ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. Determinantor

    JamiiForums Tanzania GE2020 Baada ya kuishiwa pumzi, CCM wawaita Wanawake ni Malaya

    Kama kuna mambo yanakera na kuumiza ni kumuita mwanamke Malaya! Ndugu zetu wa CCM baada ya kuzidiwa points wameamua kuhamia kwenye matusi. Huyu ni Mwakilishi wa CCM ngazi ya Wilaya huko Tarime akimuita Esther Matiko kama Malaya, kwakua huyu ni Mwenyekiti wa CCM Wilaya tunaamini anachoongea ndio...
  2. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kipindi cha Ajenda 2020 StarTv, Alloyce Nyanda anatumika na CCM au anajikombakomba?

    Wapendwa kuna hiki kipindi kinaitwa Ajenda 2020 kinachorushwa kila Jumatatu saa tatu na nusu usiku Startv. Naona mtangazaji wake aitwaye Alloyce Nyanda anatumika na ccm au yeye mwenyewe anajipendekeza CCM. Nimekuwa nikimfuatilia kwa kiasi kipindi chake hiki. Nilichokigundua ni kwamba amekuwa...
  3. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 David Kafulila amjibu Tundu Lissu

    Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Kigoma Kusini kwasasa Jimbo la Uvinza amejibu hoja zilizotolewa jana na Mgombea kiti cha Urais wa JM !- LISSU APANGULIWA HOJA 7 KWA MIKWAJU 7 YA TAKWIMU NA KAFULILA! NIMEONA MATOBO 7 HOJA ZA LISSU! Na David KAFULILA, Agosti31, 2020. Kwanza nashukuru sasa kuona...
  4. Sauti ya Umma

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mzee wa kutokomeza Mwakasaka Donard atia timu jimbo la Ubungo

    HABARI, Tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC mapema tarehe 25 Agosti 2020 ilimteua Ndugu MWAKASAKA BOAZ DONARD kuwa mgombea ubunge Jimbo la Ubungo kupitia Chama Cha Sauti ya Umma (SAU). Mwakasaka ni mtaalamu wa masuala ya Uchumi na Maendeleo ya kijamii ameahidi kutokomeza yote yaliyoshindikana katika...
  5. Jelavic

    JamiiForums Tanzania GE2020 CCM imetekeleza ilani yake kwa 31% tu, mambo mengi ni nje ya ilani. Je, Rais Magufuli alitumwa na nani?

    Leo katika uzidunzi wa ilani ya ACT-Wazalendo nimemsikia Zitto akitaja mambo zaidi ya kumi ambayo CCM waliahidi kwenye ilani yao na hawakutekeleza hata kidogo, na sio tu kutekeleza bali hata kuanza japo kwa hatua za awali hawakufanya. Nimekua najiuliza huku kusifusifu kulikovuka mipaka...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Maajabu ya CCM kutaka amani bila haki

    Mabibi na mabwana heshima kwenu na moja kwa moja kwenye mada. Nimefuatilia kauli takribani zote kuhusiana na uchaguzi mkuu zinazotokea katika chama hii kubwa. Si katika uzinduzi wa kampeni si katika walioongea katika kampeni au popote kuhusiana na uchaguzi 2020. Hakuna wanaposema neno 'haki'...
  7. Return Of Undertaker

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tume ya uchaguzi na CCM wainajisi katiba, Deo Mwanyika hastahili kuteuliwa wala kugombea ubunge kwa sababu ya kesi ya kukwepa kodi

    Tuweke rekodi sawa, Deo Mwanyika alihukumiwa kwa kukwepa kodi. Michango ya NSSF ya Deogratius Mwanyika, aliyekuwa Rais wa migodi ya Pangea, North Mara Exploration na Bulyanhulu, imelazimika kulipa sehemu ya fidia ya makubaliano maalum kwa Serikali baada ya kukiri kufanya makosa. Fedha kiasi...
  8. S

    JamiiForums Tanzania CCM ni 'mmekwiba' treni; ndege madaraja na mengineyo vilikuwepo wakati wa TANU

    Hivyo hamna jipya la kuwadanganya wananchi, hela mnayoiba ni nyingi kuliko gharama za majenzi mnayofanya, ambazo hela zake zinatokana na wananchi. TANU ilituwachia vitu vyote mlipobadili gear na kujiita CCM mkameza kila kitu,hivi CCM hamkuikuta Tanzania ikiwa na ndege zake, ikiwa na treni zake...
  9. Prof Koboko

    JamiiForums Tanzania GE2020 Jaribio la kwanza la CCM kwa Upinzani kupima uvumilivu wao

    Jaribio la kwanza ni kuwaengua wapinzani kwa visingizio vya mapingamizi yasiyokuwa mbele wala mkia ili kujihakikishia Idadi ya wabunge wanaosubiri kuapishwa baada ya Uchaguzi hapo October. Hiii hujuma wapinzani wanapimwa wanaweza kufanya nini ikiwa watafanyiwa hivyo. Jaribio la pili ni...
  10. Mzalendo Uchwara

    JamiiForums Tanzania GE2020 Vyama vya upinzani vijifunze ujazaji fomu kwa wagombea wao kutoka CCM

    Najua ni ujinga na upuuzi kwa NEC kuwaengua wagombea wa vyama vya upinzani kwa makosa madogo madogo katika ujazaji wa form. Lakini pamoja na hilo, vyama vyote vya upinzani vinalo la kujifunza hapa. Unaweza kujiuliza, mbona wagombea wengi wa CCM form zao hazina matatizo? Iko hivi; - Baada tu ya...
  11. Subira the princess

    JamiiForums Tanzania Tafakuri: Je, wasanii Watanzania wanaipenda CCM au ni njaa inawasumbua?

