Wadau leo ninapenda niliweke hili suala uwanjani kwa kuwa naamini humu kuna wana CCM, wana Chadema, nk. Kwa ujumla ccm ni zao la TANU na ASP na kwa mantiki hiyo tokea mwaka 1961 ccm iko madarakani. Ni kuanzia huo mwaka walichukua majukumu ya kusimamia maendeleo ya nchi kama vile kujenga...