ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. nditolo

    JamiiForums Tanzania Hongereni CCM kwa uchaguzi wenu, watu wana hasira

    Hasira za watu ziko hapa:- 1. Chama chenu kimetawala kutoka uhuru. Hivi mnaposema mmefanya maendeleo mnalinganisha na nani au chama kipi? Ninyi ni mapimbi lazima uwe na variable utonyeshe ni kwa ulinganifu upi utaonyesha kuwa kuna juhudi. Kinachowasaidia ni ajira za waliofeli kuingia idara ya...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Politics is a game of dynamics, Urais, Ubunge, Udiwani turufu ni CCM na TLP Tu, Siasa za Itikadi Tanzania hazipo tena! kikubwa mkono uende kinywani tu

    Wanasiasa hasa Wa Upinzani naomba mpitie huu Uzi kwa makini sana, MADA :"Politics is a game of dynamics,Urais,Ubunge,Udiwani turufu ni CCM na TLP Tu,Siasa za Itikadi Tanzania hazipo tena! kikubwa mkono uende kinywani tu" Jana nimefuatalia kwa kina Mkutano Mkuu Maalum Wa CCM uliofabyika Jijini...
  3. K

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ongezeko la watia nia CCM 2020 mfano jimbo la Rorya

    Kipindi kinachohusu somo hilo hapo juu kinarushwa muda huu na katika mahojiano yao wametoa mfano wa Jimbo la Rorya kuwa na Watia nia zaidi ya 60. Mimi nijikite kwenye ongezeko la watia nia katika Jimbo la Rorya. Jimbo la Rorya Mbunge wetu ni Lameck Airo kwa kifupi Lakairo. Nitatoa sababu...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Kuhamasisha watu wavae Barakoa kujikinga na Corona wakati wewe huvai si sahihi

    Dalili mojawapo ya binadamu mpumbavu ni pale anapokuwa anafanya matendo kinyume na uhalisia wake akiwa na hofu dhidi ya mtu mwingine au kujipendekeza kwa Mtawala wake. Nimetumia neno mpumbavu na sio mjinga kwani mjinga ni yule mtu asiye na uelewa juu ya jambo fulani lakini akieleweshwa...
  5. J

    JamiiForums Tanzania John John Mnyika kwanini hajashiriki mkutano mkuu wa chama Tawala yaani CCM?

    Najua mwenyekiti Mbowe bado ni mgonjwa na makamu wake Tundu Lisu yuko nje ya nch lakini Katibu mkuu Mnyika yupo pale jimboni Kibamba. Ninachojiuliza kwanini Mnyika hakuhudhuria mkutano mkuu wa CCM ilhali vyama vyote vya siasa vilipewa mwaliko? Maendeleo hayana vyama
  6. Chief Kabikula

    JamiiForums Tanzania Nini kinawaliza Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM?

  7. jitombashisho

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli aliiweza CCM baada ya kupunguzwa idadi ya Wajumbe wa Halmashauli Kuu

    Kwa wajanja tulielewa wazi kwamba baada tu ya idadi ya Wajumbe wa Halmashauli Kuu kupunguzwa na ilikuwa mwisho wa misuguano na mbwembwe za matabaka ndani ya CCM. Rais Magufuli alicheza kete ya turufu hasa kwa wazo lile kulitekeleza na yampasa amshukuru sana aliye mpa lile wazo! Kwa idadi ile...
  8. G Sam

    JamiiForums Tanzania Ni sahihi kabisa kusema kuwa CCM ya sasa ni "CCM ya Magufuli"

    Hatimaye Magufuli amefanikiwa kuiweka CCM mfukoni mwake, tena mfuko wa shati huku akiibeba na kutembea nayo kwa bashasha na makeke mwake. CCM ya sasa inaulizwa kilichopendekezwa na mwenyekiti tena kwa maneno "Si ndivyo jamani?" Kuwarahisishia wapwa na wakulungwa waliojazana humo kwa lengo la...
  9. V

    JamiiForums Tanzania Wasanii ni njaa imetawala au mnalazimishwa kumuimba Rais Magufuli na CCM

    Kuelekea Uchaguzi Mkuu naona imekuwa fashion kwa wasanii kila mmoja anatoa nyimbo za kumsifu Magufuli na CCM. Hii si bure lazima kuna kitu kinaendelea nyuma ya pazia. Inawezekana kabisa njaa imetawala kwa wanamuziki labda kutokana na janga la Covid-19 lililotukumba hapo nyuma. Au wanamuziki...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Polepole: Magereza ni wazalishaji na tuliwaunga mkono ili wapandishe bendera za CCM mitaani na risiti ya malipo tunayo

    Mwenezi wa CCM komredi Polepole amelitolea ufafanuzi tukio la wafungwa kupandisha bendera za CCM huko Dodoma. Polepole amesema kama ilivyo kwa JKT na JWTZ hata jeshi la magereza linafanya uzalishaji na CCM iliamua kuwaunga mkono kwa kununua Huduma ya nguvu kazi na risiti ya malipo ipo...
  11. Wacha1

