ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. S

    GE2020 Kwanini CCM hawataki Uchaguzi wa Haki na amani?

    Wataulinda utawala wao kwa nguvu za dola. Je, hawajiamini ushindani wa hoja? Je, wamefanya makosa mengi? Je, wamenyang'anya na kudhulumu sana? Je, wanaogopa kupandishwa vizimbani? Je, wanataka kupima nguvu za wananchi walio wengi ambao wapo wazi kuikataa CCM kwenye sanduku la kura? Je...
  2. Cicadulina

    GE2020 Ilani ya CCM 2020: Tanzania bado haijafikia Uchumi wa Kati

    My take: Zile mbwembwe zote kumbe ni danganya toto
  3. Sami Omary Khamis

    GE2020 Utekelezaji wa Ilani ya CCM 2015-20 kwenye kuongeza fursa za ajira

    Na Bwanku M Bwanku Fursa za ajira ni eneo muhimu sana katika kukuza maendeleo ya kiuchumi na kijamii ambapo jamii hususan vijana hupewa nafasi ya kuchangia utaalam wao katika kufanya kazi ili kuchangia kukuza maendeleo ya Taifa. Serikali iliyoundwa na CCM katika miaka mitano iliyopita iliweka...
  4. D

    GE2020 Tathmini yangu kwa wiki mbili za kampeni. CCM anaongoza kwa mbinu na mikakati bora

    Nimefuatilia kwa umakini kuhusu kampeni zinazoendelea hadi sasa. Kimsingi CCM inaongoza kwa mikakati na mbinu bora zaidi kuliko vyama vingine vya Chadema,ACT nk na hivyo kuwa na nafasi nzuri ya kushinda asilimia 80+ Hii ni kutokana na sababu zifuatazo: 1. CCM imeweza kuwatumia makada wake...
  5. Libya

    GE2020 Bernard Membe: Hatoki mtu hapa kwenye kinyang'anyiro cha Urais. Septemba 15 kinaanza kimbunga kumbakumba

    HATOKI MTU HAPA! Wale wote wanaodhani kuwa Nitajiondoa katika kinyang'anyiro cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia ACT Wazalendo, wanaota ndoto za Mchana. Kimbunga kitakachoanza tarehe 15 September 2020 October ni Kimbunga kumbakumba! Watanzania kaeni chonjo!
  6. T

    GE2020 Kwanini tunasema Magufuli mitano tena? Kwanini tunasema CCM mitano tena? 2020-2025

    Na: Giantist McWenceslaus 09/09/2020. Dodoma. Habari za leo, ndugu wanabodi wenzangu... Tangu uhuru hata sasa, Tanzania imeendelea kuwa salama, kwa sababu ya kuwepo kwa viongozi wazalendo na wenye kuwajali watanzania wenzao wote. Na usalama huo wa Tanzania, imesababishwa kwa kuwepo kwa haki na...
  7. Roving Journalist

    GE2020 Tundu Lissu aongea na Wahariri wa Vyombo vya Habari - Sept 9, 2020, ataenda Mahakamani kwenye kesi zake Kampeni zikiisha

    Leo, Septemba 9, 2020 - mgombea Urais wa JMT kupitia CHADEMA, Ndg. Tundu A. Lissu anaongea na Wahariri wa Vyombo vya Habari. Haya ni baadhi ya aliyoyasema: ====== Waandishi mmekuwa mnogopa kuni-cover, nikizungumza mna switch off. Hofu! > Nazungumza na Vyombo vya Habari vya nje ya nchi kila...
  8. Miss Zomboko

    GE2020 Samia Suluhu awataka CCM Wilaya ya Kigamboni kuacha nongwa, kuvunja makundi na kuwaunga mkono Wagombea walichaguliwa kwenye Kura za Maoni

    Mgombea Mwenza wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Samia Suluhu Hassan, amewataka wanachama waliojitokeza kuwania nafasi za Ubunge na Udiwani wasikisuse chama baada ya kushindwa katika kura za maoni. Mama Samia amesema hayo leo Septemba 8, 2020 wakati akihutubia wananchi wa Kigamboni...
  9. Samia atosha tukutane2030

    Miaka 60 na CCM Madarakani: Ujinga, umaskini na maradhi bado havijaondoka

    Tangu tupate Uhuru 1961 sasa ni miaka 59 . Lakini wale maadui 3 ambao ni ujinga, umaskini na maradhi bado wanawatesa Watanzania. Je, tuendelee kuwapa kura CCM ili waendeleze mapambano waliyoyashindwa kwa miaka 59? Tuwanyang'anye mamlaka kwakuwa wameshindwa kutokomeza ujinga, umaskini na...
  10. Prof Koboko

    Katiba imeshampa Ushindi Mgombea wa CCM kabla ya Uchaguzi, Vyama vingi Kiini macho

    Kuna sababu zaidi ya 99% kua mgombea wa CCM amepewa ushindi na katiba ya JMT kwa sababu za msingi zifuatazo, labda wananchi waamue wenyewe kutokujali katiba hii. SABABU ZENYEWE 1. Mwenyekiti wa CCM na mngombea wa Urais ndiye anayewateua mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi na makamishna...
  11. Roving Journalist

