CCM ni chama kikubwa walikuwepo Mwigullu, January na Nape wakapita sasa tunao akina Waitara, Joketi na Kafulila nao watapita!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Messages
26,318
Points
2,000

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined May 27, 2014
26,318 2,000
Tunakumbushana tu ukubwa wa CCM maana vijana wa siku hizi wengi ni wasahaulifu.

Unapoteuliwa kuwatumikia wananchi basi uwe mzalendo wa kweli na utoe utumishi badala ya kutumia muda mwingi kujipigia promo na kuchafua watu wengine kana kwamba wewe ndio CCM peke yako.

Hebu muangaliwe January......mtoto wa " kuzaliwa" wa Katibu mkuu mstaafu wa CCM ambaye ni luteni mstaafu wa jeshi......kadhalika January amefanya kazi Ikulu kama mwandishi wa hotuba za Rais, amekuwa Naibu waziri, Waziri na mjumbe wa sekretarieti ya CCM akiwa boss wa foreign affairs......Leo hii ameshasahaulika kiasi cha kuhofia hata kugombea ubunge.

Kiukweli CCM ni chama kikubwa sana na kila kitabu kina zama zake hivyo vijana wa digitali msijisahau.

Maendeleo hayana vyama!
 
Glenn

JF-Expert Member
Joined
May 22, 2018
Messages
7,481
Points
2,000

Glenn

JF-Expert Member
Joined May 22, 2018
7,481 2,000
Mwigulu hadi alishiriki kupanga mipango miovu ya kudhuru miili wakati wa kamprni, alitetea mauji ya watu kuuawa na kufungwa kwenye viroba, nasema watu wamfanye Mwigulu kuwa shamba darasa kuwa unayoyafanya ipo siku utajutia
Ni kweli mkuu ila Nape Mwigulu na Makamba waliipenda CCM kwa Jasho na Damu lakini Waitara na Kafulila mhhh labda Joketi

Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
 
ndammu

JF-Expert Member
Joined
Apr 21, 2017
Messages
1,592
Points
2,000

ndammu

JF-Expert Member
Joined Apr 21, 2017
1,592 2,000
Tunakumbushana tu ukubwa wa CCM maana vijana wa siku hizi wengi ni wasahaulifu.

Unapoteuliwa kuwatumikia wananchi basi uwe mzalendo wa kweli na utoe utumishi badala ya kutumia muda mwingi kujipigia promo na kuchafua watu wengine kana kwamba wewe ndio CCM peke yako.

Hebu muangaliwe January......mtoto wa " kuzaliwa" wa Katibu mkuu mstaafu wa CCM ambaye ni luteni mstaafu wa jeshi......kadhalika January amefanya kazi Ikulu kama mwandishi wa hotuba za Rais, amekuwa Naibu waziri, Waziri na mjumbe wa sekretarieti ya CCM akiwa boss wa foreign affairs......Leo hii ameshasahaulika kiasi cha kuhofia hata kugombea ubunge.

Kiukweli CCM ni chama kikubwa sana na kila kitabu kina zama zake hivyo vijana wa digitali msijisahau.

Maendeleo hayana vyama!
Ikiwa hawo unaowasema walikuwepo na wakapita na vilevile ccm itapita tu. Mwisho wa maji ni tope.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Joined
Jun 1, 2019
Messages
19
Points
45
Joined Jun 1, 2019
19 45
Kuna kitu kimoja kinawaunganisha Zitto, January, Fatmakarume, na Ng'wigulu. Ni vijana chapchap, damu inachemka, wanaamini kabisa kuwa Tanzania tuko nyumba shauri ya mazee kungangania (sic!) uongozi. Zitto na January wako on record kuwa Tanzania imechoshwa na wazee, lazima vijana watawale.

Kosa lao ni kuwa hawajaiva. True, wamesoma shule nzuri na kupitia hapa na pale lakini hii pekee haitoshi: lazima usote kwanza, uijue nchi hii na ukubalike kote.

N'gwigulu kapewa vyeo vyite vikubwa hapa nchini, but where! Wakamuweka pembeni for no apparent reason, he will be back.

Ambition.

Zitto katafutwa na Mbowe kajengwa na Dr Slaa wasijue kuwa kijana ni ambitious, akaruka huku na huku. Sasa kawakwaa Waarabu wanakubaliana kitu kimoja tu (udini) yote mengine hawaivi kwa vile kila mtu anataka atumie mwanya huu awe yeye atimize lengo lake.

Ambition.

January tafauti kidogo lakini lao moja. Yeye alitaka awatumie vigogo ("mazee" yale yale anayoyatukana - Kinana, Baba yake, Membe) - ili tu atimize malengo yake awe Rais. Hakuwa na nia mbaya wala kukosa adabu, alitaka tu awatumie (labda angewateua mabalozi). Aliingia kichwakichwa na mbwembwe nyingi; system ikamtema kwa vile hajaiva.

