Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
Dear CCM central commetee !
I'm presenting this to you knowing that you have all powers and resources to heal the nation.
Nyerere once said whoever would be nominated by CCM he would likely be the head of our house.
Considering this mwalimu's statement plz do all what you can to bring another...
Kama wanawake wameshafikia viwango vya kuwa makamu wa Rais wa JMT na Spika wa bunge iweje kwenye nafasi za juu za uongozi wa chama hatuwaoni?
Nakumbuka ACT wazalendo imewahi kuwa na mwenyekiti ambaye ni mwanamama kadhalika NCCR ilikuwa na makamu mwenyekiti mwanamama. Cuf ina Katibu mkuu...
Kiukweli ukiziangalia ofisi za CCM tawi la Masaki halafu ukayapitia makao makuu ya chama kikuu cha upinzani pale Ufipa lazima utajifunza kitu.
Ofisi za CCM masaki zimejengwa na billionea Bakhresa.
Najiuliza tu kuna wakati bilionea Sabodo alitangaza kuwajengea Chadema jengo la makao yao...
1. MWENYEKITI - Freeman Mbowe
2. MAKAMU MWENYEKITI ZANZ - Said Issa Mohamed
3. MAKAMU MWENYEKITI BARA - Tundu A.Lissu
4. KATIBU MKUU - John John Mnyika
5. NAIBU KATIBU MKUU BARA - Benson S. Kigaila
6. NAIBU KATIBU MKUU ZANZIBAR - Salum Mwalim
WAJUMBE WA KAMATI KUU - TAIFA
1. John W. Heche
2...
Habari wakuu,
Ofisi ambayo CHADEMA Makao Makuu wamezawaidiwa
Leo Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam, amewagawia nyumba ambayo ni Ofisi ya CCM Wilaya ya Kinondoni. Amesema ameamua kuwagawia CHADEMA kwa sababu Makao Makuu ya CHADEMA Wamepanga na hawalipi Kodi hivyo, Mwenye nyumba kila siku anashinda...
Mama hafahamu mwenye njaa haogopi kufa, kwani hata njaa itamuua.
Kuna muda nawaza hawa watu wamesomeshwa na mission nini? Hawajui njaa kabisa. Tuliopitia huu msoto kipindi kile tunaelewa.
=====
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Joyce Ndalichako ameuagiza uongozi wa Chuo Kikuu...
Hili swali naelekeza kwa wana CCM wenzangu?
CCM ina hazina kubwa sana ya watu wenye upeo mkubwa sana. Ina wasomi wazuri sana kwa kila nyanja.
Sasa, najiuliza. Nini kinatushinda katika kufanya siasa za kisasa zaidi badala ya siasa za ki polisi polisi?
Hawa wapinzani mbona wepesi sana, wala...
Wadau.
CCM Mkoa Wa Arusha imepata Mwenyekiti Mpya Ambaye Ni Ndg Zelothe Stephen Zelothe kufutia Uchaguzi wa Kidemokrasia uliofanyika Leo.
Matokeo Kamili:
Ndg. Zelothe Stephen Zelothe Amepata Kura 468.
Dkt Batilda Burian Amepata Kura 339.
Ndg.Bakari Msangi Amepata Kura 48.
Msimamizi wa...
CCM itakutana na tatizo moja kubwa miaka ijayo ukifika muda ambao huwezi kushinda kwa kuiba kura. Tatizo kubwa watakalo lipata ni kwamba viongozi wengi hawana uvumilivu hata kidogo. Hakuna kiongozi anayejua jela likoje, hakuna kiongozi ambaye anaogopa maisha yake kuwindwa na kutaka kuuliwa au...
Nimekutana na hii taarifa huko mitandaoni mgombea wa nafasi ya mwenyekiti wa Chadema akiwasa wapenda mabadiiliko wajipange kuanzia sasa.
Mgombea huyo amesema uimara wa Chadema kamwe hautatokana na udhaifu wa CCM bali mipango na mikakati waliyojiwekea ya kutwaa dola na kuleta mabadiliko. Hivyo...
Nimekumbuka miaka ile aliyekuwa Katibu Mkuu wa CCM, Horace Kolimba aliposema CCM imekosa dira
Historia imejirudia,ila sasa wameitwa makatibu wakuu wawili,Makamba na Kinana wakajieleze
Mh. Kolimba alishaitwa mbele za haki, apumzike kwa amani
Kwenye sheria ni lazima unapohitaji haki itendeke uhusishe pande zote ili uujue ukweli na ufanye uamuzi usiopendelea upande mmoja
Nimesikia kwenye kikao cha baraza kuu la CCM kilichomalizika siku chache zilizopita, huko Mwanza, kuwa kimeamua kuwaita akina Bernard Membe, Abdurahman Kinana na...
Wajumbe wa NEC Waliokuwa Mwanza Kesho saa 3 Asubuhi watapanda bure na Kurejea Dar es salaam kwa Kutumia Ndege ya Mpya Ya ATCL iliyokuwa inashikiliwa Canada na Mabeberu.
Watasafiri bure Kushuhudia Utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM.
Hata Hivyo ifahamike kuwa Ndege Hiyo Mpya bado ipo...
Jamani, kumbe sisi wa kanda nyingine kura zetu ni za kuongezea ongezea tu, ila msingi wa kura za CCM uko Kanda ya Ziwa.
Je kanda nyingine zikitikisa kiberiti kuhusu nguvu ya kura zao, mtikisiko utatokea? Je ni kweli kwamba Kanda ya Ziwa tu ina uwezo wa kutoa Rais hivyo wagombea wanaweza...
Kuna makosa ya msingi sana kikao kilichoamua kuwapeleka wazee akina Makamba, Kinana na Membe kwenye kamati ya maadili.
1. Wajumbe wa kikao cha maadili wameshatoa hukumu yao.
Katibu mkuu wa CCM ambaye ni mjumbe wa kamati ya maadili ameshasikika tangu zile sauti zilizodukuliwa zilipovuja akitoa...
Bernard Membe, aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa,
WAZIRI wa zamani wa mambo ya nje na mahusiano ya kimataifa nchini Tanzania, Benard Membe amesema, anasubiri kwa hamu, barua ya wito ya kumtaka kufika kwenye Kamati ya Maadili na Usalama ya Chama Cha Mapinduzi (CCM)...
Kiukweli uchaguzi mkuu wa Chadema kwa sasa unakwenda kimya kimya na hii ni kutokana na vikao vya kihistoria vya CCM vinavyofanyika jijini Mwanza.
Habari kuu katika media zote imekuwa ni vikao vya CCM, na hata uchaguzi wa Bavicha na Bawacha umejulikana zaidi kwa wana Ufipa wenyewe. Na hii ni...
Huyu DC ndie DC wa hovyo kuzidi hata yule wa Kilolo.
1. Tangu ateuliwe kuwa DC kazi yake ni kujisifu mbele ya watumishi ,madiwani,wana CCM na hata mbele ya mikutano ya wananchi wakawaida.
2. Alianza kugombana na dereva wa DC ambae alimkuta akimuendesha DC Qeen Mulozi ambae ni DC aliekuwa...
Chama cha Mapindizi CCM kimeridhia kwa kauli moja kuwasamehe Nape, January Makamba na Ngeleje hata hivyo wamepewa onyo kali wasirudie tena kosa hilo.
Hata hivyo kimeagiza kwa kauli moja kuhojiwa kwa Makatibu wakuu wastaafu Kinana na Makamba pamoja na Waziri wa Zamani Ndugu Bernard Membe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.