 26, 2010
8,961 2,000
Unajenga ofisi za chama kwa fedha za unyang'anyi wakati huo huo watoto wa shule dar es salaam wana kaa chini.

Mradi wa ofisi za walimu ulifika wapi?
 

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Messages
26,346
Points
2,000

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined May 27, 2014
26,346 2,000
..siyo kweli.

..uwezekano mkubwa ni ccm wamekwenda kwa Mzee Bakhresa "wakamuomba" awajengee ofisi ya kifahari.

..na Mzee Bakhresa kwa kuogopa usumbufu ktk biashara zake akaamua kutekeleza matakwa ya ccm / chama dola.
Sasa mbona Chadema hamkuitikia wito wa bilionea Sabodo na mbaya zaidi mlitokomea na fedha za kuchimbia visima alizowapa!
 

kipande

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2010
Messages
1,174
Points
2,000

kipande

JF-Expert Member
Joined Dec 29, 2010
1,174 2,000
..I know.

..lakini kwanini msisaidie watoto wanaosoma huku wamekaa kwenye mavumbi?

..ccm inapokea bilioni 52 na inachangiwa na MATAJIRI WAKUBWA nchini.

..Haileti picha nzuri kwa ccm kuendekeza anasa huku wananchi wanasota kwa umasikini.
Hivi shule siku hizi zinajengwa na chama na siyo Serikali?

Lakini hata hivyo, tujiulize shule ngapi zimejengwa na miradi ya maendeleo ambayo imefanywa na Serikali ya CCM kwa miaka hii minne tu . Vituo vya Afya zaidi ya 350 nchi nzima.

Chadema wanapokea ruzuku zaidi ya milioni 300 kwa mwezi hawajawahi kujenga hata banda la kuku waseme ndo makao makuu yao. Halafu unakuja kutetea ujinga hapa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

JokaKuu

Platinum Member
Joined
Jul 31, 2006
Messages
17,551
Points
2,000

JokaKuu

Platinum Member
Joined Jul 31, 2006
17,551 2,000
Hivi shule siku hizi zinajengwa na chama na siyo Serikali?

Lakini hata hivyo, tujiulize shule ngapi zimejengwa na miradi ya maendeleo ambayo imefanywa na Serikali ya CCM kwa miaka hii minne tu . Vituo vya Afya zaidi ya 350 nchi nzima.

Chadema wanapokea ruzuku zaidi ya milioni 300 kwa mwezi hawajawahi kujenga hata banda la kuku waseme ndo makao makuu yao. Halafu unakuja kutetea ujinga hapa.

Sent using Jamii Forums mobile app
..kweli cdm inapokea 300 million.

..lakini ccm inapokea mara 4 ya wanachopewa cdm.

..kwa hiyo ccm wanapokea 1.2 billion kwa mwezi.

..zaidi MATAJIRI WAKUBWA wanawachangia.

..pia makada wa ccm wanalipwa na serikali kwasababu ccm ni CHAMA DOLA.

..sasa 1.2 billion za ruzuku wanayopewa ccm inatumika vipi? Kwanini isisaidie masikini vijijini?
 

JokaKuu

Platinum Member
Joined
Jul 31, 2006
Messages
17,551
Points
2,000

JokaKuu

Platinum Member
Joined Jul 31, 2006
17,551 2,000
..hapa kuna habari ya shule ambayo haikuwa na choo tangu ianzishwe mwaka 1997.

..na iko ktk jimbo linaloongozwa na mbunge toka ccm.

..na chama kinapokea 1.2 billion kila mwezi toka serikalini.
 

Forum statistics

Threads 1,390,945
Members 528,310
Posts 34,067,434
Top