Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
CCM wanamuogopa B. Membe? Kwanini kauli hii ya Katibu Mkuu?
Nimejiuliza kwanini asingeonywa badala yake wanamfukuza tena wanamtaka ombe radhi na kurudi?
"Milango wanachama waliofukuzwa kuomba radhi wakasamemeha iko wazi, mimi tangu nimefika nimeshasaini barua za misamaha ya waliofukuzwa 14...
Naibu Waziri wa TAMISEMI, Mh. Mwita Mwikwabe Waitara amesema hamuogopi mtu hata kama ana kitambi kama pipa, aliyasema hayo katika kikao na wajumbe wa CCM wilayani Tarime alipoendelea kusisitiza adhma yake ya kugombea ubunge wa Tarime Vijijini.
Alienda mbali na kusema hao wanaompinga yeye...
Baada ya kuvujishwa sehemu ya maongezi ya Bernard Membe na Katibu katika kijiji Rondo kata ya Chiponda katika mkoa wa Lindi akijidai na kumwambia, ‘’tunagonja sijui watatufukuzwa, mbona hawatugusi? Wapendekeze watufukuze waone moto wake’’ na kumaliza maongezi kwa kusema ‘’tuna vita kati ya...
Kati ya wajumbe wote wa kamati kuu ni watu watatu tu pamoja na msemaji wao ndiyo waliounga mkono Membe kufukuzwa. Hata aliyeongoza Tume ya Maadili, yaani Mzee Philip Mangula alipinga Membe kuvuliwa uanachama wa chama hicho, imedokezwa.
Wajumbe wengi walipendekeza Benard Membe kufungiwa kufanya...
Mwamba wa pande za Kusi, mwanadiplomasia nguli Bernard Membe ameunguruma baada ya kutoswa na CC ya CCM.
Ngoma bado mbichi kabisa hii.
Kwa undani zaidi, jipatie nakala yako ya "The Citizen" hapo kesho Jumamosi 29 February.
,
Pia Gazeti la Mwananchi, Februari 29, 2020 limeandika:
=======
Dar...
Uchaguzi wa mwaka huu unawatesa zaidi CCM kuliko upinzani.
CCM wanateseka hasa kuhusu idadi ya wapiga kura watakaojitokeza kupiga kura hasa ukizingatia kua uchaguzi wa serikali za mitaa ilibidi itumike nguvu ya ziada ya wakuu wa wilaya kutisha wanachi kwenda kupiga kura na kutishia kuwakataa...
Ninaamini CCM wanauelewa msemo kwamba kesi ya kima huwezi kupeleka kwa nyani. Hakutakuwa na haki katika hukumu.
Vivyohivyo, Watanzania wote wanaelewa kwamba tuhuma za CCM dhidi ya Membe, Makamba na Kinana kwa namna kubwa zilikuwa zinamhusu Magufuli.
Membe siku zote ameonwa kuwa mpinzani na...
Wanabodi,
Naomba kulianza bandiko hili kwa kutoa pongezi kwa Kamati Kuu ya CCM kufanya maamuzi magumu. Hata kama mimi binafsi sikubaliani na maamuzi hayo, lakini kitendo tuu cha CCM kufanya maamuzi magumu, hii ni plus traits kwa chama cha Mapinduzi, just being decisive, kwasababu CCM ndio...
Kada marufu n ategemeo tena genius ndani ya ccm bwana steve mengele katoa kali ya mwaka,soma mwenyewe uone,eti sasa hivi hawanunui tena wapinzani ina maana mashinji hajapewa hata ka sh kumi?madalali kina mzee kijana watakubali kweli?maana mradi mnono ule ati?
Yaani hata madiwani wa mbeye...
Malipo yake yote yamekuwa kuteuliwa kuwa Mtendaji wa Kata ya Ngara Mjini, Wilaya ya Ngara Mkoani Kagera
Taarifa zilizofichwa zinaeleza kwamba kabla hajanunuliwa aliahidiwa kupewa mil 50 , lakini kwa bahati mbaya mpaka muda huu amelipwa mil 5 tu!
==
Mgombea Ubunge Buyungu 2018 Diwani wa Kata...
Chadema mwaka 2010 walimpokea John Shibuda aliyetimuliwa CCM baada ya kwenda kinyume na tamaduni za uchaguzi chamani.
Shibuda alipewa fursa ya kugombea ubunge huko Shinyanga na kufanikiwa kushinda baada ya changamoto nyingi zilizosababishwa na mshindani wake kutoka CCM ndugu Kisena.
Ni katika...
Wanabodi Salaam.
Ikiwa taarifa za kufukuzwa uanachama wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu. Bernard Camilius Membe zikiwa bado zinatikisa mimbari ya siasa Tanzania, nimejikuta ninakumbuka matukio machache kabla ya uchaguzi mkuu uliopita mwaka 2015.
Ikumbukwe wakati ule mgombea aliekuwa anapewa nafasi...
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi, Humphrey Polepole amesema kuwa Membe aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje ya Tanzania amefukuzwa ndani ya chama hicho
Amesema uamuzi huo umekuja baada ya taarifa zake ndani ya chama kuonesha mwenendo wake kutoka mwaka 2014 kuwa amewahi kupata...
Ni kweli wanaweza na wameisha nunua zaidi ya nusu ya viongozi wapinzani wa Chadema, CUF, ACT nk.
Na bado wanaendelea kununua na kushawishi kwa nguvu na vitisho.
Nimejiuliza tu Ikitokea wakawapata au kuwanyamazisha wapinzania wote na kuchukua majimbo yote muhimu waliyokuwa ya Upinzania au...
Embu angalia mchina jamani anashiriki siasa za nchi kisa anaimba nyimbo ya kumsifu mfalme, aisee halafu ukiangalia nyuma kuna polisi kabisa analinda eti usalama.
Yaani msajili wa vyama yupo tu,jenga picha hii ingekuwa ni chadema maana kwenye mkutano wa cdm wale mabalozi wa abroda kualikwa tu...
Polisi wakihakikisha Usalama wa Katibu Mkuu wa CCM Taifa Bashiru Ally akiwa ziarani Mkoani Mtwara mapema leo hii.
Je, inawezekana kwa Katibu Mkuu wa chama cha upinzani mathalani CHADEMA, John Mnyika kusindikizwa hivi?
Nimemsikia mbunge wa Mbeya mjini Joseph Mbilinyi aka Sugu kupitia ayo tv akidai alipigiwa simu na Katibu mkuu wa CCM Dr Bashiru Ally ili ajiunge nao lakini amemkatalia.
Sugu amedai kuwa sura yake siyo ya CCM na kwamba wanaohamia chama tawala ni wale Wajinga wajinga.
Hizi lugha za kihuni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.