Chuki zingine za kujitakia - Watumishi wa Umma hawatapigia kura kamwe CCM 2020

Tila-lila2

JF-Expert Member
Oct 20, 2019
653
1,058
Hii ni kweli kabisa.

Anayetaka kushinda mwakani lazima awe na pendekezo la kuongeza kipato kwa Watumishi wa Umma. Miaka hii mitano mitano watumishi wa Umma wamechoka nyang'a nyang'a. Hamna nyongeza ya mshahara na manyanyaso mengine kibao. Licha ya ile nyingeza ya ujumla hata nyongeza ya kila Mwaka hamna. Magufuli wewe Magufuli! Hivi ni kweli kabisa hata nyingeza ya kila mwaka umegomea. Hivi hayo mamiundo mbinu unayoyakomalia kuyajenga yanaweza kuwa mbadala wa chakula mezani? Kwa kweli ikulu ni patamu sana kwako na watu wako waliovimbiwa hata hawaoni shida za wengine! Pamoja na yote hayo jua kwamba:

1. Mgombea atakayeahidi kupandisha mshahara kwa watumishi wa umma mara baada ya uchaguzi ni lazima apate kura zao na za ndugu zao. Kumbuka watumishi wa umma wana ndugu wengi tu ambao ni wakulima na wafanyabiashara na wanaweza kuwashawishi wakaacha kupiga kura kwa wazuia mishahara for four years. Kumbuka pia utawala wa CCM hata mpandishe mishahara 2020 mtaonekana manawafanya watumishi mazezeta. Hamtawashawishi.

2. Mgombea yeyote atakayeahidi kuajiri vijana wengi waliopo mtaani atapata kura kibao. Ahadi hiyo hata kama haitatekelezwa baada ya mtoa ahadi kuingia madarakani lakini kwa vyovyote vile Mgombea huyo atapata kura zetu vijana tunaohangaika kutafuta ajira Serikalini. Tupo wengi sana na mtaani kumekwa kugumu kwa sababu ya chuki iliyokwishaenezwa ya kutufungulia kesi za money laundering za kung'ang'aniza. Hapa CCM hampati kamwe kura zetu.

3. Mgombea yeyeote yule ambaye ataheshimu watumishi wa Umma na kuwa na staha na kuwawajibisha kwa kufuata utaratibu wa Kisheria atavuta kura za watumishi wengi. Watumishi wa Umma wamedhalilishwa sana katika awamu hii. Eti nidhamu kazini !- hamna hata hiyo nidhamu inayosemwa. Ndugu zangu wanaofanya kazi Serikalini wamechoka sana na wanafanya kazi ilimradi liende tu kwa sababu ya uwoga. Hamna ubunifu na wale ambao ni watendaji wazuri wasiopindisha mambo ndiyo wanatumbuliwa ili Mkulu mambo yake yaende. Maelekezo mengi ya Mkulu yamekuwa yakikinzana na Sheria lkn kwa mamlaka aliyonayo yanatekelezwa hivyo hivyo. Mfano kdg tu angalia alivyozuia vikao vya vyama vya siasa, ona alivyopingana na utaratibu wa kisheria katika biashara ya korosho, anagalia Mifuko ya pensheni inavyohaha kutekeleza maelekezo yake kinyume na sheria ambayo tayari yamefilisi Mifuko husika. Mgombea yeyote atakayerekebisha haya kwa kurudisha katika staha watumishi wa Umma na kuwawajibisha wale wanaokosea kwa kufuata utaratibu atapata kura za kundi la watu hawa. Imagine Mtumishi anaambiwa na Mukulu kuwa yeye ni mpumbavu - inauma sana!

