Uchaguzi 2020 Kwanini GENTAMYCINE 'nitamchagua' haraka sana Mgombea 'Urais' wa CCM Dkt. Magufuli hiyo 28, Oktoba 2020?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,544
108,871
1. Mthubutu wa Maendeleo ya Watanzania na Tanzania
2. Anajiamini na haogopi wala hatishiki kama Sifa Kuu ya Amiri Jeshi Mkuu makini
3. Ana Unyerere 40% na Usokoine 60% ambavyo vinamsaidia sana kumfanya akubalike na Werevu wengi duniani
4. Si Mnafiki, ni Muwazi, Mkweli huku akiwa si mpenda Majungu na Umbea
5. Ni mwenye Misimamo mikali yenye Tija ya Kimaendeleo kwa nchi na taifa
6. Penye Ubabe anauonyesha na kuutumia kweli na kwenye Huruma hudhihirisha Kivitendo
7. Ametukomesha tuliozoea Maisha ya Kiujanjaujanja na Kifisadi kwa Kuiziba Mirija yote na pia ni Simba Sports Club Mwenzangu

Ni matumaini yangu hasa Wapiga Kura wote 29,188,347 katika Vituo vyote vya Kupigia Kura 80,155 Nchini tutampigia Ndugu Dk. John Magufuli tu.
 
1. Mthubutu wa Maendeleo ya Watanzania na Tanzania
2. Anajiamini na haogopi wala hatishiki kama Sifa Kuu ya Amiri Jeshi Mkuu makini
3. Ana Unyerere 40% na Usokoine 60% ambavyo vinamsaidia sana kumfanya akubalike na Werevu wengi duniani
4. Si Mnafiki, ni Muwazi, Mkweli huku akiwa si mpenda Majungu na Umbea
5. Ni mwenye Misimamo mikali yenye Tija ya Kimaendeleo kwa nchi na taifa
6. Penye Ubabe anauonyesha na kuutumia kweli na kwenye Huruma hudhihirisha Kivitendo
7. Ametukomesha tuliozoea Maisha ya Kiujanjaujanja na Kifisadi kwa Kuiziba Mirija yote na pia ni Simba Sports Club Mwenzangu

Ni matumaini yangu hasa Wapiga Kura wote 29,188,347 katika Vituo vyote vya Kupigia Kura 80,155 nchini tutampigia Ndugu Dkt. John Magufuli tu.
Hizo sababu 7 ni chache sana mtani, weka hata mia lakini hatumpi. Tutampa mtenda haki, imeisha hiyo.
 
Saa 11 asubuhi nitakuwa na kichinjio changu nikisubiri muda ufike ata angeshuka malaika kura yangu haki yangu Haki na maendeleo Tundu kura yangu ni yako
 
1. Mthubutu wa Maendeleo ya Watanzania na Tanzania
2. Anajiamini na haogopi wala hatishiki kama Sifa Kuu ya Amiri Jeshi Mkuu makini
3. Ana Unyerere 40% na Usokoine 60% ambavyo vinamsaidia sana kumfanya akubalike na Werevu wengi duniani
4. Si Mnafiki, ni Muwazi, Mkweli huku akiwa si mpenda Majungu na Umbea
5. Ni mwenye Misimamo mikali yenye Tija ya Kimaendeleo kwa nchi na taifa
6. Penye Ubabe anauonyesha na kuutumia kweli na kwenye Huruma hudhihirisha Kivitendo
7. Ametukomesha tuliozoea Maisha ya Kiujanjaujanja na Kifisadi kwa Kuiziba Mirija yote na pia ni Simba Sports Club Mwenzangu

Ni matumaini yangu hasa Wapiga Kura wote 29,188,347 katika Vituo vyote vya Kupigia Kura 80,155 nchini tutampigia Ndugu Dkt. John Magufuli tu.
Hebu tuondolee hilo gundu...
HAUZIKI huyo😂
 
Saa 11 asubuhi nitakuwa na kichinjio changu nikisubiri muda ufike ata angeshuka malaika kura yangu haki yangu Haki na maendeleo Tundu kura yangu ni yako
Huyu 'Mgombea' wako uliyemtaja hapa nimesikia za chini chini kuwa anaweza 'Kujitoa' katika lala salama hii hivyo labda 'ukamchague' Lipumba.
 
Huyu 'Mgombea' wako uliyemtaja hapa nimesikia za chini chini kuwa anaweza 'Kujitoa' katika lala salama hii hivyo labda 'ukamchague' Lipumbavu.
Hawezi jitoa mkuu akijitoa mimi uchumi wangu bado sio wa kati kama akijitoa basi ninaomba ndani ya dakika tano tu nitakapo pata hizo tarifa nikutumie pesa halali ya ki Tanzania laki moja nisipo fanya hivyo sita kanyaga hapa 'JF adi kufa kwangu
 
Back
Top Bottom