John John Mnyika kwanini hajashiriki mkutano mkuu wa chama Tawala yaani CCM?

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,793
141,688
Najua mwenyekiti Mbowe bado ni mgonjwa na makamu wake Tundu Lisu yuko nje ya nch lakini Katibu mkuu Mnyika yupo pale jimboni Kibamba.

Ninachojiuliza kwanini Mnyika hakuhudhuria mkutano mkuu wa CCM ilhali vyama vyote vya siasa vilipewa mwaliko?

Maendeleo hayana vyama
 
Hivi karibuni Chadema walifanya mkutano wao mkuu pale mlimani city, hakuhudhuria mwenyekiti wa CCM ndugu Magufuli wala katibu mkuu wa CCM ndugu Bashiru Ali ili haliwote walikua hapa nchini nawazima wa afya. Iweje ushangae kwa nini Mnyika hajahudhuri mkutano wa CCM?
 
Magufuli au Bashiru walihudhuria mkutano wa cdm? Vyama vinavyohita fadhila ya ccm ndio vimehudhuria. Kama una uhakika na watu kwenye uga wa kisiasa, huhitaji kujipendekeza kwa ccm.
 
Najua mwenyekiti Mbowe bado ni mgonjwa na makamu wake Tundu Lisu yuko nje ya nch lakini Katibu mkuu Mnyika yupo pale jimboni Kibamba.

Ninachojiuliza kwanini Mnyika hakuhudhuria mkutano mkuu wa CCM ilhali vyama vyote vya siasa vilipewa mwaliko?

Maendeleo hayana vyama!
Umeona jibu lako hapo chini bwana mbatizaji?

Back
Top Bottom