4. Mgombea atakayeheshimu kuwa watumishi wa Umma wana mchango mkubwa katika kufanikisha uchaguzi katika namna nzuri pia atafanikiwa kupata kura zao. Chuki ishaenezwa kuwa watumishi wa umma hawasaidii ushindi kwa aliyeshinda uchaguzi wa 2015. Hili pia linazidisha chuki kwa wanaojaribu kuwakwepa watumishi kushiriki katika kufanikisha uchaguzi. Mgombea atakayetoa ahadi kuwa atakuwa anawatumia watumishi wa umma na watu wengine wenye sifa kielimu kwenye shughuli za uchaguzi atapata kura zao,

Kwa leo niiishie hapa ili niwahi kwenye biashara yangu. Nimejipangia kazi ya kuwa naandika yale yote ambayo ninafikiri yanasababisha chuki dhidi ya Serikali yetu ili viongozi wa kisiasa wafanyie kazi na waweze kurekebisha kwa ajili ya manufaa ya wananchi na nchi yetu kwa ujumla. Wale wanaotarajia kuinia madarakani wanakuwa pia wameoneshwa maeneo ambayo wanaweza kujengea hoja zao ili wapate ushindi.
 
Watumishi wa umma nchini Tanzania wanazidiwa ujasiri, misimamo na machangu na wauza baa!
Shame upon them all!
 
Ndugu kuna watendaji wa vijiji, watendaji wa kata, wakurungenzi wote hawa ndio wasimamizi wa uchanguzi mkuu ukiongeza na walimu asilimia zaidi ya hawa watumishi wa serikalini ni makada wa fisimu kwa hiyo kwao ccm mbele mshahara baadae yani kundi hili la makada uwa hawajielewi kabisa
 
Si Watumishi wa umma tu , mtu yeyote mwenye akili timamu hawezi kuchagua huyo jamaa , ila ni bahati mbaya kwamba ccm haitampitisha , lakini vinginevyo tungemuonyesha kwamba wapiga kura ni wananchi na wala siyo ndege , ana bahati sana !
 
Hivi kweli idadi ya watumishi wa umma ni ipi ?
Hii ni kweli kabisa,

Anayetaka kushinda mwakani lazima awe na pendekezo la kuongeza kipato kwa Watumishi wa Umma. Miaka hii mitano mitano watumishi wa Umma wamechoka nyang'a nyang'a. Hamnay nyongeza ya mshahara na manyanyaso mengine kibao. Licha ya ile nyingeza ya ujumla hata nyingeza ya kila Mwaka hamna. Magufuli wewe Magufuli! Hivi ni kweli kabisa hata nyingeza ya kila mwaka umegomea. Hivi hayo mamiundo mbinu unayoyakomalia kuyajenga yanaweza kuwa mbadala wa chakula mezani? Kwa kweli ikulu ni patamu sana kwako na watu wako waliovimbiwa hata hawaoni shida za wengine! Pamoja na yote hayo jua kwamba:

1. Mgombea atakayeahidi kupandisha mshahara kwa watumishi wa umma mara baada ya uchaguzi ni lazima apate kura zao na za ndugu zao. Kumbuka watumishi wa umma wana ndugu wengi tu ambao ni wakulima na wafanyabiashara na wanaweza kuwashawishi wakaacha kupiga kura kwa wazuia mishahara for four years. Kumbuka pia utawala wa CCM hata mpandishe mishahara 2020 mtaonekana manawafanya watumishi mazezeta. Hamtawashawishi.

2. Mgombea yeyote atakayeahidi kuajiri vijana wengi waliopo mtaani atapata kura kibao. Ahadi hiyo hata km haitatekelezwa baada ya mtoa ahadi kuingia madarakani lakini kwa vyovyote vile Mgombea huyo atapata kura zetu vijana tunaohangaika kutafuta ajira Serikalini. Tupo wengi sana na mtaani kumekwa kugumu kwa sababu ya chuki iliyokwishaenezwa ya kutufungulia kesi za money laundering za kung'ang'aniza. Hapa CCM hampati kamwe kura zetu.

3. Mgombea yeyeote yule ambaye ataheshimu watumishi wa Umma na kuwa na staha na kuwawajibisha kwa kufuata utaratibu wa Kisheria atavuta kura za watumishi wengi. Watumishi wa Umma wamedhalilishwa sana katika awamu hii. Eti nidhamu kazini !- hamna hata hiyo nidhamu inayosemwa. Ndugu zangu wanaofanya kazi Serikalini wamechoka sana na wanafanya kazi ilimradi liende tu kwa sababu ya uwoga.

