ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. A

    JamiiForums Tanzania Mbona Edward Lowasa Arudi CCM?

    Wacha niwe mchambuzi ma maswala ya Kisiasa Kwa Dakika Moja Hakuna Shaka yoyote kwamba kuondoka kwa Mzee Edward Lowasa Kule Upinzani(chadema) na kuelekea Kule CCM kumeitingisha Chadema na kuiacha Mahututi, hata hivyo Ikumbukwe kwamba Mh. Lowasa Kule upinzani alifuata Uraisi,na kwa mtu yeyote...
  2. n00b

    JamiiForums Tanzania Kutoka Bungeni: Muswada wa Mabadiliko ya Sheria ya Vyama vya Siasa wapitishwa kuwa Sheria

    Spika Ndugai ameipongeza Serikali kwa kazi nzuri na Muswada umepita kwa kura za Ndiyo ====== BAADHI YA NUKUU (KUTOKA UPINZANI) Kambi ya rasmi ya upinzani bungeni imekosoa muswada wa marekebisho ya sheria ya vyama vya siasa wa mwaka 2018 ikisema ni uonevu mkubwa dhidi ya vyama hivyo...
  3. Return Of Undertaker

    JamiiForums Tanzania Stiegler's Gorge una manufaa machache kitaifa kuliko faida, CCM walitakiwa kujibu hivi vyanzo vya umeme kwanza huu mradi una ufisadi

    Benki ya Dunia inapendekeza mkopo wa dola mi $ 100 ya miundombinu kwa ajili ya Tanzania kuongeza utalii na serikali ya Ujerumani hivi karibuni na ilisaini mkataba wa eruo € milioni 18 wa miaka 5 mpango hifadhi kwa Selous. Rais Magufuli kajinasibu kununua ndege ili kukuza utalii sijajua huo...
  4. mpimamstaafu

    JamiiForums Tanzania Ole Millya umerudi CCM au umehamia CCM?

    Nimemsikia Bw. Ole Millya akitabanaisha sababu za kuhamia CCM moja ni kuwahudumia Wananchi. Binafsi hiyo sio sababu kwani hata bila chama unaweza kuwahudumia wananchi.Pili sikubaliani nae kuwa Kahamia CCM naamini kuwa Karudi CCM asipotoshe Umma na sababu ya kurudi CCM wote tunajua.
  5. Dive

    JamiiForums Tanzania Jinsi picha la kurudia chaguzi Tanzania linavyochezwa

    Watanzania tutazame picha linalolechezwa la kuumalizia mbali upinzani. Ukiangalia wafuatao wamejiuzulu uanachama wao bila sababu mujarabu na chaguzi za wabunge na madiwani zimerudiwa. Akina Mwita Waitara wa jimbo la Ukonga, mbunge wa Monduli, mbunge wa Kinondoni, mbunge wa Liwale. Hii inatupa...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Huruma na haki itasaidia Antar Hamoud Ahmed kuwa huru

    assalaam alaikum viongozi na ndugu watanzania, nasambaza barua hii kwa lengo la kuomba na sisi tusikilizwe mimi kama mtoto wa kwanza wa mtuhumiwa Antar Humud nafanyah ivi baada ya kuzidi kuongezeka machungu na shida na mfarakano na umaskini wa familia na miaka kila siku tunaihesabu ikiongezeka...
  7. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Watu Wenye Akili, tusikubali ujinga huu ! hata Mwl. Nyerere alikataa ujinga wa CCM, 1995 Kusimamisha Jitu la Hovyo!, Akachagua upinzani!

    Wanabodi, Tafsiri ya Neno Ujinga. Naomba nianze na tafsiri ya neno mjinga maana watu humu hawakawii kusingizia watu kuwa tumetukana watu humu!. Kwa mujibu wa Kamusi ya Kiswahili Sanifu neno ujinga ni kutokujua. Declaration of Interest Naomba ku declare interest kuwa licha ya mimi kuwa ni...
  8. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Wanaohamia CCM wasibezwe! Wanaona mbali, 2020 Majimbo yote kurejeshwa. Je, tunarejea nchi ya chama kimoja?

    Wanabodi. Hili ni bandiko la swali kuhusu Trend Reading. Wanaohamia CCM Wasibezwe, Wanaona Mbali, 2020 Majimbo Yote Kurejeshwa?, Jee Tunarejea Kuwa Nchi Chama Kimoja? Trend reading sio utabiri, bali ni matumizi ya analitical na logical thinking kwa kila jambo lililofanyika huangalii tuu hilo...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Ni nani alitaka kumuua Tundu Lissu?

    Nasema "alitaka kumuua" kwa sababu ukiangalia yale matundu ya risasi upande wake wa gari utajua kuwa hawa watu hawakutaka kumtishia tu. Walidhamiria kumuua. Niungane na Watanzania wenzangu kumuombea Tundu Lissu dua/sala ili apone kikamilifu, Amin. Nimejiuliza maswali mengi kuhusu shambulio...
  10. Informer

    JamiiForums Tanzania DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

    Wakuu, Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA, rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) na Mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu, ajeruhiwa kwa risasi. Kwa sasa wapo hospitali ya Mkoa, mjini Dodoma. Ameshambuliwa kwa risasi wakati akishuka nyumbani kwake Area D Mjini Dodoma, alikuwa akitokea...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Kama ni kweli, basi comrade Kinana amepuuzwa!

