James Martin
JF-Expert Member
- Apr 2, 2016
- 1,206
- 1,509
Kwanza nielezee kwa wale wasiofuatilia sana mambo ya siasa nini maana ya voter suppression. Kwa tafasiri nzuri kutoka Wikipedia ni
Voter suppression is a strategy used to influence the outcome of an election by discouraging or preventing specific groups of people from voting.
Kwa Kiswahili inatafasiri kama ni mkakati unaotumika kubadili matokeo ya uchaguzi kwa kuwakatisha tamaa au kuzuia kundi la watu fulani (wapinzani) kutokupiga kura.
Kwa mfano, kama kufanya mahojiano fake na watu na kutoa propaganda kuwa wananchi wa Hai hawamtaki Mbowe. Sasa tujiulize kwanini wanafanya hivi? Kuna vitu viwili vya wazi.
1. Kuwakatisha tamaa wapiga kura wa CHADEMA ili kutoshiriki zoezi la uchaguzi.
2. Kuwaaminisha wafuasi wa CHADEMA kuwa hata Mbowe akishindwa hajaonewa kwasababu wananchi walisha mchoka.
Ushauri wangu kwa WANACHADEMA ni kuwa hizi mbinu zinatumika nchi nzima. Siku ya kupiga kura tokeni kwa wingi na msisikilize propaganda za CCM.