    JamiiForums Tanzania CCM Wameonyesha Demokrasia

    Uchaguzi ndani ya CCM leo hii umeonyesha jinsi chama hicho kikongwe kilivyo bora katika kufanya shughuli zake pale walipomchagua mgombea wa Urais wa Zanzibar Dodoma leo hii. Mwniyi ndiye atakiwakilisha chama chake mwaka huu. Je, vyama vya upinzani wanaweza kujifunza lolote? Je, CCM walipanga...
  12. G Sam

    JamiiForums Tanzania GE2020 Manyerere Jackton hatimaye avaa jezi ya CCM na kutangaza nia Butiama

    Jamaa huyo hapo baada ya kujikomba kwa mkuu hatimaye amevaa jezi kabisa. Anaenda kuomba ubunge huko Butiama.
  13. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mkutano wa Halmashauri Kuu ya CCM: Dkt. Hussein Ally Mwinyi achaguliwa Kugombea Urais Zanzibar kupitia CCM. Membe afukuzwa rasmi

    UPDATES 13:15hrs: Matokeo ya Kura za ya wanachama watatu waliokuwa wakiomba ridhaa ya kuwania urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CCM. 1. Dkt Hussein Ali Hassan Mwinyi -kura 129 (78.65%) 2. Dkt Khalid Salim Mohamed -kura 19 (11.58%) 3. Shamsi Vuai Nahodha -kura 16 (9.75%). Zanzibar 2020 - Wasifu...
  14. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania GE2020 TAKUKURU walitishwa na CCM kuwajibishwa endapo hawatawachukulia hatua watia nia wanaojihusisha na vitendo vya rushwa

    Wakuu kama mnavyojua kuwa watia nia wengi majimboni wamekuwa wakikumbana na rungu la Takukuru kwa tuhuma za kutoa rushwa ili kuweka mazingira ya kupitishwa kuwania nafasi mbalimbali za uongozi kuelekea uchaguzi mkuu 2020. Pia soma> Uchaguzi 2020 - Polepole: Watia nia wanaotoa rushwa kote...
  15. F

    JamiiForums Tanzania GE2020 Huu u-chifu Zanzibar unakubalika?

    Naona huko Zanzibar mnaleta mambo ya ki-chifu. Abeid Amani Karume-Rais wa Kwanza Zanzibar Aman Abeid Karume- Rais Mstaafu Zanzibar Ali Hassan Mwinyi -Rais Mstaafu Zanzibar na Tanzania Hussein Mwinyi -Mgombea urais 2020 Ali Karume -Mgombea urais 2020 Hii yote ni himaya ya CCM, ndugu Watanzania...
  16. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Mzee Shomari: CCM ni taasisi ambayo imejidhatiti kidemokrasia, haitawezekana kwa wapinzani kuwaondoa madarakani

    Ili chama kiwe imara lazima kiwe na demokrasia ya ndani na hata kikikamata dola lazima kitatawala kwa demokrasia. Hivi ndivyo alivyosema Mzee Shomari. Anasema CCM ni chama cha mfano wa kuigwa hapa Afrika hasa kwa namna kinavyoendesha michakato yake ya kupitisha majina ya wagombea. Maana kura...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Tathmini fupi mara Baada ya uteuzi wa Dkt Hussein Mwinyi huko NEC ya CCM

    Wafuatiliaji wetu walioko Zanzibar wametuletea tathmini hii fupi mara baada ya NEC ya CCM kumteua Dkt Hussein Mwinyi. Kwanza baadhi ya wana CCM wamenuna wakilalamika kwamba wazanzibari hawana tena chaguo lao kwenye CCM, isipokuwa Upande wa Bara ndio unamuweka Mtu mwenye Maslahi yao. Kuingizwa...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Abdulrahman Kinana asamehewa, Bernard Membe afukuzwa rasmi CCM

    Halmashauri kuu ya CCM imemsamehe Katibu mkuu mstaafu kanali Kinana ambaye alipewa onyo kali na kuwekwa katika matazamio. Halmashauri kuu pia imemfukuza kabisa yule mwingine ( Membe) ambaye hakufanya juhudi yoyote ya kuomba msamaha. Membe alirudisha kadi yake CCM badala ya kutubu. Maendeleo...
  19. jmushi1

    JamiiForums Tanzania Unyonge isiwe sababu ya kuwanyima watanzania haki zao! Unyonge wenyewe, umesababishwa na mafisadi wa CCM!

    Wanajamvi, Ni kweli kabisa, uchumi wa kati matokeo yake yangeonekana kwa watu mtaani. Hata WB kauli yao ingekuwa ya ziada tuu... Kama tungepewa mpango wa Taifa na ukawa unafuatwa, bila ya kujali ni chama gani kipo madarakani, basi wananchi tusingekuwa na shida. Lakini nadhani ccm wanaamini...
  20. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Manyovu, Albert Obama akamatwa na TAKUKURU kwa kugawa Rushwa

    DG, Ninapenda kukujulisha kwamba katika ufuatiliaji wa vitendo vya rushwa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2020, leo TAKUKURU(M) Kigoma katika jimbo la uchaguzi la Buhigwe tumekamata Tsh. 210,000/= zilizokuwa zimeshagawiwa Tsh. 10,000/= kwa kila mjumbe kwa wajumbe 21 kutoka kata ya Mnanila jimboni humo...
Back
Top Bottom