Ambition.

The most sorry ni Fatmakarume, mnikulu, frustrated by divided loyalties in the family (walileta utumwa, walifuta utumwa), feminist rubbish indoctrinated in redbrick universities, feelings of inadequacy and false solidarities with similar inadequates. Sasa maskini hajui aende huku au aende kule. Kazi kakosa mume kakosa kabaki baba. Ambition.

Conclusion? Mr Magu is doing very well, measured by 99% of the population, hawa wasaliti, riffraff, wahaini tuwaache tu namba zao hawatoshi na hawajaiva. Ofkozi lazima wafuatiliwe kila waendako lakini ni harmless.

Tunakumbushana tu ukubwa wa CCM maana vijana wa siku hizi wengi ni wasahaulifu.

Unapoteuliwa kuwatumikia wananchi basi uwe mzalendo wa kweli na utoe utumishi badala ya kutumia muda mwingi kujipigia promo na kuchafua watu wengine kana kwamba wewe ndio CCM peke yako.

Hebu muangaliwe January......mtoto wa " kuzaliwa" wa Katibu mkuu mstaafu wa CCM ambaye ni luteni mstaafu wa jeshi......kadhalika January amefanya kazi Ikulu kama mwandishi wa hotuba za Rais, amekuwa Naibu waziri, Waziri na mjumbe wa sekretarieti ya CCM akiwa boss wa foreign affairs......Leo hii ameshasahaulika kiasi cha kuhofia hata kugombea ubunge.

Kiukweli CCM ni chama kikubwa sana na kila kitabu kina zama zake hivyo vijana wa digitali msijisahau.

Maendeleo hayana vyama!
Sent using Jamii Forums mobile app
 
tindo

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2011
Messages
26,539
Points
2,000

tindo

JF-Expert Member
Joined Sep 28, 2011
26,539 2,000
Kuna kitu kimoja kinawaunganisha Zitto, January, Fatmakarume, na Ng'wigulu. Ni vijana chapchap, damu inachemka, wanaamini kabisa kuwa Tanzania tuko nyumba shauri ya mazee kungangania (sic!) uongozi. Zitto na January wako on record kuwa Tanzania imechoshwa na wazee, lazima vijana watawale.

Kosa lao ni kuwa hawajaiva. True, wamesoma shule nzuri na kupitia hapa na pale lakini hii pekee haitoshi: lazima usote kwanza, uijue nchi hii na ukubalike kote.

N'gwigulu kapewa vyeo vyite vikubwa hapa nchini, but where! Wakamuweka pembeni for no apparent reason, he will be back.

Ambition.

Zitto katafutwa na Mbowe kajengwa na Dr Slaa wasijue kuwa kijana ni ambitious, akaruka huku na huku. Sasa kawakwaa Waarabu wanakubaliana kitu kimoja tu (udini) yote mengine hawaivi kwa vile kila mtu anataka atumie mwanya huu awe yeye atimize lengo lake.

Ambition.

January tafauti kidogo lakini lao moja. Yeye alitaka awatumie vigogo ("mazee" yale yale anayoyatukana - Kinana, Baba yake, Membe) - ili tu atimize malengo yake awe Rais. Hakuwa na nia mbaya wala kukosa adabu, alitaka tu awatumie (labda angewateua mabalozi). Aliingia kichwakichwa na mbwembwe nyingi; system ikamtema kwa vile hajaiva.

Ambition.

The most sorry ni Fatmakarume, mnikulu, frustrated by divided loyalties in the family (walileta utumwa, walifuta utumwa), feminist rubbish indoctrinated in redbrick universities, feelings of inadequacy and false solidarities with similar inadequates. Sasa maskini hajui aende huku au aende kule. Kazi kakosa mume kakosa kabaki baba. Ambition.

Conclusion? Mr Magu is doing very well, measured by 99% of the population, hawa wasaliti, riffraff, wahaini tuwaache tu namba zao hawatoshi na hawajaiva. Ofkozi lazima wafuatiliwe kila waendako lakini ni harmless.Sent using Jamii Forums mobile app
Akija hapa mtu asiyejua lolote halafu akiona umechanganya na maneno ya kiingereza kidogo, anaweza kudhani una point za maana kumbe matope matupu. Nilipoona hapo unaposema kuwa Magufuli anakubalika na 99% ndio nikajua nyie ni wale wale mlio kwenye meza ya karamu na yeye, hivyo mna aya zenu kabisa za kumliwaza mfalme.
 