    Habari wanajamvi! Sijaamini maneno ya msemaji wa chama cha Mapinduzi labda nitaaminishwa baadae. Kwa maneno yake Katibu mwenezi anasema ni kweli mwanasiasa nguli na Katibu Mkuu wa chama cha mapinduzi comrade Alhajji Abdulrahman Kinana alikuwa anaumwa, na alipelekwa nje ya Nchi kwaajili ya...
  12. SEGUZO

    JamiiForums Tanzania Wasifu na Historia ya Mzee Stephen Wasira

    Historia yake Stephen Wasira alizaliwa mwaka 1945 katika Wilaya ya Bunda, Mkoa wa Mara (ana miaka 70). Alisoma katika shule tatu tofauti, ya kwanza ni Shule ya Msingi Bariri 1956-1959, ya pili ni Shule ya Msingi Nyambitilwa 1960–1961 na kisha akamalizia Shule ya Msingi Kisangwa mwaka 1962 -...
  13. Fukara

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri katika Uzinduzi wa Ukumbi mpya wa CCM Dodoma

    Mgeni rasmi ni Rais Jakaya kikwete, namuona Ali shein, Kinana na Makamu wa rais Billal. Rais kikwete anatoa hotuba fupi na kuwashukuru watanzania na wana CCM Hitilafu inatokea mic zinagoma wanabaki kushangaa. Bado anazungumzia jengo jipya na kuhusu pia niya ya kukodisha jengo hilo kwa...
  14. rugumye

    JamiiForums Tanzania Bandari ya Bagamoyo ikijengwa CCM ijindae kwa adhabu pia

    Wakati sakata la gesi ya Mtwara halijaisha CCM kupitia kwa Mwenyekiti wake Mheshimiwa Rais Jakaya Kikwete amesaini mktaba wa kujenga bandari nyingine huko Mbegani Bagamoyo Nyumbani kwa Rais, huku zile za Mtwara na Tanga zikiachwa hoi, CCM ikumbuke kuwa ujenzi wa bandari ya Bagamoyo ni kaburi...
  15. shadow recruit

    JamiiForums Tanzania Kicks and blows as CCM marks 36th year

    By Elisha Magolanga, Florence Mugarula Dodoma/Kigoma. An exchange of blows between some ruling CCM carders and those of the main opposition Chadema almost spoilt the countrywide celebrations to mark the formers 36 years since its founding, the cause of the fight being a venue in Dodoma...
  16. Lucchese DeCavalcante

    JamiiForums Tanzania Ijue CCM - Tofauti ya NEC, CC, Sekretarieti na Mkutano Mkuu

    Chukua corporate structure ambapo Mkutano Mkuu ni shareholders, NEC ni Board Members na CC ni Management. NEC ndio halmashauri kuu hiyo, so mkutano mkuu ni wawakilishi wa wanachama watano toka kila wilaya. Ndio chombo pekee kinachoweza kubariki mabadiliko makubwa ndani ya chama.....mabadiliko ya...
  17. A

    JamiiForums Tanzania Nyerere: Watanzania wasipoyapata mabadiliko ndani ya CCM, watayatafuta nje ya CCM

    "WATANZANIA HAWA WANATAKA MABADILIKO, WASIPOYAPATA CCM WATAYATAFUTA NJE YA CCM" JK. NYERERE....."LAZIMA CCM TUWAPE WATANZANIA MABADILIKO WAYATAKAYO ILI TUENDELEE KUONGOZA" Nnauye (mtoto wa kuli). NIMEKUTA KWENYE WALL YA NAPE YA FB, ANAYAAMINI HAYA?
  18. Sumbalawinyo

    JamiiForums Tanzania Manara apigwa chini CCM kwa utapeli wa magari

    KATIBU Mwenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dar es Salaam, Haji Manara, amejiuzulu wadhifa huo baada ya kuhusishwa na tuhuma za utapeli. Katibu wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam, Kirumbe Ng’enda, jana alilithibitishia gazeti hili kuwa wamekubali barua ya kujiuzulu kwa Manara iliyowasilishwa...
  19. Selous

    JamiiForums Tanzania NEC yazika mzimu wa Richmond

    NEC yazika mzimu wa Richmond *Baadhi ya wabunge watetea watuhumiwa rasmi *Wataka mijadala ya EPA, Richmond iwekwe kando * Wengine wataka wachukuliwe hatuza zaidi *Kikwete awaruhusu kuikosoa serikali kwa hoja Na Mwandishi Wetu, Dodoma Mwananchgi KUNDI la wabunge na wajumbe wa Halmashauri...
  20. BAK

    JamiiForums Tanzania Sakata za Richmond, EPA sasa kuhamia katika vikao vya CCM

    Suala la kashfa ya Richmond na mabilioni yaliyochotwa katika Akaunti Maalum ya Madeni ya Nje (EPA) katika Benki Kuu ya Tanzania (BOT), linatarajiwa kutawala mkutano wa Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (NEC-CCM) na waliotuhumiwa kwa kashfa hizo kujieleza mbele ya wajumbe wenzao na wabunge...
Back
Top Bottom