ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Bwege na Chaurembo wanaisambaratisha na kuifuta CCM mikoa ya Kusini

    Unaweza kusikiliza video clip yote. Lakini Chaurembo yuko kuanzia dk 10:44. CCM watafute watu wa kuzima hoja za Chaurembo. Wakichelewa watajikuta wamefutika mikoa ya kusini.
  2. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Hii ndo sababu Mahakama kuonekana kichaka cha Wanasiasa hasa CCM

    Amani iwe nanyi wana Tanzania! Moderators naomba msiunganishe wala kufuta huu uzi! Maana ni wa kipekee Leo nimemsikia Jaji Mkuu akiongea na majaji na mahakimu huko Morogoro. Kilichonishangaza ni maneno aliyosema Eti wajaji na Mahakimu hasa kwenye kutoa haki wawe makini ili mahakama isionekane...
  3. C

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ilani ya Chama cha Mapinduzi (CCM) 2020-2025

    CHAMA CHA MAPINDUZI MUHTASARI WA ILANI YA UCHAGUZI MKUU WA MWAKA 2020 Imetolewa na Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM Agosti, 2020 CHAMA CHA MAPINDUZI MUHTASARI WA ILANI YA UCHAGUZI WA MWAKA 2020-2025 UTANGULIZI 1. Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, chini ya uongozi wa vyama vya TANU na ASP na...
  4. J

    JamiiForums Tanzania CCM Wilaya ya Tabora yampa onyo kali Komanya kwa kuwatishia wajasiliamali na askari ili wanunue vitambulisho!

    Katibu wa CCM wilaya ya Tabora mjini ndugu Mrema amemtaka mkuu wa wilaya hiyo mh Komanya kuacha mara moja tabia ya kuwavamia wajasiriamali akiwa na polisi na kuwataka wanunue vitambulisho kwa lazima. Mrema amesema wamempa onyo DC Komanys kwa sababu kila wakimwita kwenye vikao anapiga chenga...
  5. A

    JamiiForums Tanzania Habari Leo na Daily News ni magazeti binafsi ya CCM?

    Leo tuwapumzishe TBC kidogo. Nimekua nikifuatilia mwenendo wa magazeti ya serikali na nimesikitishwa na upendeleo wa wazi unaofanywa. Kwa msiojua kisheria, Mhariri mkuu (chief editor) wa magazeti ya serikali ni Rais wa Tanzania. Kwa hili, hutakiwi kushangaa kuona habari za kusifu serikali kila...
  6. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ya Mwenyekiti wa CCM Tarime kumuita mgombea mwanamke ni malaya, na ukimya wa Chama changu

    Kitendo cha Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Tarime kutumia lugha isiyo ya staha jukwaani kwa kumuita mgombea wa CHADEMA "mwanamke malaya" ni cha kidhalilishaji na hakipaswi kunyamaziwa pasipo kukemea. Tupo katika mchakato wa kampeni kwa ajili ya uchaguzi mkuu Oktoba mwaka huu na Tume imekuwa...
  7. Mwanamayu

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ni kama wagombea wengi wa Vyama mbali na CCM wameenguliwa na wote kupingwa kuliko mwaka 2015, tatizo ni nini hapa?

    Mwaka 2015, kwenye uteuzi wa wagombea udiwani na wabunge mambo yalikuwa kama ifuatavyo: 1. udiwani, rufaa zilikuwa 223, nyingi zikiwa za CCM (83) na Chadema (87). Hakuna mgombea wa udiwani wa CCM aliyekatwa, wakati wale wa vyama vingine waliokatwa walikuwa 11, na wengi wao (9) ni Chadema...
  8. ACT Wazalendo

    JamiiForums Tanzania GE2020 Uzinduzi wa Ilani ya ACT–Wazalendo, Kutoa Ajira mpya milioni 10. Zitto asema CCM ilitekeleza 31% ya ilani ya mwaka 2015

    Leo Chama cha ACT–Wazalendo kinazindua Ilani yake ya mwaka 2020 katika Hoteli ya Protea Courtyard. Pamoja na mambo mengine Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ndugu Bernard Membe na Mgombea Mwenza, Ndugu Omar Fakih Hamad watakabidhiwa ilani hiyo. Tutawaletea kila kinachojiri hapa...
  9. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mgombea Urais CCM hafai. Ametunyima haki ya kufuatilia hoja za Wawakilishi wetu Bungeni (Bunge Live)

    Mgombea huyu wa ccm miaka 5 aliyotumikia ikulu inamtosha. Katika miaka 5 hiyo amefanya mambo mengi ya kibabe yanayoenda kinyume na matakwa ya wapiga kura wake. Moja kubwa ambalo lililalamikiwa sana na watanzania wote ni hili la bunge kutooneshwa live (mubashara). Baada ya kelele nyingi sana...
  10. A

    JamiiForums Tanzania CCM versus Opposition: Political Lessons to Learn

    Tanzanians will vote for president, members of Parliament and councilors later October this year. We have witnessed the opening of political campaigns for all partipating political parties. The rulling CCM has two tasks: selling their 2020/25 election manifesto and showing how the 2015/20...
  11. Mackanackyyy