Hamna ubunifu na wale ambao ni watendaji wazuri wasiopindisha mambo ndiyo wanatumbuliwa ili Mkulu mambo yake yaende. Maelekezo mengi ya Mkulu yamekuwa yakikinzana na Sheria lkn kwa mamlaka aliyonayo yanatekelezwa hivyo hivyo. Mfano kdg tu angalia alivyozuia vikao vya vyama vya siasa, ona alivyopingana na utaratibu wa kisheria katika biashara ya korosho, anagalia Mifuko ya pensheni inavyohaha kutekeleza maelekezo yake kinyume na sheria ambayo tayari yamefilisi Mifuko husika. Mgombea yeyote atakayerekebisha haya kwa kurudisha katika staha watumishi wa Umma na kuwawajibisha wale wanaokosea kwa kufuata utaratibu atapata kura za kundi la watu hawa. Imagine Mtumishi anaambiwa na Mukulu kuwa yeye ni mpumbavu - inauma sana!

4. Mgombea atakayeheshimu kuwa watumishi wa Umma wana mchango mkubwa katika kufanikisha uchaguzi katika namna nzuri pia atafanikiwa kupata kura zao. Chuki ishaenezwa kuwa watumishi wa umma hawasaidii ushindi kwa aliyeshinda uchaguzi wa 2015. Hili pia linazidisha chuki kwa wanaojaribu kuwakwepa watumishi kushiriki katika kufanikisha uchaguzi. Mgombea atakayetoa ahadi kuwa atakuwa anawatumia watumishi wa umma na watu wengine wenye sifa kielimu kwenye shughuli za uchaguzi atapata kura zao,

Kwa leo niiishie hapa ili niwahi kwenye biashara yangu. Nimejipangia kazi ya kuwa naandika yale yote ambayo ninafikiri yanasababisha chuki dhidi ya Serikali yetu ili viongozi wa kisiasa wafanyie kazi na waweze kurekebisha kwa ajili ya manufaa ya wananchi na nchi yetu kwa ujumla. Wale wanaotarajia kuinia madarakani wanakuwa pia wameoneshwa maeneo ambayo wanaweza kujengea hoja zao ili wapate ushindi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa kwataarifa yako kesho kutwa mbinu itakayotumika kuajiri kupandishwa vyeo na mishahara kwa wingi fedha kumwaga yaani kila kitu ili tuu watu wampigie kura kwa wingi.
Tena usishangae hat wale waliotumbuliwa wakarudishwa kazini kiujanja hiyo yote ni kujipigia promo kisiasa ili aungwe mkono.
Hivi unajua sayandi ya siasa wewe?
 
Atashinda bila kupingwa hiyo ndiyo silaha yake
 
Hii ni kweli kabisa.
Anayetaka kushinda mwakani lazima awe na pendekezo la kuongeza kipato kwa Watumishi wa Umma.
1. Mgombea atakayeahidi kupandisha mshahara kwa watumishi wa umma mara baada ya uchaguzi ni lazima apate kura zao na za ndugu zao.
2. Mgombea yeyote atakayeahidi kuajiri vijana wengi waliopo mtaani atapata kura kibao.
3. Mgombea yeyeote yule ambaye ataheshimu watumishi wa Umma na kuwa na staha na kuwawajibisha kwa kufuata utaratibu wa Kisheria atavuta kura za watumishi wengi.
4. Mgombea atakayeheshimu kuwa watumishi wa Umma wana mchango mkubwa katika kufanikisha uchaguzi katika namna nzuri pia atafanikiwa kupata kura zao.
Mkuu Tila Lila, wakati hoja zako ni mgombea atakayeahidi..., by Octoba mwakani, mgombea wa CCM sio anapanda jukwaani kuahidi, bali kuelezea utekelezaji wa yote hayo na mengine kibao, hivyo kura zote za watumishi wa umma kwa uchaguzi mkuu wa 2020 ni kwa CCM!.
Kununi itakayotumika kuhakikisha kura hizi ni kwa CCM ni ile kanuni ya "penye udhia..."

P
 
Hata bila kanuni hiyo PASCAL watumishi ni sehemu ya seeikali hawawezi kufanya tofauti na maelekezo ya serikali. Serikali ikishindwa na watumishi pia watakuwa wameshindwa.

Back
Top Bottom