Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
Kichwa cha habari chahusika.
Hii ni mada maalumu ya kumtaka mgombea wetu wa CCM kufanya mdahalo na wagombea wenzie ili kupima uzito wa sera zao.
Hii itatupa fursa ya kuuliza maswali magumu na mepesi kuhusu sera zao. Katika mikutano ya hadhara hakuna fursa ya kuhoji.
Hili sio ombi ni lazima...
Pombe Magufuli nakushauri usisahau kuwaeleza wananchi kuwa Tanzania ya viwanda kama umeifanikisha, maana 2015 ulipigiwa kura na watu wengi kwa namna ulivyonadi sera zako, hasa iliyonivutia mimi mpaka nikakupa kura ni Tanzania kuigeuza nchi ya viwanda.
Sasa hivi sisikii ukinadi umeifanikisha...
Turn and watch now.
Mgombea Urais wa Chadema Ndugu Tundu Lissu alipata fursa ya kuhojiwa na Mwandishi wa habari Bi. Farhia Middle katika kipindi cha dakika 45 kinachofanywa na kituo cha televisheni cha ITV ambapo aliongea mambo yafuatayo:
Mwandishi wa Habari: Kwanini unataka kuchguliwa kuwa...
Wasalaamu wanaJF tunaposema tufanye siasa za kistarabu na siasa za kweli tunamaanisha.
Ni jambo baya sana kuona baadhi ya wanasiasa wanabakia katika mirengo ile ile ya siasa za ulaghai za miaka iliyopita wakati tupo kwenye nyakati za teknolojia.
Mimi ni mdau mkubwa sana unapogusia suala la...
Hii inaitwa 60 years of incompetence, inefficiency and failure of CCM.
Leo hii miaka 60 bado chama cha mapinduzi kinategemea wanyonge, watu masikini na wasiojielewa, wajinga. Miaka 60 chama kinajinasibu kua ni chama cha wanyonge, kinatetea wanyonge unajiuliza hao wanyonge walitengenezwa na...
Charisma - compelling attractiveness or charm that can inspire devotion in others.
Kwa tafsiri ya kiswahili, Charisma ni ule mvuto mtu anaokuwa nao mpaka unatamani kama anaongea aendelee kuongea.
Katika siasa Charisma ni kitu cha umuhimu sana, kama huna Charisma, huwezi kuvutia watu...
Kuna Watu naona wamehoji sana 'posts' zangu nyingi za Kuanzia Jumamosi iliyopita tu hapa Jamvini ( JamiiForums ) huku wakisema kuwa imekuwaje GENTAMYCINE 'nimebadilika' ghafla. Natoa Jibu la jumla jumla kwani huenda wengi wenu ni Wageni Kwangu. Kuanzia sasa hadi Uchaguzi Mkuu nipo 'Kikampeni'...
Mhe Rais wetu, na viongozi wote wa serikali yako, sisi kama vijana tunayemtazama. Paul Makonda kama chachu ya uongozi katika mioyo ya vijana, tunakuja mbele yako kwa unyeyekevu mkubwa kuomba msamaha wa yale yote aliyoyafanya kinyume na matakwa yako na serikali yako kwa ujumla.
Tunaamini yapo...
Leo kishindo cha awamu ya tano kitakuwepo uwanja wa Sabasaba Kambarage ambapo mgombea wa CCM, Dkt. John Pombe Mafufuli atakuwa jukwaani kunadi sera zake.
Dkt. Magufuli: Miaka 5 haitoshi, nipimeni kwa miaka 10
MGOMBEA Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM)...
Mvomero sio Wilaya kongwe,na kwa hiyo kimaendeleo iko nyuma sana.Wilaya hii ina matatizo mengi, ya msingi yakiwa upatikanaji wa maji,migogoro ya wakulima na wafugaji ambayo imedumu kwa miaka mingi sasa.Awamu zote zinaonekana kushindwa kabisa kutatua tatizo hili,sababu kubwa ikiwa viongozi kuwa...
Kumbukumbu zangu zinanionyesha kuwa 2015 Lowassa alipunguza kura za CCM na hivyo CHADEMA kufaidika.
Mwaka huu ACT wazalendo ina mgombea urais mwenye nguvu zaidi ya yule wa 2015 naye akitokea CCM mh Bernad Membe.
Tunajua kwa rekodi ya 2015 CCM tayari ina mtaji wa kura zaidi ya milioni 8 na...
Huyu mgombea wa ubunge Jimbo la Muheza kwa tiketi ya Chadema akirejeshwa na Tume na naamini atarejeshwa, basi kuna wana CCM nyeti zitaonekana waziwazi.
Huyu Mwana FA ni mweupe mpaka anatia huruma, hapa ndipo ninapowaza Magufuli alitumia vigezo vipi kuwapitisha hawa utopolo. Ila na yeye si...
Katika maandiko ya Biblia takatifu katika kitabu cha Mithali 14:34 kinasema hivi "Haki huinua Taifa, Bali dhambi ni aibu ya watu wote" mwisho wa kunukuu.
Kutokana na maandiko hayo na sera hiyo kuu ya CCM, wao wanafanya "vice versa" ya sera hiyo.
Kwa kuwa haiwezekani kwa chama kinachodai kuwa...
1. Ina Watu wengi wenye mvuto.
Hapa Unaweza kuona ambayo mtu kama Mwana FA anaweza kukusanya watu sawa na anaokusanya Lissu kwenye miji mikubwa. Sijui kama Salum Mwalimu atembee bila Lissu kama atapata watu tofauti na mtu kama Majaliwa, Mama Samia. Nk
Hizi kampeni za CHADEMA viongozi wote wako...
Unaweza kusikiliza video clip yote.
Lakini Chaurembo yuko kuanzia dk 10:44.
CCM watafute watu wa kuzima hoja za Chaurembo.
Wakichelewa watajikuta wamefutika mikoa ya kusini.
Amani iwe nanyi wana Tanzania!
Moderators naomba msiunganishe wala kufuta huu uzi! Maana ni wa kipekee
Leo nimemsikia Jaji Mkuu akiongea na majaji na mahakimu huko Morogoro. Kilichonishangaza ni maneno aliyosema Eti wajaji na Mahakimu hasa kwenye kutoa haki wawe makini ili mahakama isionekane...
CHAMA CHA MAPINDUZI
MUHTASARI WA ILANI YA UCHAGUZI MKUU WA MWAKA 2020
Imetolewa na Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM Agosti, 2020
CHAMA CHA MAPINDUZI
MUHTASARI WA ILANI YA UCHAGUZI WA MWAKA 2020-2025
UTANGULIZI
1. Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, chini ya uongozi wa vyama vya TANU na ASP na...
Katibu wa CCM wilaya ya Tabora mjini ndugu Mrema amemtaka mkuu wa wilaya hiyo mh Komanya kuacha mara moja tabia ya kuwavamia wajasiriamali akiwa na polisi na kuwataka wanunue vitambulisho kwa lazima.
Mrema amesema wamempa onyo DC Komanys kwa sababu kila wakimwita kwenye vikao anapiga chenga...
Leo tuwapumzishe TBC kidogo. Nimekua nikifuatilia mwenendo wa magazeti ya serikali na nimesikitishwa na upendeleo wa wazi unaofanywa. Kwa msiojua kisheria, Mhariri mkuu (chief editor) wa magazeti ya serikali ni Rais wa Tanzania. Kwa hili, hutakiwi kushangaa kuona habari za kusifu serikali kila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.