CHAMWINO: Taarifa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kuhusu kikao cha Kamati kuu ya Halmashauri Kuu

Troll JF

JF-Expert Member
Feb 6, 2015
7,804
12,224
Taarifa Kwa Umma Kutoka Chama Cha Mapinduzi-CCM Kuhusu Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama Cha Mapinduzi-CCM Kilichoketi Leo Chini ya Mwenyekitiwa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungabo wa Tanzania Dkt John Magufuli
06375354-7564-40B7-B739-3EE220755EA0.jpeg
 
Taarifa Kwa Umma Kutoka Chama Cha Mapinduzi-CCM Kuhusu Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama Cha Mapinduzi-CCM Kilichoketi Leo Chini ya Mwenyekitiwa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungabo wa Tanzania Dkt John Magufuli
View attachment 1542134
hii CCM chini ya MATAGA inatu embarass sana sisi wafia chama.
yaani imefikia mahali tunalinganishwa vibaya hivi na hata hivi vyama vichanga kweli?
aaargh!

20200818_140927.jpg
 
Taarifa Kwa Umma Kutoka Chama Cha Mapinduzi-CCM Kuhusu Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama Cha Mapinduzi-CCM Kilichoketi Leo Chini ya Mwenyekitiwa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungabo wa Tanzania Dkt John Magufuli
View attachment 1542134
Taarifa Kwa Umma Kutoka Chama Cha Mapinduzi-CCM Kuhusu Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama Cha Mapinduzi-CCM Kilichoketi Leo Chini ya Mwenyekitiwa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungabo wa Tanzania Dkt John Magufuli
View attachment 1542134
Polepole jina rasmi la nchi yetu ni Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (JMT) na sio Serikali ya Muungano wa Tanzania (SMT)!
 
Hahaha

Mwanzo ilikua Ndeg ndege
Wakaja Stigler
Wakaja tena STG railway
Mara Tanzanite

Sasa Uchumi wa kati yaani hili neno kila mara linaimbwa kupumbaza wananchi.
 
Kwenye ushindani kuna kushinda na kushindwa hilo kwetu ni poa tu, tunachotaka ni mshindi halali. Ila imekuwa bayana kuwa kizazi cha ccm ndio kinaenda kuishia, ndio maana matumizi ya mabavu ni makubwa. Miaka mitano mfanye siasa wenyewe na ushenzi wote dhidi ya wapinzani, na ndani ya wiki 3 tu mwitikio wa upinzani ni mkubwa hivyo, hujiulizi tu?
 
Hii mngeipeleka kwenye gazeti lenu la uhuru na mzalendo hivi sasa huku uraiani watanzania wengi hatuipendi ccm.
 
Taarifa Kwa Umma Kutoka Chama Cha Mapinduzi-CCM Kuhusu Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama Cha Mapinduzi-CCM Kilichoketi Leo Chini ya Mwenyekitiwa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungabo wa Tanzania Dkt John Magufuli
View attachment 1542134
Kamati kuu imekaa kumsifia mtu basi ndio polepole anaripoti bila aibu hapo.
 
Back
Top Bottom