Ujio wa Lissu umekuwa tishio kwa CCM?

DR HAYA LAND

JF-Expert Member
Dec 26, 2017
17,801
44,934
CCM + JPM imekaa miaka mitano ikifanya siasa, na haikutosha wakajenga mabarabara, wakanunua mandege, wakafanya kila aina ya kitu huku Lissu akiwa Belgium akiwekewa vyuma lakini cha ajabu wanamuogopa mtu wa aina hiyo.

Mimi ningeshauri CHADEMA tungefungua account kwenye mitandao ya Youtube, Facebook, Insta pamoja na Twitter na acount zote hzo ziwe official na tutangaziwe kuwa hzo ndo acount za chama ili mambo yote yote yawe yanarushwa humo maana kuna kila dalili kampeni zikianza hakuna hata media yoyote itakayoruhusiwa kuweka hata picha ya mtu wa CHADEMA.

Viongoz fanyeni hilo suala haraka sana ili mikutano iwe inaruka live na nina uhakika mtapata wafuas wengi, hasa Youtube.
 
Ccm wanashindana na technology na wakati, watashNgaa habari zinawafikia wananchi mpaka vijijini,
October 28 itawashangaza
 
Kuna minara nchi nzima,ya Telecom. wamarekani w MCC/REA wametuletea umeme vijijini nchi nzima, wachina wanatuletea simu Janja nchi nzima,

Tutawashangaza kwa the technology mbadala

Alafu wapuuzi wanazima TV ili lissu asionekane
 
Back
Top Bottom