    JamiiForums Tanzania Gerson Msigwa aache kiherehere, yeye si Msemaji wa CCM wala mgombea wao wa Urais

    Nadhani Gerson Msigwa ni mtendaji mwingine incompetent aliyejikuta yuko Ikulu ya Tanzania. Tumkumbushe kuwa yeye ni Mtumishi wa Umma si mwanasiasa, na wala si Msemaji wa CCM wakati wa Kampeni na wala siyo msemaji wa timu ya kampeni ya CCM, na wala si Mtangazaji wa TBCCM kama ilivyokuwa 2015...
  12. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Songwe: 16 Mahakamani tuhuma kuua kada wa CCM

    Watu 16 wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mfawidhi Mkoa wa Songwe juzi, wakikabiliwa na shtaka la mauaji ya anayedaiwa kuwa ni kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Briton Mollel. Mauaji hayo yalitokea baada ya kuzuka vurugu kati ya watu wanaodaiwa kuwa wafuasi wa CCM na Chama cha...
  13. Civilian Coin

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ushindi wa CCM Oktoba 2020 itakuwa ni fedheha kwa CHADEMA na ACT Wazalendo na upinzani wote

    USHINDI WA CCM OKTOBA 2020 ITAKUWA FEDHEHA KWA UPINZANI HASA CHADEMA NA ACT. Niliwaambia wapinzani waungane waunde Umoja utakaoitwa MUMAFI (MUUNGANO WA MABADILIKO YA FIKIRA) lakini wamekubali kugawana kura kiulani Sana, kwa ubishi huu wa kujifanya mnajua Sana kuliko watazamaji wanaojua Nini...
  14. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 Shiriki katika historia hii itakayoandikwa siku ya upigaji kura

    Si wananchi, si Polisi, si Wanajeshi si Vyombo vya Usalama si wafanyakazi serikalini,wote wameshaichoka CCM kwa jinsi inavyowahangaisha, njooni huku twendeni kule watu hawana raha na maisha wapo mbioni tu wakitakiwa kuilinda CCM, ambayo bila ya kuwatisha watu kwa barua za kuhudhuria mikutano na...
  15. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 CCM ipo katika 'Sakaratul Maut', tutawasikia wakisema mengi sana

    CHADEMA inawamaliza CCM na kuwaziba koo, CCM wameanza kupata tatizo la kupumua mbali ya kuwa safari zao za wagombea wao wamefungasha wasanii magoigoi waliojaa hofu ya kuiogopa CCM, Msiiogope CCM kwani mwisho wao ni mara tu baada ya kutangazwa matokeo ya uchaguzi ikiaminiwa bila ya chenga kuwa...
  16. C

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kutoka Lindi: Yaliyojiri uzinduzi wa Kampeni za Chama cha ACT-Wazalendo

    Kampeni zinaendelea na leo Chama cha ACT-Wazalendo wanazindua kampeni zao Lindi, wagombea wote kwa upande wa Jamhuri na Zanzibar wameshawasili uwanjani na kwa sasa kikundi cha burudani kutoka Lindi kinatoa burudani ya utangulizi. Tuwe pamoja kujuzana yatakayojiri. ===== Maalim Seif: Nasema...
  17. A

    JamiiForums Tanzania Je, Msajili Hazina anaihujumu CCM?

    Kama tunavyojua, mwaka huu ni mwaka wa Uchaguzi Mkuu na katika mchakato huo, Watanzania wote huwa na haki sawa ya kushiriki katika uchaguzi huo kwa kuchagua au kuomba kuchaguliwa katika nafasi mbalimbali zinazogombewa. Katika Uchaguzi wa mwaka huu, kumetokea kuvunjwa kwa rekodi ya kujitokeza...
  18. Replica

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ikungi: Magufuli amuahidi Lissu kazi, amuambia aachane na Urais ambao hatashinda

    Leo Magufuli aliweka kituo kidogo Ikungi wakati anatoka Dodoma ambapo wananchi walisimama barabarani kumsubiri akiwa anaelekea kwenye mkutano wa kampeni Singida. Pamoja na ahadi nyingine pomoni, pia amemuahidi mgombea mwenzake anaetokea Singida nafasi ndogo ya kazi kwa madai kwamba hii...
  19. Mackanackyyy

    JamiiForums Tanzania GE2020 Zitto: Ilani ya Uchaguzi ya CCM inafanana sana na Thesis ya PhD ya Mafuta ya Korosho

    Inawezekana Mwandishi ni mmoja..
  20. C

    JamiiForums Tanzania GE2020 Linapokuja suala la kuiondoa CCM madarakani, wakazi wa Jiji la Dar es Salaam ni kikwazo

    Leo nimeona niliamkie jiji Dar es Salaam. Linapokuja suala la kuleta mabadiliko ya kisiasa na kiuchumi majiji makuu ya nchi huwa ni kitovu kwa sababu huwa yana wakazi wengi walioelimika na kupata exposure ya kutosha tofauti na miji mingine katika nchi husika. Hali ni tofauti nchini Tanzania...
Back
Top Bottom