Halafu tuichague tena CCM 2020? thubutu!

Lord denning

JF-Expert Member
Jun 3, 2015
13,226
26,048
Hawa watu hawajifunzi na Matamko yao Uchwara!!

Walipiga marufuku uagizwaji wa Sukari- Bei ya sukari ikapanda kutoka 1800-2800/3000

Walipiga marufuku wafanyabiashara kununua korosho- Sasa biashara ya korosho huko kusini ni kizungumkuti na wananchi hawataki kusikia

Walipiga marufuku wakulima wa mahindi kuuza mahindi nje- Bei ya mahindi ikashuka vibaya na wakulima wakawa masikini

Wakapiga marufuku wakulima wa tumbaku kuuza kwa wafanyabiashara Eti wauze kwa nyama vya ushirika- Bei ikashuka vibaya na wakulima kuumia

Sasa wamekuja wanasema vijana wajiajili, wanajiajili kuanzisha makampuni na wanakuja na haya matamko 👇

4943572A-4934-4E5A-8213-31D6512F29F7.jpeg
 
Kuchagua CCM ni kuchagua laana ndani ya familia yako

Mwambieni kamanda lisu ajue anakwenda kutafuta ufadhili kwa muda wa siku kumi na anapaswa kuzunguka mikoa kumi na kisiwani mikoa mitano. Anapaswa kuwa makini na maneno maana wanamchora kama ameshaanza kampain . Atulie tu wakati ukifika atamwaga pombe
Alafu ajue yeye yupo mioyoni mwa watu kuliko yule aliyopo midomoni mwa watu.
 
Ni mwambie mie kama nani?
 
Lord denning, Unajidanganya bure. Rais Magufuli atashinda kwa kishindo.
Huko kwenu Nanjilinji ambako hakuna hata uwanja wa ndege lakini mkiambiwa kanunua ndege mnashangilia hadi machozi atapata ushindi wa kishindo. Sio kosa lenu bali bado mko usingizini.
IMG_20200623_122420.jpg
 
Mwambieni kamanda lisu ajue anakwenda kutafuta ufadhili kwa muda wa siku kumi na anapaswa kuzunguka mikoa kumi na kisiwani mikoa mitano. Anapaswa kuwa makini na maneno maana wanamchora kama ameshaanza kampain . Atulie tu wakati ukifika atamwaga pombe
Alafu ajue yeye yupo mioyoni mwa watu kuliko yule aliyopo midomoni mwa watu.
Unadhani Lissu hajui sheria na taratibu???
 
Hawa watu hawajifunzi na Matamko yao Uchwara!!

Walipiga marufuku uagizwaji wa Sukari- Bei ya sukari ikapanda kutoka 1800-2800/3000

Walipiga marufuku wafanyabiashara kununua korosho- Sasa biashara ya korosho huko kusini ni kizungumkuti na wananchi hawataki kusikia

Walipiga marufuku wakulima wa mahindi kuuza mahindi nje- Bei ya mahindi ikashuka vibaya na wakulima wakawa masikini

Wakapiga marufuku wakulima wa tumbaku kuuza kwa wafanyabiashara Eti wauze kwa nyama vya ushirika- Bei ikashuka vibaya na wakulima kuumia

Sasa wamekuja wanasema vijana wajiajili, wanajiajili kuanzisha makampuni na wanakuja na haya matamko

View attachment 1533982
Hoja yako ni nini?
Kwanza hayo makampuni yanafanya mambo ya kijinga sana kwenye bei.
Kiufupi yamegeuka madalali ya kuuza viwanja bei ghali sana tofauti na uhalisia.
Lukuvi yuko sahihi na pengine amegundua uozo mkubwa kwenye hili.

Nakukumbusha kitu; kati ya mawaziri smart wa awamu hii Lukuvi ni mmoja wao au pengine akawa wa kwanza kabisa.
 
Mimi MTU akiniambia ccm itashinda kwa kishindo huku hataki tume huru na uwazi kwenye kuhesabu kura, namuona tuu taahira, siwezi bishana naye..
 
Ccm bado itashinda kwa kishindo subilini October mbwebwe zitaisha hizo

Nani wakuipigia kura hivi ilivyoleta umasikini huko vijijini thubutu yako mwaka huu dunia itashangaa kitakachotokea Tanzania sisi wengine tuko huku vijijini wananchi wamechoka mno na hiyo CCM
 
Hawa watu hawajifunzi na Matamko yao Uchwara!!

Walipiga marufuku uagizwaji wa Sukari- Bei ya sukari ikapanda kutoka 1800-2800/3000

Walipiga marufuku wafanyabiashara kununua korosho- Sasa biashara ya korosho huko kusini ni kizungumkuti na wananchi hawataki kusikia

Walipiga marufuku wakulima wa mahindi kuuza mahindi nje- Bei ya mahindi ikashuka vibaya na wakulima wakawa masikini

Wakapiga marufuku wakulima wa tumbaku kuuza kwa wafanyabiashara Eti wauze kwa nyama vya ushirika- Bei ikashuka vibaya na wakulima kuumia

Sasa wamekuja wanasema vijana wajiajili, wanajiajili kuanzisha makampuni na wanakuja na haya matamko 👇

View attachment 1533982
pamba na ufuta navyo kimenuka huko.

ilimradi shaghalabaghala tu nchi hii chini ya awamu ya 5... bora iondoke tumejichokea na hii miyeyusho bana!
 
Hoja yako ni nini?
Kwanza hayo makampuni yanafanya mambo ya kijinga sana kwenye bei.
Kiufupi yamegeuka madalali ya kuuza viwanja bei ghali sana tofauti na uhalisia.
Lukuvi yuko sahihi na pengine amegundua uozo mkubwa kwenye hili.

Nakukumbusha kitu; kati ya mawaziri smart wa awamu hii Lukuvi ni mmoja wao au pengine akawa wa kwanza kabisa.

Kwani seriakali miaka yote hiyo kwanini haipimi viwanja watu wanajenga kiholela tu na Wizara ipo kazi yake nini kama siyo pamoja na kupima viwanja hivi kila Halmashauri ikiulizwa kwa miaka mitano imepima viwanja vingapi na ililenga kupima vingapi tutapata majibu kweli. Hata Waziri kwanini kwenye bajeti huwa hasemi seriakli inalenga kupima viwanja vingapi ili tuone kama vinatosheleza mahitaji. Kwanini anakimbilia kukataza sector binafsi kupima viwanja.
 
Back
Top Bottom