ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. scatter

    JamiiForums Tanzania GE2020 Nini maana CCM kuwashirikisha Wasanii katika Kampeni? Je, ni uzalendo?

    Habari zenu wadau, Kipindi kampeni zikiendelea kushika kasi kuna kitu kusema ukweli sisi kama Watanzania tuna tafakari mara mbili mbili hasa aina ya kampeni zinazofanyika na chama cha CCM. Kumekuwa na wasanii wa muziki wa kizazi kipya, wasanii wa maigizo ambao wameshirikishwa...
  2. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Naipenda CCM, Sipendi yanayojiri

    Ninakipenda sana chama changu cha CCM, lakini sifurahishwi na yanatoendelea: 1. Kwa mara ya kwanza campaigne ya Urais na Wabunge haina muelekeo. Magufuli umefeli sana na kukiharibu chama kwa kuwashirikisha vijana/ watu wasio na ujuzi wa namna kampeni zinavyoendeshwa. 2. Magufuli chukua hatua...
  3. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kwanini huu ndio Uchaguzi Mgumu zaidi kwa CCM?

    Amani iwe nanyi wadau Kama mada inavyojieleza hapo juu, hizi ndo sababu za Kwa nini Uchaguzi Mkuu wa Mwaka huu ndo uchaguzi Mgumu zaidi kwa CCM? 1. Mwaka 2015 Chadema walikuwa na mgombea aliyependwa na watu Lowassa Ila hakuwa mgombea makini CCM waliweza kumchafua sana Lowassa kutokana na...
  4. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania GE2020 Leo ni mwezi mmoja kamili toka kampeni zianze, CCM tu ndio inanadi Sera na Chama wengine wanajinadi wao binafsi kuwa nichague mimi

    Kampeni ni kunadi Sera na chama ili chama kishike dola. Leo ni mwezi mmoja kamili toka kampeni zianze CCM tu ndio inanadi sera na chama wengine wanajinadi wao binafsi kuwa nichague mimi. Kampeni kwao zimejikita zaidi kwenye u imimi sio chama ndio maana tunaona hata vyama vingine kama Chadema...
  5. B

    JamiiForums Tanzania GE2020 Maajabu ya kampeni za CCM, Dkt. Magufuli atema cheche

    Mabibi na mabwana heshima kwenu na moja kwa moja kwenye mada. Kampeni zikiendelea, mgombea wa CCM ameonyesha alivyodhamiria kuiboresha nchi vilivyo hata kuwa na barabara bora kabisa: Hata hivyo barabara hii ilikuwapo pia katika ahadi za 2015. Si haba, "chelewa ufike" japo waswahili pia...
  6. K

    JamiiForums Tanzania GE2020 CCM wamemwachia Magufuli fupa la Doto James na Mayanga Construction alitafune mwenyewe!

    Doto James, Bwana Malipo Mkuu wa serikali Ni kaa la moto! Hakuna mtu anaetaka kuligusa. Wazungu wanaita "third rail," kwa sababu reli ina mitarimba mitatu: miwili inatambaa sambamba ardhini, yenyewe unaweza kuigusa, kuichezea na hata kuing'oa wakati wowote ili mradi treni halipiti na...
  7. B

    JamiiForums Tanzania GE2020 Maajabu ya kampeni za CCM, Mwigulu naye acharuka

    Mabibi na mabwana heshima kwenu na moja kwa moja kwenye mada. Siku za kampeni ndiyo hizo zinayoyoma. Kampeni nazo haiishi viroja. Mwendo ni bandika bandua. Mmoja baada ya mwingine. Sikia mheshimiwa huyu Ninawasilisha.
  8. PAZIA 3

    JamiiForums Tanzania CCM na Serikali imewaaminisha wananchi wizi kuwa halali katika mambo yafuatayo

    - Wanafunzi wa form 6 kulipia mtihani kwa gharama kubwa ya elf 50 - Maji kuuziwa unit 1 kwa Bei ya kuanzia 800- 1200 - Wajawazito kununua vifaa vya kujifungulia - Kulipia gharama za kununua kiwanja cha makazi au shamba kwa mwenyekiti wa mtaa/ kitongoji - Kusajili shule au taasisi lazima...
  9. MAHANJU

    JamiiForums Tanzania CCM kumuita Lissu kibaraka wa mabeberu haitusaidii. Watanzania ni waelewa sana

    CCM let's be matured, hii propaganda ya kumuita Tundu Lissu kibaraka wa mabeberu imebumba tutafute neno lingine zuri la kummaliza. Kutumia hili neno hakujabadili kitu kabisa mtaani kila ninapopita sioni sehemu yeyote akiitwa Bebebru zaidi ya kuitwa Mkombozi, mimi sijui ni mkombozi wa nini...
  10. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kata kwa Kata: Daniel Naftari aendelea kuimaliza CCM jimbo la Kwela

    Mgombea ubunge wa Chadema anayetarajiwa kushinda jimbo la Kwela Mh Daniel Naftari, ameendelea kuelimisha umma, ambapo amewaambia wananchi kwamba kuikumbatia CCM ni sawa na kukumbatia umasikini. Ametoa mifano hai kwa kuwaomba wananchi hao waangalie umasikini wa kutupwa kwenye majimbo...
  11. Q

