Mbunge wa Chadema aonekana Lumumba akiteta na mwenezi wa CCM

Mbunge wa Chadema ( jina linahifadhiwa kwa sasa) ameonakana katika mtaa wa lumumba akiwa na mwenezi wa CCM wakiteta jambo lililoonekana kuwa la muhimu sana.

Tusubiri kidogo labda wanaccm mtapatiwa zawadi ya Krismas.

Maendeleo hayana vyama!
Mwambe na aende tu,
 
Sema Cesilia Mwambene usiende mbali waliomtuma mkakati wao umebuma akawasalimie akina Waitara.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nani tena, mwambe? huyo mbona kimwili yuko cdm lakini kiroho yuko ccm, atupishe.
 
Baada ya Bunge kuvunjwa rasmi mwakani na wabunge kupokea kile kitita cha M50, I believe wengi watapiga uturn na kujiunga na CCM. #matumbo yao. #FightingForSurvival
 
Back
Top Bottom