A humble request to CCM

Superbug

JF-Expert Member
Jan 31, 2018
12,417
30,927
Dear CCM central commetee !
I'm presenting this to you knowing that you have all powers and resources to heal the nation.

Nyerere once said whoever would be nominated by CCM he would likely be the head of our house.

Considering this mwalimu's statement plz do all what you can to bring another candidate to contest with others.

My reasons are simple.

1. The incumbent several times quoted to have said the position is tough for him and a burden as well.

2. It should be a way forward towards reconciliation and opening the page of new era in our country!

Lastly my friends in inner echelons do this for the betterment of our beloved country and you will be blessed for this.

Marry Christmas and happy New year!!
 
Watu wanae akili ya kufanikisha ujumbe
Unajua hii lugha ya kizungu bhana hata mtu akikwambia 'stupid' haitakuwa na uzito sawa na yule atakaekwambia pumbavu.
Yaani hapo ndipo kingereza kinaizidi lugha yetu ya KISWAHILI kwa mbaliiiiii
 
Dear CCM central committee !
Am presenting this to you knowing that you have all powers and resources to heal the nation.
Marry Christmas and happy New year!!
Kumbe bado kuna watu wanaamini kwenye Chama kushika hatamu!.
Nchi hii ni Watanzania, what does CCM have to do with it, wakati CCM ni chama tuukama vyama vingine?.
Haya ndio mambo ya Mbowe kumpigia magoti Magufuli badala ya kusisitiza afuate katiba inasema nini!.
Tutaendelea kuomba kuongozwa kwa hisani mpaka lini?.
P
 
Kaka yangu paskali we may tolerate a second a minute or an inch to CCM but not with the incumbent he is a burden to all of us except his family it is with less cost to oust the man within CCM but not the whole CCM in Tanzania
 
Watu wanae akili ya kufanikisha ujumbe
Unajua hii lugha ya kizungu bhana hata mtu akikwambia 'stupid' haitakuwa na uzito sawa na yule atakaekwambia pumbavu.
Yaani hapo ndipo kingereza kinaizidi lugha yetu ya KISWAHILI kwa mbaliiiiii
Mkuu Stupid maana yake ni mjinga. Idiot ndo mpumbavu.
 
Kumbe bado kuna watu wanaamini kwenye Chama kushika hatamu!.
Nchi hii ni Watanzania, what does CCM have to do with it, wakati CCM ni chama tuukama vyama vingine?.
Haya ndio mambo ya Mbowe kumpigia magoti Magufuli badala ya kusisitiza afuate katiba inasema nini!.
Tutaendelea kuomba kuongozwa kwa hisani mpaka lini?.
P
Nia yako ni kumlaumu na kumdhalilisha mbowe tu!
Alafu mwisho nawe unalialia huna suluhu
 
Oh please!. No!. We have different opinions za how to handle the situation, wengine tunasisitiza haki ya vyama kufanya mikutano ni right sio hisani, Mbowe hakupaswa kupiga magoti kwa Magufuli kuomba huruma, bali alipaswa kumkumbusha rais Magufuli kutekeleza katiba aliyoapa kuilinda.

Kweli tunatofautiana kwenye mtizamo wa mambo, mbowe hakupiga magoti alitaka maridhiano, ili likitokea LA kutokea huko mbele asilaumiwe
 
Maridhiano for what?. Begging for your rights ni sawa na baby crying. Tanzania hatuhitaji kufanya siasa kwa hisani ya CCM au kwa hisani ya rais Magufuli!, wanatakiwa kujitokeza wanasiasa jasiri kumlazimisha rais Magufuli afuate katiba na sio kumpigia magoti na kumuomba as if ni hisani au kuomba huruma yake.
Why beg for your rights.

Gjarama za kumlazimisha afuate katiba unazijua?
 
Oh please!. No!. We have different opinions za how to handle the situation, wengine tunasisitiza haki ya vyama kufanya mikutano ni right sio hisani, Mbowe hakupaswa kupiga magoti kwa Magufuli kuomba huruma, bali alipaswa kumkumbusha rais Magufuli kutekeleza katiba aliyoapa kuilinda.

P
P. we differ in techniques, approach and tackling during presentation!
Kwangu Mbowe alitumia right approach kwani Magu pale alisimama Kama amiri jeshi na rais na pia Kaka kwa maana ya kudiffer umri! Na pale hapakuwa na uwanja wa malumbano Bali kwenye sherehe hivyo Mbowe alikwenda na biti za muziki uliokuwa unarindima pale. Namsifu kwa kwa umahiri wake wa kuchopeka!
 
Maridhiano for what?. Begging for your rights ni sawa na baby crying. Tanzania hatuhitaji kufanya siasa kwa hisani ya CCM au kwa hisani ya rais Magufuli!, wanatakiwa kujitokeza wanasiasa jasiri kumlazimisha rais Magufuli afuate katiba na sio kumpigia magoti na kumuomba as if ni hisani au kuomba huruma yake.
Why beg for your rights.
P
Unalaumu sana upande unaoonewa kuliko unaoonea, unakemea sana upande unaoonewa kuliko unavyokemea upande unaoonea,
hata swala madhira yaliyomkuta rafiki yako kipenzi kabendera uko kimya
 
Hakuna gharama zozote, katiba imeweka kila kitu wazi kuanzia katiba yenyewe, sheria, taratibu na kanuni. Sio favours, sio hisani, sio huruma ni haki.
P
Sasa pale usiowapenda wanapotumia haki yao ya kufanya siasa wakajikuta mahabusu unawashauri wafanyeje?
 
Kwanza sidhani kama ulikuwa unawaandikia wenzio wa ccm, kwani tunavyowajua vijana wa lumumba ambao wako wengi humu kamwe hawatasoma hili tangazo kwa lugha uliyotumia! Nina hakika umenielewa!
 
Kumbe bado kuna watu wanaamini kwenye Chama kushika hatamu!.
Nchi hii ni Watanzania, what does CCM have to do with it, wakati CCM ni chama tuukama vyama vingine?.
Haya ndio mambo ya Mbowe kumpigia magoti Magufuli badala ya kusisitiza afuate katiba inasema nini!.
Tutaendelea kuomba kuongozwa kwa hisani mpaka lini?.
P
Literally ni kwamba chama cha siasa Tanzania ni kimoja. Na ndicho kinachopaswa kutoa Rais wa kuongoza nchi. H
 
Kumbe bado kuna watu wanaamini kwenye Chama kushika hatamu!.
Nchi hii ni Watanzania, what does CCM have to do with it, wakati CCM ni chama tuukama vyama vingine?.
Haya ndio mambo ya Mbowe kumpigia magoti Magufuli badala ya kusisitiza afuate katiba inasema nini!.
Tutaendelea kuomba kuongozwa kwa hisani mpaka lini?.
P

Hiki ulichosema ndio ninajua kuwa ni Paskali halisi, ule mchezo wa kuacha account yako On, kisha ndugu zako wanalogin na kuanza kutapika hapa jukwaani huwa sikuelewi kabisa.
 
Back
Top Bottom