johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,531
- 141,330
Natoa angalizo tu kwamba uwanja wa Sokoine ni mali ya CCM na kwahiyo mwanaccm yoyote anayeusababishia madhara anapaswa kukemewa.
Haiwezekani Mwenyekiti wetu Dr Magufuli juzi tu kasisitiza umuhimu wa kulinda mali za chama ili CCM isitegemee ruzuku pale mkutanoni Mwanza, halafu wajumbe wale wale wanakwenda kuutimbatimba uwanja na kukikosesha chama mapato.
Nimesikitika sana kwa kweli.
Maendeleo hayana vyama!