    JamiiForums Tanzania GE2020 Karata ya mwisho ya CCM ni kuahirisha uchaguzi na sio kuiba kura

    CCM ilianza mapema kutafuta kura, ilianza na mbinu ya kuzuia vyama vingine na wagombea wao kujitangaza akabaki Magufuli peke yake, ikaja na mbinu ya kununua wapinzani waliyoshauriwa na Polepole na KM Bashiru, CCM ikautumia uchaguzi wa serikali za Mitaa kuwahujumu wapinzani. CCM walijua wagombea...
  12. K

    JamiiForums Tanzania GE2020 CCM walijikita kununua wapinzani wakaacha kuwekeza kwa wapiga kura

    Natabiri kuondolewa kwa katibu Mkuu CCM na katibu Mwenezi wa CCM Mara tu uchaguzi utakapomalizika. Chama dola hakiwezi kuishi kwa kutegemea dola pekee bali kinapaswa kuyaishi wanayowaza na kuyataka wananchi. Chama dola kilichojikita kutegemea dola hudhalilika ifikapo kipindi Cha kampeni, leo...
  13. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 Makundi yakayowamaliza CCM ni haya

    Hii itasababisha maporomomoko ndani ya CCM kwa sasa ni wananchi wa kawaida ambao tayari wameshaonyesha na kunyanyua silaha zao kuiangusha CCM tarehe 28/10/2020. Hawa huitwa wanajeshi wa miguu, infantry. Hawa pekee wanaiangusha CCM na CCM kuanguka kwa kishindo kikuu. Jeshi la Wanamaji hawa ni...
  14. Q

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ratiba ya Mgombea wa CCM leo yuko wapi, CHADEMA wapo Geita

    Kwa mwenye taarifa please tufahamishane wengine huwa tunafuatilia mikutano ya wagombea wote hasa wagombea wa vyama vikuu vya CCM, CHADEMA na ACT-Wazalendo. Lissu yuko Geita.
  15. P

    JamiiForums Tanzania GE2020 CCM mnakosea kusubiri raia wote wawe wapinzani

    Bila kupepesa macho, ni dhahiri kuwa kadiri muda unavyokwenda idadi ya wapinzani wa CCM inaongezeka. Si rahisi wahusika kukubali hili lakini kuukataa ukweli ni kujitoa ufahamu. Baba wa taifa alionao ujio wa vyama vingi, wana CCM walitaka kung'ang'ania eti kibaki chama kimoja. Busara za mwalimu...
  16. Mystery

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Nafasi zote zilizotangazwa na Tume ya Taifa ya uchaguzi za kusimamia Uchaguzi kushikwa na makada wa CCM!

    Zimetolewa hadharani kwa kila mtanzania mwenye sifa, aombe nafasi hizo za muda za kusimamia uchaguzi hapo October 28 mwaka huu, lakini taarifa za uhakika nilizozipata ni kuwa nafasi hizo muhimu, ambazo ni za watanzania wote, bila kujali itikadi zetu za kisiasa, hivi sasa hawa CCM, wamepanga...
  17. kavulata

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tume ya Uchaguzi, NEC ilikuwa kimya kwa TLP na UDP kuiunga mkono CCM iwe kimya pia kwa ACT-Wazalendo

    Wananchi wana akili za kutosha, inachotaka kukifanya ACT Wazalendo kwa CHADEMA hakitofautiani sana na walichokifanya UDP na TLP kwa CCM, uwongo kweli? Hatukisikia mkutano mkuu wa UDP ukiliamua lile na wala hatukuisikia tume ikinyanyua kidole juu. Lakini hata hivyo sio lazima chama cha siasa...
  18. Riz king

    JamiiForums Tanzania GE2020 Florent Kyombo usiridhike kwa kupiga kampeni ukiwa umepoa jitutumue ili tuichukue Nkenge ibaki CCM

    Ndugu yangu najua utakuwa unapitia nyuzi zangu nikiwa supporter wako mkubwa tangu kura za maoni. Mh hili jimbo la letu la Nkenge ni rahisi sana kuwashinda upinzani maana asilimia 99 ta kata zake ni vijiji. Mh hoja yangu ni kuwa hawa Wahaya ni waelewa sana na mara nyingi huwa vigeugeu...
  19. D

    JamiiForums Tanzania GE2020 VIDEO: Mgombea Ubunge kwa tiketi ya CCM Bukoba vijijini, Jason Rweikiza afukuzwa na wananchi wakati akiomba kura

    Mambo ni moto. Hii ni leo kwa Rweikiza Bukoba Vijijini
  20. J

    JamiiForums Tanzania GE2015 Lowassa: Wapinzani tukishindwa kuitoa CCM mwaka huu (2015) itabidi tusubiri miaka 50 ndio tuitoe

    Hii ni kauli ya mgombea urais wa CHADEMA mnamo mwaka 2015 mzee Lowassa kwamba wapinzani wakishindwa kuing'oa CCM mwaka ule wa 2015 basi itawabidi wasubiri miaka 50 ipite Yaelekea Tundu Lissu ameshasahau japo alikuwa pembeni ya mzee Lowassa wakati anayasema haya. Maendeleo hayana vyama!
Back
Top Bottom