    GE2020 GEITA: Dkt. Magufuli awataka wasichague Viongozi wa majaribio

    Leo Jumatano, Dkt. John Magufuli yupo mkoani Geita baada ya jana kutoka jijini Mwanza kuendelea na kampeni ya Urais kuomba ridhaa ya kusalia madarakani kwa muhula wa pili. Tuwe sote kujuzana yatakayojiri. ======= 10:15 Asubuhi: Dkt. Magufuli awasili uwanjani 10:18 Asubuhi: Dua na Sala...
  12. Return Of Undertaker

    GE2020 Kuomba kura kwa ukabila CCM hii imezidi. Msukuma awaambia wana Geita kwa kisukuma mnamwachaje mtoto wenu mnachagua asiye wa kwenu

    Inasikitisha na kuhuzunisha kura za Magufuli zinaombwa kwa ukabila na eneo analotoka. Leo yuko Geita cha ajabu kikabila kinatumika kuomba kura tena kwa vijembe kwa kusema inakuwaje mnataka kumchagua asiye wa nyumbani kwenu usukumani na kasema kwa kuwa tunafahamiana kwenye mikutano yao wakija...
  13. funaku

    Kimbilio la Watanzania ni CCM pekee, wapinzani wanachanganya wananchi

    Wasalaamu! Nikiwa kama mzalendo wa kweli wa Kitanzania na tukiacha mbwembwe za kisiasa napenda kuja na waraka wa kipekee kwa maslahi ya umma. Utangulizi Tanzania ni nchi inayokuwa kimaendeleo kwa kutumia rasilimali zake na kwa vyovyote vile inahitaji uongozi imara katika hili. Uongozi huu...
  14. Erythrocyte

    CHADEMA yaiteketeza CCM Musoma Mjini, nyayo za Magufuli zafutiliwa mbali

    Hii ni baada ya Julius Mwita kuzindua kampeni za ubunge, hii hapa habari kamili
  15. funaku

    GE2020 Kwa hoja, CCM imeishinda CHADEMA kwenye mitandao

    Ni ukweli usiopingika kuwa CCM katika mwaka huu wa uchaguzi imewashinda Chadema katika nyanja zote. Mitandao ya kijamii Hapa utaona ndani ya Jf Pro Chadema wamebakia na matusi na propaganda za picha za zamani. Facebook na Istagram pako kimya, WhatsApp hata hawaongei. MMS -Hakuna zile mbwembwe...
  16. Mag3

    Tafakuri: Ni upi hasa unyeti wa Muungano wa Tanganyika na Zanzibar?

    Kwa ukumbusho tu: Tuanze kwa kukiri kwamba zilizoungana zilikuwa ni nchi mbili, Tanganyika na Zanzibar. Tukiri pia kuwa wakati zinaungana tulikuwa na vyama tawala viwili, TANU na Afro-Shirazi Party (ASP) Pia tukumbushane kwamba wakati zinaungana 1964 bado tulikuwa katika mfumo wa vyama vingi...
  17. M

    GE2020 Mgombea Urais CCM adhibitiwe kuhusu suala la matumizi ya lugha ya Kisukuma. Mwongozo wa lugha wanaounadi TBC ufuatwe

    TBC katika taarifa yao kwa maelekezo kutoka Tume ya Uchaguzi ya Taifa wametoa maangalizo mengi lakini mimi moja ambalo nimeliona kama mgombea Urais kupitia CCM analikiuka sana. Lile tangazo linasema kuwa kama mgombea atakuwa jukwaani anamwaga sera basi atumie lugha ya Kiswahili tu, kama...
  18. Course Coordinator

    GE2020 Nimeshangaa Magufuli kusema ameongeza mishahara kwa watumishi wa Serikali kimya kimya miaka yote mitano

    Akiwa mkoani Mara Mgombea wa CCM Dkt John Magufuli kwenye uzinduzi wa kampeni katika mkoa huo Mgombea amesema kuwa "naskia kuna mtu anasema sijaongeza mshahara watumishi wa umma ,Watumishi wa umma nimewaongezea mshahara kimya kimya " Aliendelea na kusema kuwa ukipandisha madaraja huongezi...
  19. Lord Denning

    GE2020 Kuhamisha Magoli ndiyo mbinu mpya ya CCM

    Anaandika Lord Denning wa JF, Leo nimecheka sana! Kuna clip watu wa CCM wameitengeneza na wanaisambaza ikimuonesha Tundu Lissu akiwa kwenye kampeni akiongelea suala la Bunge na wabunge hawajui bei wala mikataba ya ndege! Kwenye clip hii wana CCM wameunganisha na scene ya Halima Mdee akijadili...
  20. Analogia Malenga

    GE2020 Temeke: Kadawi Lucas Limbu, aliyetia nia kugombea Ubunge wa CHADEMA 2020 ahamia CCM

    Mwaka 2010 alikuwa Mgombea Ubunge Jimbo la Temeke kupitia CUF, kutokana na kutofutwa kwa demokrasia, na uchaguzi huu alikuwa mgombea Ubunge Jimbo la Temeke kupitia CHADEMA. Kutokana na kuwa Demokrasia ndani ya Vyama vya Upinzani haipo, leo ameamua kujiunga CCM Amejiunga katika mkutano wa...
Back
Top Bottom