Mna ushahidi gani dhidi ya CCM?

Shocker

JF-Expert Member
Sep 15, 2012
1,956
3,831
Mauaji yanatokea, watu wanapotea, wengine wanashambuliwa, wengine wanaokotwa baharini, shutuma zimetokea kuelekezwa upande wa CCM.

Hivi vyama vya upinzani mnaweza kuweka ushahidi unaokubalika kuwa CCM na serikali yake wanahusika?

Vyama ambayo mpaka imebakiza siku moja ndio wanaanze kupiga makelele kuhusu Tume huru ya Uchaguzi mlishindwa nini ndani ya miaka mitano kulianzisha na kulivalia njuga, wacheni kubabaisha raia.

Imebakia siku tatu mnabana pua Tume sio huru, miaka minne mmeufyata, wapiga kura wawaelewe vipi, hata kulizungumzia hamkusikika, siku zote hizo hamkulijua, au mtasema mlizuiwa mikutano.

Nikirudi na mada shinikizi kuhusu ushahidi,kama mna ushahidi na mahakama imetupilia mbali basi mnaweza kulipiza kisasi kisasi kinaruhusiwa kidini ila kusamehe ni bora zaidi.

Hata wakiengua wagombea wenu wa Urais mnaweza kulipiza kisasi, kama mmethibitisha haki haikutendeka, hivi akienguliwa Magufuli mtapinga au mtakesha kwa furaha?

Ili iwe fundisho kama mmethibitisha CCM ndio mambo yao na nyinyi lipizeni kisasi cha uhakika na ijulikane kuwa hapa kisasi kimelipizwa.

Kama mtaishia kupiga makelele bila kutoa funzo ili mheshimiane mtabakia, vyombo vya dola havitendi haki, polisi wanaipendelea CCM, usalama wapo na chama tawala, kama mna ushahidi pambaneni kwa kulipiza kisasi dhidi ya CCM, basi hata hivyo vyombo vikiona mambo yanageuka watawapendeni kama wanavyowapenda CCM.
.
 
Jinga wewe MO alitekwa na nani?
 
Jinga wewe MO alitekwa na nani?
Siwezi kukuita mjinga kwa sababu huna akili ,kusema MO au kuuliza MO alitekwa na nani ? Hivi unataka nikujibu alitekwa na CCM !
Tatizo lako sio la kutokujua kusoma,unajua kusoma lakini huna uwezo wa hufahamu kilichoandikwa na kuleta au kujibu hoja.

U(m)nawajua waliofanya matukio mmewahi kuwapeleka mahakamani au hata kuwafungulia mashitaka,mtu mmoja amefungua mashtaka dhidi ya Musiba,ndugu Membe,
Namjua alienishambulia nimepeleka mahakamani haki haikutendeka ninao wajibu wa kulipiza kisasi kwa upande wangu,ikiwa ninamjua alienifanyia uhuni,kama alivyosema Mbowe kuwa alishambuliwa ,sasa iwe wale watu anawajua kwa sura, kama ni mimi nalipiza kisasi hata kwa kumkata kichwa kwa njia zilezile alizotumia pengine zangu zikawa ni ngumu kupata ushahidi, ila CCM watakuwa kama mlivyo nyinyi kupiga makelele usalama wanahusika,makonda anahusika ,mkuu anahusika hamna au hawana vielelezo visivyo na shaka.

Mpo kwenye zama za udhanifu, CCM anahusika,Makonda anahusika ,Mkuu anahusika amri kutoka juu. wajameni ninauliza Mna ushahidi wa uhakika ili mkilipiza kisasi wananchi watajibu upinzani umelipiza kisasi kwa mwenzao kujeruhiwa.
Ukiangalia na CCM nao wanajibu kuwa mnauwana na kujeruhiana wenyewe kwa wenyewe and it works kwa kuwa ,hamna vielelezo au vithibitisho uzipa nguvu madai yenu kuwa CCM wanahusika.
 
Jinga wewe unarudia kuandika ujinga
 
Mauaji yanatokea, watu wanapotea, wengine wanashambuliwa, wengine wanaokotwa baharini, shutuma zimetokea kuelekezwa upande wa CCM.

Hivi vyama vya upinzani mnaweza kuweka ushahidi unaokubalika kuwa CCM na serikali yake wanahusika?

Vyama ambayo mpaka imebakiza siku moja ndio wanaanze kupiga makelele kuhusu Tume huru ya Uchaguzi mlishindwa nini ndani ya miaka mitano kulianzisha na kulivalia njuga, wacheni kubabaisha raia.

Imebakia siku tatu mnabana pua Tume sio huru, miaka minne mmeufyata, wapiga kura wawaelewe vipi, hata kulizungumzia hamkusikika, siku zote hizo hamkulijua, au mtasema mlizuiwa mikutano.

Nikirudi na mada shinikizi kuhusu ushahidi,kama mna ushahidi na mahakama imetupilia mbali basi mnaweza kulipiza kisasi kisasi kinaruhusiwa kidini ila kusamehe ni bora zaidi.

Hata wakiengua wagombea wenu wa Urais mnaweza kulipiza kisasi, kama mmethibitisha haki haikutendeka, hivi akienguliwa Magufuli mtapinga au mtakesha kwa furaha?

Ili iwe fundisho kama mmethibitisha CCM ndio mambo yao na nyinyi lipizeni kisasi cha uhakika na ijulikane kuwa hapa kisasi kimelipizwa.

Kama mtaishia kupiga makelele bila kutoa funzo ili mheshimiane mtabakia, vyombo vya dola havitendi haki, polisi wanaipendelea CCM, usalama wapo na chama tawala, kama mna ushahidi pambaneni kwa kulipiza kisasi dhidi ya CCM, basi hata hivyo vyombo vikiona mambo yanageuka watawapendeni kama wanavyowapenda CCM.
.
Hili bando na chaji uliyotumia kuandikia huu upupu afadhali hata ungetumia kuangalia PORN
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom