CCM wamrarua Benard Membe"Tutakuchapa Mapema"

CCM wamrarua Benard Membe"Tutakuchapa Mapema"

Membe anadai ana haki kikatiba kugombea na sio swala la utamaduni wa Chama, ila hakukumbuka haki za wenzake kikatiba alipokuwa akiwashawishi wasimpinge Kikwete.
Katiba ya chichiemu inasemaje?kama yeye hakutoka enzi za kikwete je wewe ulitoka?
 
Kwa hiyo wakiweka jiwe linaweza kulishinda jiwe
Kweli mwisho wa ubaya ni aibu
Tanganyika hakuna demokrasia kama Zanzibar ambapo wameruhusu watu wengi kuchukua form, kwa hali ilivyokuwa CCM hata wakiruhusu Le mutuz na cyprian Musiba wachumue form wajumbe wa NEC kamati kuu mkutano mkuu wote wanaweza hata kumchagua Le mutuz au cyprian Musiba na kuishangaza Duniani yote
 
Wapo wana CCM kibao wanautaka Urais mpaka mwigulu Nchemba bado anauwazia Urais, akina Rose Balozi wa Tanzania huko UK, January makamba, membe, Livingston Lusinde, Msukuma hata Naibu Rais ndugu Daud Bashite na yeye anautamani Urais kwa udi na uvumba, wana CCM wengi wanatamani kuchukua form lakini wameogopa kunusa huko makao makuu ya CCM
 
Jiwe anapendwa sana ila anaogopa watu wasichukue form hahahaa imechapishwa moja tu bora wamlete hata mzugaji kama alivyoletwa SHIBUDA 2010.
 
Hakyanani hata mzee tupatupa wa lumumba akiruhusiwa kuchukua form anamshinda jpm.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ina maana CCM wanaogopa hata kuandaa mamluki azuge kama vile anashindana na JPM?

Wanaogopa hata mamluki anaweza kumshinda mzee kwenye mkutano mkuu!
Tumefikia sehemu rais anasema atawakata watu kugombea ubunge kwa jinsi atakavyojisikia kaamka siku hiyo.

Yani hata JK alimuachia John Shibuda azuge zuge kama anawania urais ndani ya CCM.

Huyu jamaa wa sasa inaonekana anaogopa hata kivuli chake mwenyewe.
 

30 August 2018

12 Mnatafuta Urais Zanzibar! Katibu Mkuu Wa CCM, Dkt Bashiru Ally

Amesema Anawajua Wanasiasa na Baadhi ya wanachama Wa CCM Zanzibar Wanaozunguka Zunguka Kabla Ya Muda Kuwania Kiti Cha Urais Wa Zanzibar. Hii ina maana kuna vyama zaidi ya 10 ndani ya CCM Mpya anaainisha Katibu Mkuu Bashiru Ally.
Source : Global TV online
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Ina maana CCM wanaogopa hata kuandaa mamluki azuge kama vile anashindana na JPM?

Wanaogopa hata mamluki anaweza kumshinda mzee kwenye mkutano mkuu!
Hebu nikumbushe 2010 JK lapambana na nani ndani ya ccm kwenye kura za maoni?
 
Back
Top Bottom