Mookiesbad98

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2015
Messages
1,582
Points
2,000

Mookiesbad98

JF-Expert Member
Joined Feb 1, 2015
1,582 2,000
Very intellectual analysis. Uko right kwa Fatma Karume.
Kuna kitu kimoja kinawaunganisha Zitto, January, Fatmakarume, na Ng'wigulu. Ni vijana chapchap, damu inachemka, wanaamini kabisa kuwa Tanzania tuko nyumba shauri ya mazee kungangania (sic!) uongozi. Zitto na January wako on record kuwa Tanzania imechoshwa na wazee, lazima vijana watawale.

Kosa lao ni kuwa hawajaiva. True, wamesoma shule nzuri na kupitia hapa na pale lakini hii pekee haitoshi: lazima usote kwanza, uijue nchi hii na ukubalike kote.

N'gwigulu kapewa vyeo vyite vikubwa hapa nchini, but where! Wakamuweka pembeni for no apparent reason, he will be back.

Ambition.

Zitto katafutwa na Mbowe kajengwa na Dr Slaa wasijue kuwa kijana ni ambitious, akaruka huku na huku. Sasa kawakwaa Waarabu wanakubaliana kitu kimoja tu (udini) yote mengine hawaivi kwa vile kila mtu anataka atumie mwanya huu awe yeye atimize lengo lake.

Ambition.

January tafauti kidogo lakini lao moja. Yeye alitaka awatumie vigogo ("mazee" yale yale anayoyatukana - Kinana, Baba yake, Membe) - ili tu atimize malengo yake awe Rais. Hakuwa na nia mbaya wala kukosa adabu, alitaka tu awatumie (labda angewateua mabalozi). Aliingia kichwakichwa na mbwembwe nyingi; system ikamtema kwa vile hajaiva.

Ambition.

The most sorry ni Fatmakarume, mnikulu, frustrated by divided loyalties in the family (walileta utumwa, walifuta utumwa), feminist rubbish indoctrinated in redbrick universities, feelings of inadequacy and false solidarities with similar inadequates. Sasa maskini hajui aende huku au aende kule. Kazi kakosa mume kakosa kabaki baba. Ambition.

Conclusion? Mr Magu is doing very well, measured by 99% of the population, hawa wasaliti, riffraff, wahaini tuwaache tu namba zao hawatoshi na hawajaiva. Ofkozi lazima wafuatiliwe kila waendako lakini ni harmless.Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
 
MABAKULI

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2015
Messages
1,252
Points
2,000

MABAKULI

JF-Expert Member
Joined Oct 4, 2015
1,252 2,000
Na wewe jifunze kitu hapo Lumumba wakati Wa jk alikuwepo bi pashkuna mmoja faiza fox ilikuwa ukikosoa utawala Wa jk yeye anasifia kuwa akisikia jk anajisikia raha kama kala pilau ! Jana amekuja dukani kwangu hapa kibiti anauliza sumu ya panya tukajiuliza miaka 10 ya jk ameshindwa kujenga nyumba isiyorafiki kwa panya ! Mwenzangu Duka LA pili akamjibu waache tu hao panya mbona nyie tuliwaacha Lumumba mnatafuna mwingine akasema inawezekana ana jambo jingiñe sio panya tu
 
Kwahiyo Mwigullu atarejea?!
 
Fayzafox bado yupo bwashee!
 
Qwy

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2018
Messages
1,770
Points
2,000

Qwy

JF-Expert Member
Joined Nov 23, 2018
1,770 2,000

Stupid analysis from a self-centered ******** clown.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wa stendi

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2016
Messages
15,013
Points
2,000

wa stendi

JF-Expert Member
Joined Jul 7, 2016
15,013 2,000
Na ndio maana bashiru alisema kama wewe unajijua ushashika ubunge zaidi ya mara 2020 sahau kurudishwa kwenye jimbo lako
Tunakumbushana tu ukubwa wa CCM maana vijana wa siku hizi wengi ni wasahaulifu.

Unapoteuliwa kuwatumikia wananchi basi uwe mzalendo wa kweli na utoe utumishi badala ya kutumia muda mwingi kujipigia promo na kuchafua watu wengine kana kwamba wewe ndio CCM peke yako.

Hebu muangaliwe January......mtoto wa " kuzaliwa" wa Katibu mkuu mstaafu wa CCM ambaye ni luteni mstaafu wa jeshi......kadhalika January amefanya kazi Ikulu kama mwandishi wa hotuba za Rais, amekuwa Naibu waziri, Waziri na mjumbe wa sekretarieti ya CCM akiwa boss wa foreign affairs......Leo hii ameshasahaulika kiasi cha kuhofia hata kugombea ubunge.

Kiukweli CCM ni chama kikubwa sana na kila kitabu kina zama zake hivyo vijana wa digitali msijisahau.

Maendeleo hayana vyama!
 
Forum statistics

Threads 1,390,473
Members 528,186
Posts 34,052,087
Top