    Wasalaam, Kuna mambo mengine yanahitaji kufikiri kwa upana hasa kipindi hiki tunapoelelea katika uchaguzi mkuu wa Rais, wabunge na madiwani. Nimefatilia uzinduzi wa kampeni za CCM pale uwanja wa Jamhuri Dodoma, nimeangalia nyuso za wasanii waliotumbuiza katika tamasha lile la CCM na kuona wengi...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Hii nguvu ya Umma waliyonayo wapinzani imetokana na upinzani au inaletwa na CCM?

    Uwezi kuwa chama tawala ukashindwa kutawala kwa nguvu ya umma na nguvu ya hoja. Zipo nguvu tatu muhimu na za msingi katika utawala wa kisiasa ambazo ni 1. Nguvu ya umma- Hii utokana na namna mwanasiasa anavyokubalika na makundi mbalimbali ya jamii anayotaka kuiongoza. Nguvu ya umma udhihirika...
  13. Mystery

    JamiiForums Tanzania GE2020 Hebu tutafakari sera zinavyonadiwa na mgombea wa CCM John Magufuli na yule wa CHADEMA Tundu Lissu

    Hakuna mashaka yoyote kuwa katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu, mchuano mkali sana wa kinyang'anyiro hicho cha urais utakuwa baina ya vyama viwili ambavyo ni CCM na CHADEMA. Kwa maana hiyo ni lazima sisi wananchi tufuatilie kwa makini sana, kwa wagombea wa Urais wa vyama hivyo viwili vikuu, pale...
  14. Kawe Alumni

    JamiiForums Tanzania Hofu ya Upinzani ni CCM kuwa imara tena chini ya Mzalendo Mwenyekiti Magufuli

    Hizi hasira za upinzani za kuhisi wanaonewa ni hofu inayowaumiza kisaikolojia juu ya kupuuzwa na Watanzania Kabla ya Rais Magufuli,Wanaccm walikuwa wanaona aibu kuvaa nguo za chama,na kuna Sehemu walikuwa wakitupiwa makopo wakikatiza mtaani Wanaccm walificha sare zao ndani kutokana na masuala...
  15. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania GE2020 John Pambalu ni nani, ametumia mbinu gani kuua CCM Mwanza?

    Huyu kijana ni kama amemaliza kazi ya kuiteketeza CCM Mwanza lakini amepata wapi uwezo huu?
  16. T

    JamiiForums Tanzania GE2020 Naombeni tuchangie kampeni za CHADEMA kwa sababu tumeshachangia za CCM kupitia kodi zetu

    Nawaombeni wananchi wote wapenda HAKI tujitoe kuchangia walau kuanzia sh.500 ili kufanikisha kampeni za CHADEMA. Nawaombeni msishangae kwa hilo kwa sababu tayari fedha zote za kampeni za CCM ni michango yetu sisi wananchi kupitia kodi zetu. CHADEMA wana sera nzuri sana kama tulivyozisikia hapo...
  17. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 Huku ni kupuuza vilio na malalamiko ya watanzania. Nini anataka huyu mgombea urais wa CCM?

    Watanzania wanataka ;- Hali bora za maisha. Ajira Biashara zao zifufuke na kukua Mzunguko wa fedha uwe mzuri Uhuru na haki vitamalaki. Sasa huyu mgombea pamoja na kwamba watanzania wanapiga kelele kuwa madege aliyo yanunua kwa fedha taslimu yanatufilisi na hayafanyi biashara yoyote bado...
  18. C

    JamiiForums Tanzania GE2020 CHADEMA inahitaji kuwezeshwa kifedha maana tofauti na CCM inayotumia rasilimali za Serikali kufanya kampeni haina pa kushika

    Nimeona wachache wakibeza CHADEMA kuchangisha fedha kwenye mikutano yake ya kampeni sidhani ikiwa wako makini. Ila ukweli ni kwamba watu wote wanaopenda mabadiliko ya kweli ambayo kwa hakika kwa kipindi hiki anayeweza kuyaleta ni Tundu Lissu pekee. Wala siyo Magufuli kwa maana tumekwisha muona...
  19. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ahadi za mgombea wa urais CCM nyingine ni za majukwaani tu. Watanzania muwe makini

    Mnaikumbuka ahadi hii ya 2015???
  20. CUF Habari

    JamiiForums Tanzania GE2020 CUF - Chama cha Wananchi: Uzinduzi mkubwa wa kuchangia CUF, kuchangia ushindi kufanyika kesho Jumamosi ofisi kuu ya chama Buguruni

    Hakiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii Cuf-chama cha wananchi Usilalamike, chukua hatua. Changia CUF, changia ushindi Uzinduzi wa michango ya wananchi kwa chama chao utafanyika jumamosi ya tarehe 29/08/2020 ofisi kuu buguruni kuanzia saa 4.00 asubuhi Mgeni rasmi: mgombea urais wa tanzania Prof...
Back
Top Bottom