Ninafarijika,
CCM imerudi kwenye Mikono salama,
Angalizo
Pamoja na CCM kukiuka baadhi ya Misingi 2015-2020 ila rushwa ya hadharani haikuwepo,
Nisingependa Kusikia
1. Wizi wa keki ya Taifa
2. Ubaguzi wa wengine
3. Tukubali Kukosolewa
4. Wapinzani ni ndugu zetu
5. Isimamie Serikali kuleta umoja...