CCM wameanza kampeni Rasmi leo Uwanja wa Uhuru 15/08/2020

Shocker

JF-Expert Member
Sep 15, 2012
1,944
3,820
Ni vizuri kuelewa CCM wameanza kampeni zao leo katika uwanja wa uhuru kwa style ya mbwamwitu kujivalisha ngozi ya kondoo.

Baada ya kupata hisia kuwa uchaguzi wa mwaka huu wanapigwa na chini wameanza kukusanya wasanii ambao wameshawatisha na kuwaita kila kukicha kwa madai haya na yale,leo hii wasanii wamekuwa kama ng'ombe waliofungwa kamba ya pua ,hawana nguvu,ya kuzuia ,wala kukataa litakiwalo na CCM, wasanii wamejawa na uwoga,ila nina uhakika kura zao hawatazipeleka CCM.

Wasanii kama walivyo waTanzania walioamka ambao wamo ndani ya CCM kura zao hawataichagua CCM ,kitakachotumika ni ile msemo wa Pumbavu likipumbaa pumbaa nalo. Watashangiria watapokea hela na watakuwa pamoja na viongozi wa CCM hadi dakika ya mwisho dakika ya kuchagua na kutumbukiza kura hapo ndipo watakapoiacha mkono CCM, wakijua CCM haitorudi tena na kuwa watakuwepo huru,na ni hivyo hivyo kwa vyombo vingine vikiwemo vya habari. Yaani ni vyombo karibia vyote ,VYOMBO vyote ukivisoma vimeshachoka kufanya kazi na CCM.

Tunasema mara hii PUMBAVU LIKIPUMBAA PUMBAA NALO. Wadau shirikini kila kona ya CCM.

Chakubanga na Bushiri wakitoa hela unakula,wakitoa fulana unachukua,wakitoa kanga unachukua msiache kitu pumbaeni nao ,siri moyoni mwako siku ya siku unaiacha mkono huku unatabasamu na kumshuru Mungu ,halafu unahema kwa nguvu baada ya kuutua mzigo.
 
Waache waje sera hawana waache waje mtaani waje watuambia habari za kununua ndege tutawatoa nduki safari hii hatutaki ubwabwa kanga wala kofia kusombwa kama mizigo pia hatutaki tunakwenda kwa Tunduli lisu wenyewe bila kusombwa na mtu.
 
Hahahahaa nakucheki tu🧐🧐🧐
 
Wasanii Gan hao unao waongelea
emoji1787.png
emoji1787.png
emoji1787.png
emoji1787.png
. Hadema Bana haya
 
JPM mpumbavu sana, kama amejenga madaraja, meli, kununua madege makubwa ana hofu ya nini? Awaachie washindani wake uwanja sawa wafanye siasa, UHUNI na UHALIFU wa namna hii utalitumbukiza Taifa kwenye machafuko.
Kuliko baba yako?
 
Ni vizuri kuelewa CCM wameanza kampeni zao leo katika uwanja wa uhuru kwa style ya mbwamwitu kujivalisha ngozi ya kondoo.
Baada ya kupata hisia kuwa uchaguzi wa mwaka huu wanapigwa na chini wameanza kukusanya wasanii ambao wameshawatisha na kuwaita kila kukicha kwa madai haya na yale,leo hii wasanii wamekuwa kama ng'ombe waliofungwa kamba ya pua ,hawana nguvu,ya kuzuia ,wala kukataa litakiwalo na CCM, wasanii wamejawa na uwoga,ila nina uhakika kura zao hawatazipeleka CCM.
Wasanii kama walivyo waTanzania walioamka ambao wamo ndani ya CCM kura zao hawataichagua CCM ,kitakachotumika ni ile msemo wa Pumbavu likipumbaa pumbaa nalo.watashangiria watapokea hela na watakuwa pamoja na viongozi wa CCM hadi dakika ya mwisho dakika ya kuchagua na kutumbukiza kura hapo ndipo watakapoiacha mkono CCM,wakijua CCM haitorudi tena na kuwa watakuwepo huru,na ni hivyo hivyo kwa vyombo vingine vikiwemo vya habari. Yaani ni vyombo karibia vyote ,VYOMBO vyote ukivisoma vimeshachoka kufanya kazi na CCM.
Tunasema mara hii PUMBAVU LIKIPUMBAA PUMBAA NALO. Wadau shirikini kila kona ya CCM.
Chakubanga na Bushiri wakitoa hela unakula,wakitoa fulana unachukua,wakitoa kanga unachukua msiache kitu pumbaeni nao ,siri moyoni mwako siku ya siku unaiacha mkono huku unatabasamu na kumshuru Mungu ,halafu unahema kwa nguvu baada ya kuutua mzigo.
Lets wait jaji akisoma matokeo ya 98% Magu msiseme kura zimeibwa
 
Back
Top Bottom