Kwa waliohama CHADEMA kwenda CCM

Administer

JF-Expert Member
Feb 9, 2020
930
1,408
Kwa uchache tu Mwambe,Sumaye na wengine mliotuaminisha kwamba mnahama CHADEMA kwenda CCM kwa sababu mnatafuta DEMOKRASIA na DEMOKRASIA hiyo haipo CHADEMA ipo CCM ,mimi nawakumbusha tu sasa ni wakati wenu wakuchukua fomu ya kugombea urais kupitia CCM wakati ndiyo huo msisubiri muda unayoyoma.Mwambe na Sumaye kule CHADEMA mlikuwa mnagombea nafasi za chini Uenyekiti wa chama ngazi ya Kanda na Taifa mkashindwa hatimaye mkatimka.Sasa huku kuna nafasi kubwa ya urais tumieni hiyo fursa kutimiza ndoto zenu.Nawatakia kila la kheri ktk kupigania DEMOKRASIA ya kweli
 
Kwa uchache mzee Lowasa,Mwambe,Sumaye na wengine mliotuaminisha kwamba mnahama CHADEMA kwenda CCM kwa sababu mnatafuta DEMOKRASIA na DEMOKRASIA hiyo haipo CHADEMA ipo CCM ,mimi nawakumbusha tu sasa ni wakati wenu wakuchukua fomu ya kugombea urais kupitia CCM wakati ndiyo huo msisubiri muda unayoyoma.Mwambe na Sumaye kule CHADEMA mlikuwa mnagombea nafasi za chini Uenyekiti wa chama ngazi ya Kanda na Taifa mkashindwa hatimaye mkatimka.Sasa huku kuna nafasi kubwa ya urais tumieni hiyo fursa kutimiza ndoto zenu.Nawatakia kila la kheri ktk kupigania DEMOKRASIA ya kweli
Katika hiyo list muondoe Lowasa, yeye alisema maneno mawili tu, 'nimerudi nyumbani'.
 
Kwa uchache tu Mwambe,Sumaye na wengine mliotuaminisha kwamba mnahama CHADEMA kwenda CCM kwa sababu mnatafuta DEMOKRASIA na DEMOKRASIA hiyo haipo CHADEMA ipo CCM ,mimi nawakumbusha tu sasa ni wakati wenu wakuchukua fomu ya kugombea urais kupitia CCM wakati ndiyo huo msisubiri muda unayoyoma.Mwambe na Sumaye kule CHADEMA mlikuwa mnagombea nafasi za chini Uenyekiti wa chama ngazi ya Kanda na Taifa mkashindwa hatimaye mkatimka.Sasa huku kuna nafasi kubwa ya urais tumieni hiyo fursa kutimiza ndoto zenu.Nawatakia kila la kheri ktk kupigania DEMOKRASIA ya kweli
Mavi ya mbuziii.....!!
 
Wamekwambia wanautaka urais? Kwani wagombea wa Chadema huwataki?
 
Unalazimisha wewe kama nani?
Katika hiyo list muondoe Lowasa, yeye alisema maneno mawili tu, 'nimerudi nyumbani'.
Mavi ya mbuziii.....!!
Wamekwambia wanautaka urais? Kwani wagombea wa Chadema huwataki?
Hayo ungeyafanya wakati wako CDM, kwa Sasa waachie Wana CCM.
Ndugu Administer unaona hii misukule ya ccm ilivyo migumu kuelewa jambo? Mingi inatoka gamboshi za kanda ya ziwa.
 
Back
Top Bottom