Polepole: Magereza ni wazalishaji na tuliwaunga mkono ili wapandishe bendera za CCM mitaani na risiti ya malipo tunayo

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
82,754
139,560
Mwenezi wa CCM komredi Polepole amelitolea ufafanuzi tukio la wafungwa kupandisha bendera za CCM huko Dodoma.

Polepole amesema kama ilivyo kwa JKT na JWTZ hata jeshi la magereza linafanya uzalishaji na CCM iliamua kuwaunga mkono kwa kununua Huduma ya nguvu kazi na risiti ya malipo ipo.

Polepole amesema hata Ofisi za CCM makao makuu zinalindwa na Suma JKT ambayo ni taasisi ya jeshi na hii yote ni katika kuziunga mkono taasisi hizi.

Polepole alikuwa akihojiwa na mtangazaji wa ITV Fahmi Midle

Source: ITV Kumekucha
 
leo unamkia niwakati wako! siku zinakuja hutakuwa namkia tena! hata huyo aliyekuweka hapo hatakuwepo. naomba mungu anipe maisha marefu nione unavyotaabika.
 
Ivi ni kweli alishawai sema uchaguzi ukiwa wa huru na haki ccm ijiandae kukabizi ikulu ni kweli alisema hivi???
 
Ni sawa kabisa,
Hata hapa JF kuna wadau walisema hivyo hivyo kuwa ukiwalipa wanakufanyia Kazi
 
atuonyeshe kwanza risit ya manunuzi yake na wajumbe wenzie wa Tume ya Warioba.
mimi risit yangu hii hapa chini
Nyie mliimba Lowasa ni fisadi miaka zaidi ya 10, alipokuja kwenu tu mkampa nafasi ya kugombea urais. So wote ni wanafiki tu, Polepole na CDM yenu
 
Uongo uliotungwa na kukomaa...
Wafungwa kupandisha ilikuwa ni agizo na amri...CGP nae kwa vile amepewa Ulaji kutokea JWTZ akaona atoe fadhila kwa chama dola...huo uongo umeanza kutungwa katika mitandao na vijana wao wa CCM kuwa wamelipa wafungwa wafanye kazi....onesheni rist kama mango Mimi nahama Tz .
 
Hii hoja imejibu maswali mengi sana...
Mwenye uwezo wa kuwaunga mkono magereza wakapandisha mabendera kumbe ndo yule yule mwenye uwezo wa kuwaunga mkono polisi na wote wanaoshusha bendera na vipigo kwa wenye mawazo mbadala!!
Short and very clear!!
Maofisini wanasema ukiwa mtumishi serikalini unatekeleza amri za wanaccm..!!
 
Kumbe kila gereza lina mashine ya efd au ni jeshi la magereza nchini kote lina mashine ya 1 efd?
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom